serikali

  1. M

    Serikali iache kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane

    Siku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali Kubehave kama genge la wachawi!. Sisi tunajua kuwa mida hiyo wananchi wengi wanakuwa wamelala na hata...
  2. Mfumo wa kuajiri kupitia Ajira Portal na kuita watu kwenye usaili physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi

    Naomba serikali iliangalie hili. Katika utafiti niliofanya nimegundua jambo hili: Mfumo wa kuajiri kupitia ajira portal na kuita watu kwenye usaili wa mchujo physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi. Fedha zinazotumika kusafirisha maafisa utumishi kutoka ofisini kwao...
  3. Hapa dsm wanafunzi wengi wanaishia Kupata zero form four je Serikali inalitambua hili?

    Nipo shule x Hapa dsm nasikitika kusema Kuna zaidi ya watoto wa kike 100 lazima wapate zero maana naandika Hapa hawa Ni watoto hawajui hata kuandika majina yao kwa ufasaha. Sasa hawa watoto wa kike wengi wanatoka uswahilini je baada Kupata zero wanaenda kufanya shughuli gani au kuolewa na ...
  4. SoC02 Serikali ibadili 10% ya mikopo kwa Vijana na wanawake kwenye Haimashauri, badala yake itumike kuendeshea masoko na minada kwenye Halmashauri husika

    Naandika kwa kujiamini kwasababu ni mzima wa afya, na natumai hata msomaji wangu u mzima. Pamoja na changamoto nyingi za maisha, lakini yatupasa kumshukuru M /Mungu maana yeye ndiye atupaye akili za kufikiri. Baada ya UTANGULIZI huo, ngoja nijikite kwenye mada. Bila shaka, Kama wewe no...
  5. K

    Kwanini Serikali inanunua magari ya Tsh 300M hadi 500M?

    Haya nayo ni majabu ya Tanzania. Pamoja na kwamba naunga mkono tozo lakini siungi mkono Serikali kununua magari ya kifahari. Magari ya kifahari tuwaachie watu binafsi na sio serikali. Kwenye hili tusilaumu Serikali iliyopo pekee hata Kikwete na Magufuli walitumia pesa vibaya sana na hasa...
  6. Idugunde: Serikali ya mama Samia imekataliwa na wananchi. Inaharufu za kipigaji na unyonyaji wananchi.

    Wananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi. Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo ugumu wa maisha unazidi maradufu Rais Samia amebariki haya yote kwa ajili ya manufaa ya kisiasa...
  7. Profesa Mussa Assad: Hasara za Tozo ni kubwa kuliko faida zake, Mawaziri ndio wakatwe kodi

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amezungumzia suala la Tozo wakati akihojiwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM. Profesa Mussa Assad amesema anaamini suala la Tozo lina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali. Amesema “Kuna namna...
  8. CCM vs Serikali

    Salamu kwenu, nyote wenye kulitakia heri taifa. Yahitaji maarifa ya CUBA kuelewa kwa namna gani CCM inamudu kusimamia serikali. Hii inakuja baada ya wajumbe wakuu wa Kamati kuu kuwa ni viongozi wakuu wa serikali mfano Rais, Spika na Waziri. Sasa, maagizo ya Kamati Kuu kuielekeza serikali...
  9. TAA Gavana Edward Twining na Serikali ya Malkia Elizabeth, 1953

    TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953 Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia. Nimekuta nimemtaja Malkia Elizabeth sehemu kadhaa ndani ya kitabu kama mtawala wa Tanganyika. Tuanze na pale Julius...
  10. Msaada wa email ya serikali

    Wakuu habarini za saivi, Nimejaribu sana kutumia email iliyo wekwa kwa ajili ya kuapply kazi ila kila nikituma inaniambia failed. Nawaombeni msaada wa jinsi ya kutuma email, mie naona naenda kukosa kazi. Nimetumia hii email utawala@mwanza.go.tz. imefaile na kuniletea hii massage Sorry, we...
  11. Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

    Mwanasiasa ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amezungumza mambo mengi katika mahojiano maalum na Dar24 na kufunguka mambo mengi ikiwemo sakata lake la kuvuliwa Uwaziri kwa kile kilichoelezwa aliingia Bungeni akiwa amelewa. KITWAGA: NILILOGWA, NITATENGENEZEWA ZENGWE...
  12. J

    Kamati Kuu ya CCM yaielekeza Serikali kuchukua hatua kuhusu maoni ya TOZO

    Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo --- "Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo halijawai kutokea katika historia ya nchi yetu, fedha hizo katika bajeti zimeelekezwa katika kutoa...
  13. Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
  14. India: Serikali yafunga Shule 34 baada ya Wanafunzi wote kufeli mitihani

    Mamlaka za Jimbo la Assam lililopo Kaskazini-Mashariki mwa Nchi hiyo zimefikia uamuzi wa kufunga shule 34 baada ya Wanafunzi wengi kufanya vibaya katika mitihani na kuwahamishia katika shule nyingine Maelfu ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Jimbo hilo walifanya mtihani wa Cheti cha...
  15. Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

    Na, Robert Heriel Vikoba ni msaada mkubwa kwa watu wasioweza kuhifadhi pesa, watu wasio na msukumo wa kutafuta pesa. Vikoba humsaidia mtu kupata msukumo wa kutafuta pesa ili apate pesa ya marejesho. Vikoba vina faida nyingi sana, lakini faida kuu ni msukumo wa kutafuta pesa iwe kwa halali au...
  16. Ni muda muafaka sasa wa kuajiri Psychologist kila Tarafa na baadhi ya Idara za Serikali

    Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu. Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu amefanyiwa hujuma, usaliti, magonjwa ya muda mrefu, kipato duni, kufukuzwa kazi, kukosa ajira, ugomvi wa...
  17. Waziri Makamba: Serikali kuanzisha ofisi maalum ya mradi wa LNG, mazungumzo kukamilika Disemba

    Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiyo kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa mradi wa LNG nchini. Katika mazungumzo hayo na Bwana Cederic Cremers, Makamu wa Rais...
  18. Serikali yaagiza zile nyumba ambazo ukuta umepita mbele ya geti, moja ivunjwe ndani ya siku 7

    Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba iliopo Fuoni Migombani, kwa madai msimamizi wa nyumba hiyo, Hafidh Ahmed Mohammed, amejenga kinyume na utaratibu wa kisheria za mipango miji na vijiji. Ametoa agizo hilo baada ya...
  19. K

    Serikali ya Rais Samia inavyotekeleza huduma za Maji

    Watumiaji wa huduma za Maji nchini moja kati ya kero zao ilikua ni kuhusu ubambikaji wa bili za maji kwa wananchi, Miongoni mwa maagizo aliyowahi kutoa Rais Samia Suluhu ni pamoja na uharakishwaji wa uwepo wa mita za malipo ya kabla kwa watumiaji wa maji nchini. Mkurugenzi wa Mamlaka ya...
  20. Rasmi: Serikali yaridhia kutungwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Baraza la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi. Amesema kwa mara ya kwanza sheria hiyo itasomwa katika mkutano wa Bunge utakaoanza Jumanne ya Septemba 13, 2022 jijini Dodoma huku akiwataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…