serikali

  1. N

    Serikali yasitisha rasmi mgao wa maji

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuondoa kero kwa wananchi na sasa mgao wa maji Dar es Salaam umefika mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitangaza kusitishwa kwa mgao wa maji. RC Makala jana alisema kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani unapata maji ya kutosha na ya ziada...
  2. Tunaomba serikali iyaachie mashirika muhimu ya umma yenye kutoa huduma kwa jamii moja kwa moja yajitegemee kila kitu kasoro usimamizi tu

    Hii ni kwa maslahi ya wananchi... Kinachopelekea uzembe na kudorora kwa utoaji wa huduma kwa wananchi ni Kwamba... Wana uhakika wa mshahara bila kujali mauzo... Ingebidi wawe wanawapata malipo kulingana na wanavyouza wangekuwa na adabu na kujituma. Kwa mfano TBC wanajua kabisa... Uangalie...
  3. Serikali kuvuna 75% ya mapato kitalu cha gesi Ruvuma-Mtwara

    Serikali imeingia makubaliano ya kihistoria ya uzalishaji na ugawaji wa mapato (PSA) kitalu cha gesi cha Ruvuma-Mtwara yenye thamani ya Dola milioni 500, hiyo ikiwa ni miaka saba tangu kubadilishwa kwa sheria ya Petroli mwaka 2015. Kupitia mkataba huo, Serikali itapata faida kwa asilimia 75...
  4. B

    Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ghafi ya mafuta na gesi

    25 November 2022 January Makamba - Kitalu cha gesi Ruvuma Mtwara, serikali kuvuna 75% ya mapato ghafi Video courtesy of Millard ayo Hayo yamebainisha na waziri wa nishati Mh. January Makamba kufuatia mkataba huo wa kihistoria serikali. Waziri January Makamba anabainisha kuwa huko nyuma...
  5. N

    Serikali yapunguza riba ya mikopo

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu iliahidi kumuinua mwananchi kiuchumi na sasa imekuja na punguza ya riba ya mikopo ya mtu binafsi Benki Kuu ya Tanzania imetangaza kushusha riba ya mikopo binafsi kutoka asilimia kati ya 11 na 13 hadi asilimia 9. Hatua hii inafuatia...
  6. M

    Sasa Serikali iamue lugha ya Kiingereza iwe ya kufundishia shule ya msingi kuliko kuruhusu mikoa na wilaya kujiamulia. Huu ni ubaguzi!

    Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english medium. Kwetu sisi wazazi tunaona kuwa ni jambo jema kabisa kwani tumekuwa tukilihitaji kwa muda...
  7. Tanga: Utaratibu wa ugawaji mahindi ya msaada unatukera, Serikali iangalie utaratibu uliopo

    Wanakijiji Tanga wanapanga foleni kupata msaada wa mahindi na pia lazima waje na vitambulisho, wanauziwa kilo moja kwa shilingi mia tisa, watu ni wengi sana na foleni huenda ikawa hadi jioni na kitu endelevu. Kinachofanyika kwa sasa kimekuwa kikifanyika wiki nzima yote hii. Wanaunganika...
  8. Malaysia: Mpinzani ateuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya Serikali kupoteza viti vingi Bungeni

    Mfalme Sultan Abdullah amelazimika kumteua Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim na kuhitimisha siku 5 za mzozo wa Kisiasa uliosababishwa na Kura zenye utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu. Uteuzi wa Anwar unatajwa pia kumaliza miaka 30 ya mvutano wa kisiasa kati ya Serikali na Upinzani na kuweka...
  9. K

    Serikali inatengeneza Ajira 40,000 Kwenye Kilimo

    Rais Samia Suluhu amemaliza Ziara yake leo mkoani Manyara kwa kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Baada ya ukaguzi huo alikutana na kuzungumza na wananchi. Kabla ya Rais Samia kuzungumza. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alipata nafasi ya kuzungumza na kuongelea jinsi Serikali...
  10. Zimbabwe: Serikali yapitisha sheria ya kuwaadhibu 'wasio wazalendo' kwa nchi

    Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake. Pia, Sheria hiyo iliyopewa jina la Sheria ya Uzalendo, imeharamisha raia wasioidhinishwa kufanya...
  11. Nilimeza dawa za Malaria nikachubuka Uume na Midomo. Je, Serikali inafahamu kuhusu haya Mambo?

    Kama haya madhara mnayafahumu kwanini mnapiga kimya hamtoi taarifa kwa watumiaji? Uume ulichubuka na kutoa usaha Then nyie mpo kimya tu Daktari anasema Kuna salfa Lakini why nyie Viongozi wa dawa za Binadamu hamtoi Mwongozo?
  12. Serikali iitupie jicho kali MVIWATA na viongozi wake, tayari wamejibainisha kuwa na ajenda ya chinichini ya kisiasa

    Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano. Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
  13. K

    Mikakati ya Serikali ya Rais Samia kuhusu akiba ya Chakula Nchini

    Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
  14. Mali yapiga marufuku Mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa na Ufaransa

    Serikali ya kijeshi ya Mali Jumatatu ilipiga marufuku shughuli za mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa au kuungwa mkono na Ufaransa, ikiwa ni pamoja na mashirika ya kibinadamu, huku kukiwa na mzozo unaozidi kuwa mbaya kati ya Paris na Bamako. Waziri Mkuu wa muda wa taifa hilo la Afrika...
  15. Suala la umeme Tanzania ni uzembe wa Serikali

    Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it." Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi. Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January. Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani...
  16. Simu zapigwa marufuku Magerezani Uganda wakati wa Kombe la Dunia

    Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka. Msemaji wa Magereza Frank Baine amesema "Wafanyakazi wote hawatakiwi kuripoti kazini na Simu kwa sababu zinavuruga umakini na...
  17. Kwanini Mabenki bado yanakata Tozo za Miamala zilizofutwa na Serikali?

    Hivi wakuu mmegundua wizi unaofanywa na Mabenki kwenye makato ya miamala? Licha ya Serikali kufuta Tozo za Miamala ya uhamishaji fedha ndani ya Benki, kwenda kwenye Simu pande zote, kutoka Benki moja kwenda nyingine tangu Okt. 1, 2022 lakini bado kuna Benki zimeendelea kukata tozo hizo bila...
  18. Kwanini wenyeviti Serikali za mtaa/Vijiji hawashitakiwi mahakamani au kufungwa kwa kushiriki utapeli/wizi wa ardhi?

    Wadau hawa jamaa wanashiriki mno ktk wizi WA ardhi kwa makusudi. Mbona sisikii wakifungwa au walau wakipandishwa kizimbani? Yaani hata akijua mahali ni open space au palishauzwa, maadam tu wamekuja watu wanataka kuuziana, anasaini, anatia mihuri anaomba 10% anasepa. Wanaogopwa? Kunani? Wengi...
  19. Nje ya Social media Serikali ya Awamu ya 6 inasemwa ovyo sana

    Heri Yako wewe unaepata nafasi ya kuandika chochote hapá kwenye jukwaa la watu laki sita. Lakini pia ndani kuna chawa wakupaka rangi uongozi wa sa100 kutuamaninisha mambo Yako bomba. Kama watu wote wangekuwa na uwezo/,Uhuru wa kueleza hisia Zao hazarani, basi tungeshuhudia maandamo makubwa...
  20. J

    Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…