Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Michezo.
Ikumbukwe Februari 16, 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul...