serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Irani itatekeleza hukumu ya kifo kwa watuhumiwa hawa 7 ambapo 2 wanauraia wa Uingereza?!

    Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi, Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Serikali kuacha Ubaguzi wa Sisi Wakazi wa Oysterbay. Nimekasirishwa sana na hili jambo

    Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua) Juzi wakati Mlinzi wangu...
  3. JamiiForums Tanzania Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

  4. JamiiForums Tanzania Serikali yazuia vifaranga 62,730 vilivyoingizwa nchini kutoka Ubelgiji

    Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Hezron Nonga amesema wamezuia vifaranga 62, 730 vya kuku wa mayai kuingia nchini baada ya kubainika kutokuwa na vibali pamoja na cheti cha afya. Vifaranga hivyo ambavyo ni mali ya kampuni ya Phoenix Farms Limited ya Mkuranga...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo. Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za serikali mabarabarani hazisaidii kupunguza ajali

    Haya hapa ni madhila barabarani yakiwahusisha wale vinara wa kutuasa kuhusiana na ajali barabarani: Miili ya wanandoa wapya kuzikwa leo Mbeya Kwanini kama nia ni njema hatujifunzi kutoka kwa wengine? Speed Cameras Introduced on Nairobi Expressway Kwanini kuwa na magari barabarani yenye...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na Samia au Majaliwa?

    Ishu vipi wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, narudia tena kuuliza. Je, serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na kuendeshwa na Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa? Nauliza hivi kwa sababu kuna madudu mengi yanayofanywa na viongozi wa serikali ambao wengine ni wateule...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kuzuia upandishaji nauli holela wakati wa sikukuu?

    Imekuwa ni kawaida kuona taarifa za ongezeko la nauli za usafiri hasa mabasi yanayosafiri mikoani, lakini Serikali mara zote imekuwa ikitoa matamko kadhaa lakini kiuhalisia hakuna mafanikio kivitendo. Mfano ukienda Kituo cha Magufuli vilio vya nauli kupanda vipi tena kwa wingi, ninachojiuliza...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
  10. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali iangalie namna ya wasanii wanaotaka kufikisha ujumbe kwa jamii watumie mambo yote ya imani yao na siyo imani nyingine

    Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini...
  11. JamiiForums Tanzania Kama takwimu za miradi ya maendeleo inayotekelezwa zingewafikia Watanzania wote, Wanaokosoa jitihada za Serikali hii wangezomewa sana na Watanzania.

    Toka Muungano wa Zanzibar na Tanganyika kuna awamu 5 za utawala zimepita, kwa namna yake kila awamu imefanya mambo makubwa kwa wakati wake, kuanzia kwa Baba wa Taifa Hayati J.K.Nyerere, Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa (Mungu ampe pumziko la milele), Mzee wetu Profesa Jakaya...
  12. JamiiForums Tanzania Gambia yathibitisha kuzima jaribio la kwanza la Mapinduzi ya Serikali

    Mamlaka zimewakamata watu 4 wanaotuhumiwa kushindwa kutekeleza Mapinduzi dhidi ya Rais Adama Barrow, ikiwa ni tukio la kwanza la uasi tangu amshinde mtawala wa muda mrefu Yahya Jammeh. Pia, Jeshi limetangaza msako kwa Watu wengine watatu wanaotafutwa kwa madai ya kuhusika katika kupanga njama...
  13. JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku wanawake kujiunga vyuo vikuu Afghanistan

    Utawala wa Taliban Nchini Afghanistan umeamuru kupiga marufuku kwa muda usiojulikana elimu ya chuo kikuu kwa wanawake wa nchi hiyo. Taarifa Iliyo Tolewa na wizara ya elimu ya juu ilisema katika barua iliyotumwa kwa vyuo vikuu vyote vya serikali na vya kibinafsi. "Nyote mnaarifiwa kutekeleza...
  14. JamiiForums Tanzania Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

    Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania Hukumu hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki mbele ya Jaji Dk. Yose Mlyambina kwenye Masijala Ndogo ya Songea. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Seif Chombo, Abdallah Chombo, Mohamed Kamala, Athumani Chombo, Omary Mbonani na Rashidi Ally...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani: Tiktok yazuiwa kwenye Kompyuta za Serikali za Majimbo 19

    Mashirika ya Serikali yameanza kupiga marufuku matumizi ya huduma maarufu ya mitandao ya kijamii ya TikTok kwenye vifaa vinavyodhibitiwa na serikali kwa kuhofia kwamba China inaweza kuitumia kuingilia taarifa za Serikali na kukagua maudhui. Majimbo 19 kati ya 50 ya Marekani tayari yamezuia...
  16. JamiiForums Tanzania Suala la Ihefu: Mtu mkubwa Serikalini amewekwa mfukoni?

    Suala eneo la Ihefu, chanzo cha mto mkuu wa Ruaha, limekuwa likilalamikiwa kwa miaka sasa. Najua serikali imekuwa ikilishughulikia hili tatizo la kuingiliwa Ihefu kwa nyakati tofauti, lakini ni kama imekuwa funika kombe wanaharamu wapite. Nashindwa kuelewa, inakuwaje mtu, watu wanachepusha mto...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia lakuza uchumi wa Tanzania

    Kama tunakumbuka vizuri Rais Samia Suluhu alifanya ziara ya kikazi nchini Qatar na akafanikiwa kudumisha mahusiano mazuri ya kibiashara (Diplomasia ya uchumi) baada ya ziara hiyo Tanzania tumenufaika zaidi katika biashara mbalimbali ikiwemo ya uuzaji nyama katika nchi hiyo ya kiarabu...
  18. JamiiForums Tanzania Maazimio ya Serikali na wadau wa Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Desemba 17, 2022

    Ukumbi wa Kimataifa Wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC)- Dar es Salaam AZIMIO LA JUMLA Kongamano limeazimia kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa hatua kubwa iliyochukuliwa kupanua uhuru wa vyombo vya habari na kufungua milango ya mazungumzo na wadau wa habari kuhusu ukuaji wa sekta ya...
  19. JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Serikali yenyewe ndio inatengeneza mazingira ya uwepo wa ‘Fake news’

    Mwanahabari mkongwe Absalom Kibanda ametoa maoni yake kuhusu umuhimu wa Serikali kufanya kazi kwa ukaribu na Vyombo vya Habari ambapo kwa asilimia kubwa amelaumu mazingira ya tata baina ya pande hizo mbili. Akitoa maoni katika Kongamano lililohusisha Wadau wa Habari, Serikali na Waandishi...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali naomba mtofautishe muonekano wa sarafu za shilingi 500 na shilingi 10.

    Hizi sarafu mbili zinafanana mno, kiasi kwamba inakuwa ngumu kwa mtu kuzitofautisha haraka haraka hasa katika mazingira yenye giza. Mfano jana usiku nisingekuwa makini ilikuwa nishikishwe sarafu 6 za shillingi 10 nikidhani ni elfu 3. Serikali fanyeni kitu kuzitofautisha hizi sarafu kimuonekano.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…