serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali: Ndoa za jinsia moja hata wanyama hawana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika Televisheni. Dr. Mpango ameyasema haya wakati akiongea na Waumini wa...
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma Naombeni msaada ndugu zangu
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Serikali imenilipa nusu ya stahiki zangu, nikilipwa fedha za matibabu sitazirudisha kwa walionichangia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya: “Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44 niliyokuwa Bungeni, nimelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 bado cha miezi 24. “Nilikuwa nadai fidia ya...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Miradi mitano ya kikmkakati ambayo serikali yafaa kuitekeleza ili baada ya miradi ya kikmkakati iliyopo kukamilika

    Salama wakuuu. .. Ni ukweli usione na shaka kwamba pamoja na mapungufu yake hayati Magufuli alikua na uthubutu mkubwa WA kuanzisha miradi ya kikmkakati Miradi hii ambayo ni pamoja na reli ya sgr, bwawa la kufua umeme ya Nyerere , bomba la mafuta kuhamia Dodoma ,ununuzi WA ndege nk...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali itangaze dau ili kupata suluhu katika maboresho ya usalama wa bodaboda

    Lema aliibua hoja ya msingi sana ambayo wahuni wameifunika katika propaganda nyepesi kwamba alisema kazi ya bodaboda ni laana. Hilo ni kwa mtazamo wake, lakini kwa upande wangu mimi siwezi kuiita laana maana inalisha familia za watu, kusomesha na kujenga, ni ajira kama ajira nyingine...
  6. JamiiForums Tanzania Mkandarasi haongei lakini anachukizwa, Serikali wilaya ya Temeke ijitathmini

    Mkandarasi anayejenga Barabara ya mabus ya mwendokasi MBAGALA na hakika anachukizwa mno na adha anazokutana nazo SITE, haswa kipande cha ZAKHEIM - RANGI TATU. Serikali wilaya ya Temeke imebaki inaangalia tu. Ni kweli WANANCHI wa MBAGALA wanajipatia riziki katika mihangaiko yao ya kila siku pale...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iangalie hali ya usalama kwenye boti za mwendokasi Kivukoni na Kigamboni

    Mimi ni mwananchi wa kawaida leo nimeamua kuweka hili suala wazi ili jamii ione wazi kuliko kuendelea kulalamika chinichini kila siku. Naamini kupitia hapa Jamii Forums ujumbe huu utawafikia Watanzania wengi na vyombo vya Serikali kuweza kuelewa ninachokiandika hapa. Hoja yangu ni kwenye zile...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi waliopo chini ya Hospitali za dini (FBO) wanaolipwa mishahara na serikali

    Wafanyakazi wanaofanya kazi chini ya hospitali za kidini, yaani muajiri wao ni FBO lakini wana check namba na wanalipwa mshahara na serikali, Je Inawezekana mfanyakazi huyu kuhama kuhamia kituo cha serikali 100% Vipi kuhusu Haki zao zingine za kiutumishi kama vile kujiendeleza kielimu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wanawake wawili wakamatwa na Nyara za serikali

    Wanawake wawili wa Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa kukutwa na nyara za Serikali, ambazo ni Swala na mtoto wa mnyama aina ya Digidigi ambaye yuko hai. Wanawake hao ni Veronica Paulo (24) na Witnes Paulo (20) ambapo Machi 20.2023...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yanunua Madume ya Ng’ombe 366 kwa Tsh. Milioni 878.4

    NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi David Silinde amesema katika kipindi cha miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, serikali imenunua madume ya ng’ombe ya kisasa 366 yenye thamani ya Silingi Milioni 878.4 ili kuboresha mifugo nchini. Silinde ameyasema leo katika Kata ya...
  11. JamiiForums Tanzania Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
  12. JamiiForums Tanzania Wengi tungeswekwa magerezani awamu ya tano wakati Serikali inataka IP adress za accounts zinazoikosoa, tunashukuru JamiiForums mlitusimamia

    Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali. Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa...
  13. JamiiForums Tanzania Senegal: Mmoja auawa katika maandamano ya kuipinga Serikali

    Tukio hilo limetokea Machi 20, 2023 Kusini mwa Senegal wakati wa vurugu zilizohusisha Wanausalama na waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko. Imeelezwa kijana aliyefariki alipigwa risasi katika Mji wa Bignona wakati waandamanaji wakipinga Sonko kushtakiwa kwa tuhuma...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

    Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa. Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka...
  15. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuanzisha Barabara za kulipia tozo

    Kamatia ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kuona umuhimu wa kuanzisha na kujenga Barabara za Kulipia Tozo Ili kuweza kuongeza mapato. Kamatia imetaka Barabara ya Kimara Hadi Kibaha ndio iwe ya kwanza kuingizwa kwenye mfumo huo. My Take: Safi sana Kamatia,ifike mahala tuepukane na...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua Trafiki, Serikali imeshindwa kuthibitisha

    Mfanyabiashara Aman Elikana (38) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. Elikana alikuwa akituhumiwa kumuua askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, mwenye namba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natinga Kenya kumlinda Ruto na Serikali yake

    Raila na genge lake wana bahati mimi na vijana wangu hatukuweza kufika kabla ya maandamano kwasababu imetubidi twende Marekani Kwanza kumsaidia Trump asikamatwe. Ila baada ya ishu ya Trump kuimaliza tunashuka Nairobi. Ole wake Raila na genge lake waitishe tena fujo tutatembeza mkong'oto wa aina...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali itatue changamoto zilizojitokeza wakati wa uuzaji wa Mbolea ya Ruzuku

    Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya Elfu 50,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa Kilo 50. Mbolea ya Ruzuku imewasaidia wakulima kuondokana na...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amezitaka Wizara na Wadau katika sekta ya biashara kukutana kila miezi mitatu kujadiliana kuhusu changamoto za biashara

    Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZNBC), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka Wizara na wadau wa sekta mbalimbali zinazofanya biashara wakutane kila miezi mitatu kujadiliana kuhusu changamoto na kuzipatia ufumbuzi. Pia...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ianze kuitambua Masters kwenye mishahara

    SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan "Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale" Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…