serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kinachowasaidia yanga ni UCHAWI na siasa za watu Fulani wa serikali, ila Hawana UWEZO WOWOTE KIMPIRA.

    Huo NDIO ukweli. Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni. Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo...
  2. JamiiForums Tanzania Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

    Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu. Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
  4. JamiiForums Tanzania Serikali mmeweka WIFI masokoni na stendi ila mmezipiga pin( password)

    Serikali mmefanya jambo zuri kuweka kufunga public WIFI masoko makuu na stendi lakini cha ajabu mmeweka password , lengo lenu kuweka ilikuwa ni nini kufunga WIFI kwa matumizi yenu binafsi? Kama mmeamua kuweka free Internet basi tueni password ili abiria waweze kutumia huduma ya Internet na sio...
  5. JamiiForums Tanzania Watumishi Geita waomba serikali kuwawezesha bando

    Wafanyakazi kutoka idara tofauti mkoani Geita, wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwaajili ya vifurushi vya Intaneti, ili kuwawezeaha utumaji wa taarifa na madokezo kwa waajiri wao kwa wakati. Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha nchini na baadhi ya watumishi kuishi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

    Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa? Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Nagu: Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuboresha Huduma za Afya Msingi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa, Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuleta mageuzi katika utoaji wa huduma za afya msingi ndani ya kipindi cha miaka minne iliyopita ya uongozi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

    Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona siku hizi serikali haipewi gawio kama kipindi cha JPM

    Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu. Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili . Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kabla hujainyooshea kidole Serikali tafakari kwanza familia yako

    Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ipige marufuku hawa madalali holela wa viwanja mitaa

    Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu. Hivi hatua tatu za miguu nd barabara ije kujengwa njia za watembea kwa miguu, taa za barabarani, two lane road au ndo mwanzo wa bomoa...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Festo Dugange: Serikali imetenga Sh Bilioni 200 kuwawezesha Wananchi Kiuchumi

    Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za kilimo, ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi wa samaki, Ili kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia fursa mbalimbali za kifedha zinazotolewa na Wizara pamoja na mifuko...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isi-focus miaka mitatu miji wa mkoa mmoja mmoja kama ilivyofanya kwa Dodoma

    Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga hatua kubwa kutatua migogoro ya Ardhi na kuboresha Huduma

    Dodoma, Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kuandika historia mpya katika sekta ya ardhi kwa kuhakikisha migogoro ya muda mrefu inapatiwa suluhu ya kudumu na huduma kwa wananchi zinaboreshwa kupitia teknolojia ya...
  16. JamiiForums Tanzania Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) walaani baadhi ya Viongozi, Taasisi za Umma.. kudhoofisha uhuru wa Wanahabari na Vyombo vya Habari

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Kutokana na vifo zaidi ya 500, baadhi ya viongozi wa juu wa serikali na vyombo vya ulinzi walipaswa kujiuzulu.

    Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka mfano hatari sana kwa siku zijazo linapokuja suala la uwajibikaji katika kulinda uhai wa raia.
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi wa kiserikali ni kosa la kiufundi kujibishana na Wananchi. Unajiingiza na kuingiza serikali kwenye mitego ya kuchukiwa

    Hamjambo! 1. Kama Mtibeli jukumu langu ni kuwafundisha.. 2. Kwenye Saikolojia kuna kanuni za kumaintain power na kubaki na heshima. Bila kutumia nguvu na mabavu. 3. Hapa nazungumzia Stoicism (Ustahimilivu wa kihisia), ambapo mtu anachukua msimamo wa kutokujibu uhasama au changamoto za nje...
  19. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu Wa Serikali Gerson Msigwa awaita walipa kodi 'Nguchiro'. Ni kiburi cha aina gani hiki?

    Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao? Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tujitafakari, Serikali inashambuliwa mitandaoni vitengo vya Habari na maafisa wapo kimya

    Watu wamwambia watateteaje uongo. Hawajui kilichomo kwenye ripoti watatetea vipi. Waziri wa Habari Makonda ajitafakari pamoja na kupewa B2 za content creators hajaisaidia serikali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…