serikali

  1. Serikali ya Tanzania ndio adui wa ustawi wa Watanzania, ushahidi huu hapa

    Habari, Watu wanaishia kulaumu majani na matawi huku wakisahau shinda na mizizi yake kuwa ndiyo chanzo cha mti kutokutoa matunda . Serikali ya Tanzania imeweka kodi za kuumiza kila kona. Ngoja nikupe mfano mmoja kutoka taasisi za mikopo midogo Mtandaoni. Hizi Taasisi au microfinance hazina...
  2. R

    Kwanini Mawakili wengi binafsi wanashangilia na kukimbilia kusimamia kesi za wanaodaiwa kutukana au kuikosoa Serikali?

    Leo tumeona Polisi wamedai kumkamata mmiliki wa akaunti ya X inayotambulika kwa JINA la Sukunuku; mara tu polisi walipotaka hayo mawakili binafsi wengi wameonyesha nia ya kusimamia kesi hiyo huku baadhi wakiweka wazi kwamba watashinda kesi husika mapema kabisa. Mmoja wa mawakili ndugu Madeleka...
  3. 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  4. Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  5. Serikali inatarajia kutumia Tsh. Trilioni 9.59 katika Mikopo kwenye Bajeti ya 2024/25

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia ambapo imefanya vizuri katika sekta za Afya, Elimu, Maji. Dkt. Nchemba alitoa ufafanuzi huo wa ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2024/25, wakati alipokuwa akiweka...
  6. ACT Wazalendo: Vitita vipya NHIF vinageuza huduma ya afya kuwa biashara, Serikali ifute vitita vipya

    ACT Wazalendo tumeguswa na taharuki za wananchi kutokana na taarifa za utata juu ya upatikanaji wa huduma za afya kupitia Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF). Wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2024 tulishuhudia mivutano mikali kati ya Serikali na watoa huduma za afya binafsi (Vituo binafsi)...
  7. B

    Serikali ianzishe posho ya walimu ili kudumisha uzalendo kwa kizazi cha Watanzania

    Watoto wa Kitanzania wanafundishwa na walimu wenye msongo mwingi wa mawazo kwa kufanya kazi huku wakiwaza future ya maisha yao. Watoto hawawezi kuja kuwa wazalendo nchi hii kwa sababu, walimu ambao ndio role model wao (kwa sababu wanakao nao muda mrefu wa makuzi yao) muda wote wanailamu...
  8. J

    Serikali ya Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete ndio ilithubutu Kuwafunga Jela Mawaziri na Makada wa CCM Mafisadi!

    Wote tunakumbuka Daniel Yona alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Basil Mramba alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri Rajab Marandu alifungwa Jela kwa Ufisadi wa EPA Hii ndio rekodi pekee ambayo Shujaa Magufuli aka Jiwe hakuivunja Ramadan Kareem 😄
  9. Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo zinafanya vizuri robo fainali na kusonga mbele. Waziri Ndumbaro amesema pamoja na mambo mengine, amewataka...
  10. F

    Watalaamu wa masuala ya uwekazaji wa amana na mifuko ya serikali naomba mnijibu swali langu hili

    Nikiwa kama miongoni mwa raia tunaopambana nje ya mfumo rasmi nimefikiria kuwekeza kwenye mfuko wa amana za serikali wa UTT AMIS kwenye scheme ya BOND TRUST FUND ambayo itanipa gawio la kila mwezi. Mfuko huu ili kupata gawio la kila mwezi kiwango cha chini cha uwekezaji ni milioni 10. Lengo la...
  11. Serikali yamtorosha mwanafunzi kwenda Marekani (USA); mzazi aomba Rais Samia amsaidie

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukiisikiliza hii stori kwa umakini bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, utagundua kuwa serikali ndiyo imehusika katika kutoroka kwa mwanafunzi huyu 100%. Kwa maana nyingine naweza kusema serikali ndiyo imemtorosha baada ya kupuuzia...
  12. Serikali iziachie taasisi kama UDART na DART zijiendeshe zenyewe na ziteue watendaji wanofaa hata kama ni kutoka nje

    Maofisa watendaji wakuu wa taasisi yoyote ile ni maofisa waaandamizi kabisa wa kampuni au taasisi yoyote ya umma. Kwa miaka mingi kumekuwepo na teuzi na tenguatengua za watendaji wa makampuni na taasisi mbalimbali za serikali jambo linoonyesha kuwa kuna tatizo kwani taasisi hizo ama zimeitia...
  13. D

    Kauli ya Rais Samia inaonesha Makonda kapewa baraka kuwaongoza viongozi wengine wote!

    Tunadhani hii case closed! Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM. Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa...
  14. M

    Serikali na mashirika binafsi zione umuhimu wa kuanza kutumia mifumo ya NFC kwa transaction

    Sahivi simu nyingi hapa bongo zina support NFC (Near-field communication) ambayo inaweza kurahisisha transaction kwenye mifumo kama ATM, vivuko, machine za uwakala, pia kulipia ushuru wa magari na vitu vingine vingi, ni salama ni rahisii na unahitaji Tu kuwa na simu yako basi na kama ilivyo...
  15. Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

    Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto. Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi. Wanasiasa...
  16. Serikali ituonee huruma wananchi mkoa wa Arusha katika masuala ya uhifadhi

    Habari za Alfajiri Watanzania wenzangu. Bila shaka kila mmoja wetu ni shahidi kwamba Mkoa wa Arusha umekuwa ni HOST wa uhifadhi hapa nchini hasa unaohusisha Wanyama Pori. Na hili sio automatic. Sababu kubwa ni nature ya watu wa asili wa mkoa wa Arusha kutokuwa adui kwa Wanyama Pori kwa maana...
  17. Serikali ya Marekani yatangaza kuanza kwa programu ya diversity visaby U.S

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unatangaza kuanza kwa programu ya Diversity Visa kwa mwaka 2024 (DV-2024) hapo tarehe 6 Oktoba 2024. Kila mwaka, kupitia programu hii, Marekani hutoa viza za ukaazi wa kudumu (immigrant visas) zipatazo 55,000 kwa raia wa nchi ambazo kihistoria zina idadi...
  18. KERO Nchi hii Dharau zimezidi! Watumishi wa serikali Vyeo sio Misifa, ni Dhamana

    Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
  19. Prof. Lipumba: Napata wasiwasi kanuni zipi kutumika Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi. Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa...
  20. Serikali iwasaidie Wanakijiji hawa wa Dodoma wanateseka kwa kukosa maji safi na salama

    Nimetazama video hii ya Habarika24 TV ikanikumbusha nilipowahi kufika kwenye hiki Kijiji cha Madaha Wilayani Chemba Mkoani Dodoma na vingine kadhaa vya jirani nilipoenda kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Nilikuwa na mwenyeji wangu ambaye alinieleza kuwa changamoto hiyo ni ya kawaida kwao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…