serikali

  1. JamiiForums Tanzania Juzi nilikuwa Posta, Mwendokasi mida ya jioni ni kisanga. Serikali hamwoni? Nusura nipate kilema

    JUZI NILIKUWA POSTA, ASEEH! MWENDOKASI MIDA YA JIONI NI KISANGA. SERIKALI HAMWONI? NUSURA NIPATE KILEMA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya kumaliza kilichonipeleka, jua lilikuwa limeshapunga mkono wa Buriani. Kigiza cha usoni kilikuwa kimetawala usoni pa Nchi. Ni saa moja hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  3. JamiiForums Tanzania Kuna shida kubwa Bandarini, Serikali ipo kimya!

    Je Hii ndio DW Word imeanza kazi? au bado bandari wanasuasua? Kuna wakati ilitoka habari humu kuwa meli zinakaa muda mrefu bila kushusha mizigo mpaka ikafikia hatua meli zinahama bandari lakini Mamlaka ya Bandari wakakanusha pengine ni ukweli ambao ulifichwa. Hii dhambi ya kukanusha taarifa...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea Vikwazo Viongozi wakuu wa serikali ya Zimbabwe

    Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Rais wa Nchi hiyo, Makamu wa Rais , Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF . Viongozi hao wanakabiliwa na tuhuma za ufisadi , kukomba mali ya umma , ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu, unyanyasaji uliopitiliza , utekaji na Mauaji ...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Raimondo yafichua angalau sifa tatu ilizo nazo serikali ya Marekani ya sasa

    Kuna msemo wa kale wa Kichina unaosema Jitumie Kuwahukumu Wengine, ambao unamaanisha kutumia mawazo yako mabaya kuwafikiria wengine. Ingawa ulitungwa katika Enzi ya Han ya China miaka 800 iliyopita, haujapitwa na wakati hata kidogo unapotumiwa kuelezea serikali ya Marekani ya sasa. Hivi majuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri atangaza Siku 14 kuondoa namba za 3D, madereva wa serikali kukiona

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza siku 14 kwa watumiaji wa Vyombo vya Moto barabarani kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa maarufu kama (3D) na Vimulimuli kwa magari yote yasiyoruhusiwa kuwekwa, namba zote zenye vibao vyeusi na zizonatumia namba za chasis, taa zozote na stika...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali na TCRA chukueni hatua kampuni ya Flex cash

    Wangudu Leo nikiwa kwenye feri natoka kigamboni kwenda mjini, nilikaa karibu na ndugu mmoja alikuwa busy kuongea na simu Baada ya muda kidogo nikaona anakosa nguvu kama anataka kuzimia, anatokwa na jasho Sana, Ikabidi kwenda kumsaidia na kumuuliza shida ya mkasa uliompata Kumbe bwana ana...
  8. JamiiForums Tanzania Mikopo inayoendelea kuombwa kwa kasi na Serikali hivi huwa inaenda kweli kwenye sehemu husika au inaisha tu juu juu?

    Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake? Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Haiti yatangaza hali ya Hatari na Marufuku ya Kutoka Nje Usiku

    Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana vurugu kwenye Magereza Mawili zilizowawezesha Maelfu ya wafungwa kutoroka Machi 3, 2024 Vurugu...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie

    Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini Dar es Salaam, kuna mwendelezo wa taarifa hiyo. Andiko hilo la awali lipo hapa - Serikali imsaidie...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

    Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao. Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali rekebisheni za chaguzi vizuri twende mbele kama nchi!

    Ukiangalia vizuri mapendekezo ya marekebisho ambayo vyama na wadau wanapigia kelele yarekebishwe ni ya msingi. Lakini sioni faida yeyeote ya maana kwa chama tawala cha CCM wala serikali kwa kuweka sheria nusu nusu na kuendeleza majibizano, maandamano na fikra kwamba chaguzi sio huru. Raisi samia...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi maendeleo huwa yanaletwa na Chama /Serikali?

    Mimi nafikiri maendeleo hayaletwi na chama au serikali bali na wananchi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kulipa kodi na kwa kuchagua viongozi sahihi ambao siyo mafisadi bali wacha mungu ambao watawaongoza wananchi kupata maendeleo yao na kwa kusimamia kikamilifu rasilimali za nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali iajiri madaktari watano kwenye milioni kumi aliyokuwa analipwa Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
  15. JamiiForums Tanzania NHIF: Tumeona matangazo ya Hospitali zinazositisha huduma, wamekiuka mkataba

  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iache Masihara na suala la Bima, wanacheza na maisha ya watu

    Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini. Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

    Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
  18. JamiiForums Tanzania Serikali isipuuze tamko la APHFTA kusitisha matumizi ya bima ya NHIF kutibiwa hospitali binafsi. Yanazungumzika

    Tangu Mwenyekiti wa Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya nchini (APHFTA), Dk Egina Makwabe atangaze azimio la vituo vyote vya afya kutaendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wapya wa bima ya NHIF kuanzia Machi 1, 2024, hakuna response yeyote kutoka upande wa serikali kuhusu tamko hilo. Je, tuamini...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Guinea yamteua Kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu mpya

    Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Serikali kuhusu kumalizika kwa Mgawo wa Umeme kwa takriban miaka 13 kuanzia 2010 - 2024

    Baadhi ya ahadi za Serikali kuhusu kumalizika kwa Mgawo wa Umeme zilizotolewa kwa takriban miaka 13 kuanzia mwaka 2010 hadi mwaka 2024.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…