serikali

  1. JamiiForums Tanzania Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

    Wakuu makazini mambo ni mazito. Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana. Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya. Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
  2. JamiiForums Tanzania Biteko: Serikali imejenga hospitali mpya 129, hospitali 50 zimekarabatiwa, ujenzi hospitali za wilaya 677 na zahanati 425

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi mingi katika sekta ya afya inayolenga kuongeza ufanisi katika huduma za afya na kuboresha maisha ya Watanzania. Sambamba na kulipongeza Kanisa Katoliki kwa juhudi zake za kutoa huduma za...
  3. JamiiForums Tanzania volkano ya kunduchi - serikali imetoa ufumbuzi gani?

    VOLKANO YA KUNDUCHI - SERIKALI IMETOA UFUMBUZI GANI? Habari hii ilivuma sana miaka mitatu iliyopita! https://youtu.be/AxuC1PRaTEQ https://youtu.be/RnoqUCZFBYg wataalam wa jioolojia waligundua kitu gani kisayansi? kweli hilo tope linatokana na volcano au ni udongo mfinyanzi tu uliozidi maji...
  4. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Deni la Serikali limefikia Tsh. Trilioni 96.8

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia mwezi June mwaka huu 2024, deni la Serikali liliongezeka na kuwa Tsh. bilioni 96,884.18 (Tsh. trilioni 96.8) ambapo Kati ya kiasi hicho, deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 31,951.24 na deni la nje lilikuwa shilingi...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali Yasaini Mikataba 93 Ujenzi wa Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua

    Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara na madaraja iliyoathiriwa na mvua za El Nino pamoja Kimbunga...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ujerumani yawataka raia wake wanaoishi Iran kuondoka mara moja huku ikiituhumu serikali ya Iran kwa kuwafanya mateka!

    Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel: November 1, 2024 Germany urges citizens to leave Iran due to risk of hostage taking By Reuters Today, 1:10 pm BERLIN, Germany — Germany has long had a travel warning for Iran and asked nationals to leave...
  7. JamiiForums Tanzania Washiriki wa Mapenzi ya Jinsia Moja kufikishwa Mahakamani, Serikali Yajipanga Kusimamia Sheria

    Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yafunga Mitandao ya Kijamii Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Kisiwa cha Mauritius imezuia upatikanaji wa Mitandao ya Kijamii kuanzia leo Ijumaa, Novemba mosi hadi Novemba 11, 2024 Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu Taarifa iliyotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya EMTEL, imesema iliamriwa Alhamisi usiku na Mamlaka ya Teknolojia ya Habari na...
  9. JamiiForums Tanzania Zainab Katimba: Serikali Itaendelea Kukarabati Shule Kongwa

    MHE. KATIMBA - SERIKALI ITAENDELEA KUKARABATI SHULE KONGWE Serikali imeendelea kutenga fedha za ukarabati wa shule chakavu nchini zikiwemo shule za msingi katika Vijiji vya Kalundi, Lyapinda na Londokazi kadri ya upatikanaji wa fedha. Hayo yamesemwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Serikali itaruhusu matibabu bure kwa jamii ?

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza inaruhusiwa kujenga Hospital binafsi na kutoa huduma ya Afya bure bila gharama yoyote kwa kila mtu mwenye changamoto. Nauliza swali, je kwa nyinyi Serikali mtaruhusu mtu binafsi atoe hiyo huduma buree!? Karibu.
  11. JamiiForums Tanzania Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini

    Haya sasa wale ambao wanakutana na matatizo ya afya ya akili hatimaye serikali imewakumbuka sasa Ila nimeipenda hii itatusaidia wengi sana. Kikubwa hilo baraza lifanye kazi kwa uwelidi na kuwasaidia watu ===================== Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Jumbe za matangazo na taarifa za serikali zimekuwakero kwetu wateja TCRA jitafakarini

    Habarini, Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya jumbe 20. Kulingana na sheria ya mitandao huu ni usumbufu na kuingilia uhuru wa mteja kwani makampuni...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freeman Mbowe: Pambaneni hakikisheni hakuna kura inaibiwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro source https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1851859898469863604
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa waandaaji wanafanya hujuma

    Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo zimeandikwa kwa kalamu yenye wino hafifu kwenye karatasi ya rangi hafifu ya njano hivyo kuyafanya majina...
  15. JamiiForums Tanzania Kujitolea hakufai kua kigezo cha taifa watu kupewa ajira; Badala yake serikali iongeze ajira kutaondoa tatizo

    Hoja ya Kujitolea Kama Kigezo cha Ajira Serikalini: Je, Ni Suluhisho au Tatizo? Hivi karibuni, Spika wa Bunge aligusia suala la kuwazingatia wale waliojitolea kama kigezo cha kuajiriwa katika nafasi za serikali. Ingawa nia ya serikali ni kusaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana, hatua...
  16. JamiiForums Tanzania Kangaroo Cort, Hakuna kesi ambayo Serikali ina masilahi nayo unaweza shinda kwa Mahakama za Tanzania

    Kesi ambazo tunaweza shinda kwenye Mahakama yoyote ile Tanzania ni zile Individual ambazo Serikali haina masilahi nazo na wala hazina impact yoyote kkwa Serikali. Kesi yoyote ambayo ina negative impact kubwa kwa Serikali hii ni kujisumbua nayo kwenye mahakama za Tanzania make ni ile Rostam...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali Yazidi Kutoa Fursa Wataalamu Sekta ya Ujenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa mwaka wa...
  18. JamiiForums Tanzania Edward Mpogolo: Serikali inawajengea uwezo Wataalamu wa ndani, wakiwemo Wabunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ipige Marufuku Ajira za kujitolea. Ni Mbinu mpya ya kinyonyaji, dhulma na uhujumu uchumi wa Nchi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hatuwezi kuwa na Taífa la matapeli, wanyonyaji na dhulma tupu. Alafu serikali ibariki unyonyaji huo. Inashangaza kumwona Kiongozi akishadadia na kuhamasisha Vijana wajitolee, wanyonywe, wadhulumiwe, wapotezewe Muda waô. Kwa kweli inasikitisha Sana Kama...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huu wa Serikali Mauzauza yanafanyika hadharani hamna uwoga tena

    Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa mauzauza sana jamani. Siku kadhaa zilizopita nilikuwa saluni akapita mjumbe wa mtaa wa Matawi, maeneo ya Skanska, akatusalimia pale na kuanza kuongelea mambo ya uchaguzi na kusema akidai kwamba chama kinawalinda watu wake na hakiwezi kukubali mtu wa nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…