serikali

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwita Waitara: Sina mpango wa kuachia Jimbo, ila naweza nisirudi Bungeni serikali isipotatua changamoto Tarime Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
  2. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibana Serikali ataka mikataba ya Bandari na DP World ipelekwe Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameitaka Serikali kueleza kwa nini mikataba ya uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam na kampuni ya DP World haijawasilishwa Bungeni ili wabunge waweze kujua maudhui yaliyokubaliwa kwenye mikataba hiyo. Akiwasilisha hoja yake wakati wa kujadili...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM atahadharisha Serikali kuendelea kukopa, asema kukopa sio sifa

    Mbunge wa CCM, Zahor Mohamed Haji wa Mwera ameitahadharisha Serikali kuacha kuendelea kukopa kwa sababu kufanya hivyo sio Sifa.
  4. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Trump ni habari mbaya kwa Tanzania na serikali ya CCM

    Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM. Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na wahusika wote wanaohusika kuhujumu mradi wa SGR wafikishwe mahakamani

    July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
  6. JamiiForums Tanzania Mamlaka za kiafrica ni kama zimelaaniwa. Kulikuwa na haja gani serikali za Equatorial Guinea kuvujisha video za ngono

    Wakuu habarini. Hizi serikali zetu ngozi nyeusi zinapenda sana mambo ya kipuuzi ili kuzima ajenda zao Kwa wananchi Kwa serikali yenye watu wenye akili kulikuwa na haja gani ya kuvujisha zile video za ngono? Walienda kuchunguza kashfa za rushwa? Kwa nini baada ya kukutana na hizo video...
  7. JamiiForums Tanzania Dhamira ya Serikali ni Kujenga Barabara ya Ndala - Mwawaza kwa Kiwango cha Lami

    DHAMIRA YA SERIKALI NI KUJENGA BARABARA YA NDALA - MWAWAZA KWA KIWANGO CHA LAMI "Barabara inayotoka Ndala kwenda Mwawaza Manispaa ya Shinyanga palipo na Hospitali ya Rufaa ipo kwenye Ilani ya CCM 2020-2025 lakini Makamu wa Rais alikuja Shinyanga akatoa ahadi. Ni lini Serikali itaanza ujenzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Kituo cha Afya Kata ya Mtunda, Kibiti

    SERIKALI KUJENGA KITUO CHA AFYA KATA YA MTUNDA, KIBITI "Kata ya Mtunda ni Kata ya kimkakati katika Jimbo la Kibiti ambayo ilikumbwa na mafuriko kipindi kilichopita. Je, nini kauli ya Serikali katika kujenga kituo cha Afya kwa wananchi ambao wamesubiri kwa muda mrefu sana?" - Mhe. Twaha...
  9. S

    JamiiForums Tanzania TLS na Mwabukusi: Fungueni kesi dhidi ya serikali kwa ukiukwaji mkubwa wa haki na udhalilishaji wa utu wa binadamu katika mahabusu na magereza nchini

    Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini. Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
  10. JamiiForums Tanzania Judith Kapinga: Serikali inaunganisha Mtwara na Lindi kwa umeme wa gridi kutokea Songea kupitia Tunduru, Masasi -Mahumbika

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la...
  11. JamiiForums Tanzania Esther Malleko Aiomba Serikali Kuendelea Kuboresha Bajeti za TAWA, NCAA na TANAPA

    Serikali itaendelea kuboresha bajeti ya Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori(TAWA), Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutegemeana na hali ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali ili kuimarisha shughuli za ulinzi na kuboresha miundombinu ya utalii. Haya...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai, akosea matumizi ya serikali, ayaita ni mabaya hayana tija

    Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai, amekosoa matumizi ya serikali, akiyaita ni mabaya na yasiyo na tija. Akichangia Bungeni mwelekeo wa bajeti ya 2025/26 na mpango wa maendeleo wa Taifa, alisisitiza umuhimu wa kuhakikisha fedha za umma zinatumika kwa miradi yenye manufaa kwa wananchi. Amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Wazabuni na wakandarasi mnayoidai serikali mtasubiri sana, Naibu Waziri Fedha asema wanahakiki wakipata pesa watalipa

    Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha kutokulipa kuna sababisha kudora uchumi Mbunge Viti Maalum Asia Alamga Ccm, yeye alihoji ni lini...
  14. JamiiForums Tanzania Swali kwa Serikali; Mwananchi ni Mwenye Nchi, Nguvu Kazi au Kitega Uchumi (Chanzo cha Mapato) ?

    Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai; https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Je Mwananchi ni Mwenye Nchi ? Sidhani, huyu jamaa...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Kipande cha Barabara Mbagala-Kongowe ni kero kubwa kwa tunaotumia njia hii

    Hii njia kama wewe ni mkazi wa huku nadhani unaelewa maumivu tunayoopitia wananchi. Hazipiti siku mbili au tatu bila kuwa na shida ya ajali na kusababisha foleni. Lakini wakati mwingine kupelekea vifo. Mfano jana ilitokea ajali na kusababisha vifo pale pale darajani mlimani. Gari lilifeli break...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

    Wakuu makazini mambo ni mazito. Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana. Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya. Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
  18. JamiiForums Tanzania Biteko: Serikali imejenga hospitali mpya 129, hospitali 50 zimekarabatiwa, ujenzi hospitali za wilaya 677 na zahanati 425

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi mingi katika sekta ya afya inayolenga kuongeza ufanisi katika huduma za afya na kuboresha maisha ya Watanzania. Sambamba na kulipongeza Kanisa Katoliki kwa juhudi zake za kutoa huduma za...
  19. JamiiForums Tanzania volkano ya kunduchi - serikali imetoa ufumbuzi gani?

    VOLKANO YA KUNDUCHI - SERIKALI IMETOA UFUMBUZI GANI? Habari hii ilivuma sana miaka mitatu iliyopita! https://youtu.be/AxuC1PRaTEQ https://youtu.be/RnoqUCZFBYg wataalam wa jioolojia waligundua kitu gani kisayansi? kweli hilo tope linatokana na volcano au ni udongo mfinyanzi tu uliozidi maji...
  20. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Deni la Serikali limefikia Tsh. Trilioni 96.8

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia mwezi June mwaka huu 2024, deni la Serikali liliongezeka na kuwa Tsh. bilioni 96,884.18 (Tsh. trilioni 96.8) ambapo Kati ya kiasi hicho, deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 31,951.24 na deni la nje lilikuwa shilingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…