serekali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    Kwa tamko kama hili la Serikali ya Kenya, kwa uoni wa ndani linamaana gani?

    Aidha serekali inajisikia vibaya kwa kutoweza kumsaidia mpaka eric omondi pale alipoitisha harambee?,au serekali imejisikia vibaya kijana huyu kupata msaada ingali yenyewe ilishindwa na maofisa ustawi kushindwa kufanya lolote au kutoa msaada? ==================== It was Carren Ageng'o — the...
  2. Ziroseventytwo

    Serekali na CCM, tambueni. CHADEMA ni kama ilivyo kwa HAMAS Kwa sasa. Ni ngumu kuitenganisha Chadema na wananchi

    Shekhe Yassin alipokianzisha chama cha HAMAS alijua kitakuwa ndio chama mbadala wa PLO ya mzee Arafat. Hamas walitawala huko Gaza wakati PLO walikuwa kule West bank. Nini ilikuwa tofauti ya itikati kati ya Hamas na PLO? PLO walikuwa wanaomba haki za wapalestina na Hamas wao walikuwa wakidai na...
  3. Ziroseventytwo

    Kiukweli kabisa, serekali hii ni sikio la kufa. Aidha wanatudharau au wanaona hatuna cha kuwafanya

    No reform No election ilianza hivi hivi. Chadema ambao ndio wanaopush agenda za wananchi, waliwaambia serekali na CCM kwamba bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi. Serekali ikiwadharau. Mh Lisu na kamanda Heche wakapita mikoani kuwaeleza wananchi wasiende kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu na...
  4. Crocodiletooth

    Ni nafasi gani za kiuongozi zinafaa kufutwa serekalini ili kupunguza ukubwa wa serekali yetu

    Je ni nafasi gani za kiuongozi zinafaa kufutwa na ambazo zimekuwa na kazi zinazofanana,ili kupunguza ukubwa wa serekali yetu pamoja na kupunguza mzigo wa ulipaji mishahara,ambao ni mzigo mkubwa kweli na unaogharimu fedha nyingi mno za walipa kodi wetu. Kipi kipunguzwe? Mfumo wa e govt...
  5. R

    Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo

    Tunaomba serekali iingilie swala la malipo kwa madereva waendao congo malipo ya mileage yawe yanaanzia dola elfu moja kwani tunalipwa kiasi kidogo
  6. Ngongo

    Ujenzi mtambo wa kusafisha mafuta Jiji Tanga naipongeza serekali

    Heshima sana wanajamvi, Kati ya mambo yaliyonisikitisha ni mwaka huu ni mradi wa ujenzi kuhamishiwa Mombasa. Nilimsikia Rais Ruto na baadae Rais Samia. Kauli ya Dangote ya kupeleka mradi Kenya ilinipasua moyo wangu vipande vipande.Nilimchukia,nilimwona ni tajiri mwenye nyodo za kipuuzi...
  7. Crocodiletooth

    Serekali yetu ni lazima itafute,ishughulikie vyanzo vyote vinavyoanzisha maandamano

    Hakika hakika, Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,.. Kuomba mawazo kwa Rais Kagame sio jambo baya he know well on how...
  8. A

    KERO Kero ya Wanafunzi kulazimishwa kusoma tuition shule za Serikali

    Habari wana Jamii Forums, Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
  9. M

    Mawakili wa serikali na mashahidi dhidi ya Lissu

    Nawashauri tu, mnafanya dhidi ya Lissu iwe kweli. Sio kukaa vikao vya siri mkajadiliana dhidi ya kumkwamisha Lissu na kufarihisha wengine. Helo hapa duniani mnaweza mkajiona wajanja lkn siku ukifumba jicho utaona madhara yake. Mtendeni haki Lissu bila kumuonea huruma lkn bila vikao vya siri...
  10. M

    PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

    MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC). Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya...
  11. Fbn

    Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  12. Crocodiletooth

    Ukimya wa serekali yetu, unamaanisha, inashughulikia kimya kimya kelele za watanzania.

    Nafurahi kuona serekali yetu inachukuwa hatua za kimya kimya kushughulikia wote wanaojihusisha na matendo ya utekaji na matendo yote yasiyo mema, Napongeza kwa hatua ya ukimya huu, na pia kwa sasa watanzania wakae na kujidai kifua mbele, taarifa za siri zinaeleza baadhi ya watekaji...
  13. K

    Asilimia 70 ya wafanyakazi wa serekali ya Kenya wana vyeti feki,na asilimia 30 wa mashirika wana vyeti feki

    Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
  14. joku

    Kwa matokeo haya naweza kwenda advance kwenye shule za serekali na kwa kozi gani?

    Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali na kama ndio kwa combination gani ? matokeo yenyewe ni MATHEMATICS (C) , CHEMISTRY (C) , BIOLOGY (C)...
  15. M

    LGE2024 Nimefurahi yaliyotokea kwa CHADEMA Serikali za Mitaa

    Wakati misuko misuko ya kisiasa ilipokuwa upande wa Zanzibar, wanasiasa wengi waliamini mizozo ya kisiasa ya Zanzibar ni ya kihistoria, hawakujua kwamba ilikua nguvu moja kuindoa nyingine. Wanajf wengi wakiponda wakiona kama mambo ya kufikirikika. Sasa yamehamia upande wa pili. Ambao enzi...
  16. Crocodiletooth

    LGE2024 Chaguzi zetu za ngazi za serekali za mitaa, tunafahamiana sana!

    Hakika uchaguzi za serekali za mitaa wengi tunafahamiana na nathubutu kusema chaguzi hizi ni "" tega nikutege, mwiba!"" Bwana mmoja katika mtaa wangu, ambaye tunafahamu kweli namaanisha in and out!, katika kugombea kwa tiketi to chama fulani, kwenye kazi akajijazia katika form kama...
  17. M

    Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

    Haiwezekani kitumia bendera ya nchi ambayo ipo ktk vita ktk kipindi cha mzozo wa dunia. Jee na wengine wakianza kuzitumia za Palestina itakuwaje?
  18. Crocodiletooth

    Serikali yetu haioni ni hekima kuwatumia wafungwa kama vibarua wa Wakandarasi katika kuwapunguzia mzigo?

    Katika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia mataifa kama China hufanya haya, huwa kama ni sehemu ya wafungwa katika kufundishwa kazi mbalimbali...
  19. Nigrastratatract nerve

    Zijue Changamoto kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini Tanzania unakumbana na changamoto kadhaa ambazo zinaweza kuathiri usimamizi na matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya changamoto kuu ni: 1. Mchakato wa Usajili wa Wapiga Kura: - Kutokamilika kwa Usajili: Vituo vya usajili vinaweza kuwa mbali au kutokuwa na vifaa...
  20. Chakaza

    Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

    Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine. Wasiwasi wangu...
Back
Top Bottom