sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ndoto ilitotabiri Mwisho wa Japani Kabla ya Hiroshima na Nagasaki: Sehemu ya kwanza

    Vitabu vya historia vinatuambia kuwa kabla ya Hiroshima pamoja na Nagasaki kupigwa na pigo basi walikuwa wameshachapika vya kutosha, yaani kabla ya zile bomu mbili kushushwa kulikuwa na hali mbaya sana ndani ya Japani. Raia wengi walifahamu kuwa Japani pamoja na Mfalme Hirohito hawatoboi mbele...
  2. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kufikiri kama Wanachuo wa UDSM wangefanya mzaha mkubwa kiasi, hii inaonesha dunia kuwa masihara ni sehemu ya maisha yao

    Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

    Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated * Aliruhusu mfumo wa vyama vingi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajuvi: Hivi kwa nini wapandisha majini hawapendi kuwepo misabani au sehemu za shughuli nyingi

    Kuna dada mmoja ni bingwa wa kupandisha wale wanaodai walisilimishwa huku imani yangu naita mapepo maana sijui elimu yake. Sehemu yenye misiba,masoko yenye watu wengi hataki kwenda anasema yana mfanya kupandisha. Na sehemu ambayo anaogopa sana kariakoo
  6. JamiiForums Tanzania Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Marekani: Watanzania waandamana kwenye ubalozi wa Tanzania

    Watanzania na wanajumuiya wa Afrika Mashariki wamekuwa na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Tanzania na wameweza kupeleka ujumbe kwa dunia kuwa SAMIA ni rais haramu na tunahitaji ndugu zetu waliotekwa warudishwe na waliouwawa miili yao irudishwe. DUNIA imeona na watanzania tumeona jinsi...
  8. JamiiForums Tanzania Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  9. JamiiForums Tanzania Gerezani sio sehemu nzuri

    Gerezani ni mahala ambapo kila Mtu apendaye Uhuru anapaona bora uwe hospital umelazwa hata kama hujui ni lini utapa ahueni ila utakuwa na tumaini la Uhuru na kukutana na wapendwa wako kwa wakati. JeLa ni mahala panapozima Furaha na Matumaini ya Mwanadamu hata wale Wategemezi wake au Maisha yake...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TCRA kiko wapi? Ngebe zote za kuzima Mitandao leo Dunia yote imejua kilichotokea na nyie mnatajwa kama sehemu ya Watuhumiwa

    Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu. Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kuuwa watu na kuficha ushahidi. Uzuri kwenye kuficha ushahidi vimesema wazi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya wao kupeleka malalamiko pindi haki zao za msingi zinapokiukwa

    Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 Wamesema kuwa hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hawa nao ni sehemu ya tatizo la Tanganyika

    Wakati tukiendelea kuomboleza , madhira yaliyotukuta katika harakati za kutimiza haki yetu ya kikatiba ya maandamano ya amani. Tuendelee kuwatupia macho yetu watu ambao kamwe abadani sisi kama waTanganyika hatupaswi kuwaunga mkono katika mambo yao ya kisiasa sababu nao wamekua sehemu muhimu ya...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The secret behind Kenya’s role in influencing unrest in Tanzania under the guise of fighting for democracy

    THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY. By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania The General Election of the United Republic of Tanzania, held on October 29, 2025, marked another historic chapter in the country’s...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna sehemu (hasa za uswazi) maandamano yakiwepo raia wataibiwa sana

    Raia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia, Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano. Umakini uwepo.
  15. JamiiForums Tanzania Makundi yanayo hatarisha sehemu zao Siri kuchakaa

    Wasalaam waungwana wachapakazi na Wazalendo wa Nchi hasa Tanganyika.. Yafuatayo ni makundi yanayo hatarisha sehemu zao za Siri kishughulikiwa na kuchakaa kabisa 1. Wanawake wenye tamaa ya pesa nyingi bila kushughulika. 2. Wanaume wanaopenda kula vizuri kuvaa vizuri bila kutafuta pesa kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Majina ya kichaga na sehemu yanapotokea kiasili

    Majina ya kiukoo ya Kichagga pia huashiria wanatoka sehemu gani ya Uchaga, japo si lazima kuwa hivyo: kwa mfano, familia maarufu za Kichagga nchini Tanzania ni kama ukoo wa akina Mushi, Mmasy Kimaro, Swai, Massawe, Lema, Urassa, Nkya, Ndosi, Somi, Uronu, Mbasha, Mafuwe, Mbowe, Silaa, Kweka...
  18. JamiiForums Tanzania Hamas imejibu mpango Trump kumaliza vita Gaza, na kukubaliana sehemu kadhaa ikisema baadhi ya vipengele vinahitaji mazungumzo zaidi.

    Wanaukumbi. Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani. Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa...
  19. JamiiForums Tanzania Google Maps Local Guide: Uwa napenda sana kuacha review kwenye kila sehemu niliyotembelea. Wewe je?

    Wakuu. Google Maps kila mtu anaitumia. Mfano unaenda Kilosa, unataka ujue wapi utalala au utakunywa bia au ofisi flani ipo wapi bila kuuliza wenyeji, Google Maps anakusaidia. Pia kupitia Maps, unaona reviews mbalimbali katika iyo sehemu, ambazo zinatolewa na wateja au watu waliowahi...
  20. JamiiForums Tanzania Manyara: Mke amjeruhi Mume wake kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba. Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…