sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

    Wakuu swali hili. Kama ushawai tumia kondom utaungana na mimi sehemu ya mwishi karibu na shina condom huwa haifiki na hii kupelekea wakat wa tendo kulowa au kugusana maji maji Je, hii haiwezi sababisha maambukiizi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jf ni sehemu kwa ajili ya kutiana moyo na kuelimishana na sio kukatishana tamaa

    Katika maisha Nina amini biashara ambayo inaweza nikafanya wewe ukatoboa kuna mwingine hawezi tobos 👉Tuendelee na moyo huo huo wa wa upendo as wanajamii! 👉Usisite kutoa mawazo yako pale mwenzako anapokwama kifikra 👉Tusiegemee kwenye kulaumu tu pia tutoe na solution ama suluhisho kwa changamoto...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Bara la Afrika linajulikana kama sehemu ya kwenda kuiba mali?

    Ni kwa nini duniani kote inajulikana kuwa Bara la Afrika ni sehemu ya kwenda kuiba au kuchukua vitu pasipo na wenyeji wake kuonyesha kujitetea? Hii hali inazidi kuwa kubwa kadri siku zinavyosonga. Tulifikiri uhuru utaondoa hili, lakini wapi. Tulifikiri Elimu na teknolojia vitaondoa hili...
  4. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  5. JamiiForums Tanzania Waliokufa Vs Waliohai; Sehemu ambazo hazijaguswa tangu dunia kuumbwa

    Salaam, Naomba kufanya brain storming kidogo. 1. Je, Kuna sehemu kwenye dunia hii haijawahi kuguswa toka uumbaji wa dunia. 2. Je, waliokufa tokea dunia kuumbwa na waliohai, yupi anaongoza kwa wingi ? 3. Je, ni kweli kuna imani ya kubadilisha jiwe kuwa dhahabu ? (Please hapa naomba tusijibu...
  6. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe?

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
  7. JamiiForums Tanzania Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  8. JamiiForums Tanzania Narudi tena! Kati ya Mpanda na Morogoro wapi sehemu sahihi kwa hustle?

    Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
  9. JamiiForums Tanzania Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  10. JamiiForums Tanzania Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu?

    Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu kabla ya kurejea tena kwenye mapambano; Au ni heri ufie ugenini kuliko kuthubutu kurudi huko? Kuna kitu nataka kufundisha kuhusu hili.
  11. JamiiForums Tanzania Wadada wetu wa vyuoni wanajiuza sana hasa kwenye sehemu za starehe

    Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini 1. Ugumu wa Maisha Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
  12. JamiiForums Tanzania Sehemu wanazopendelea kukaa majini na kuzaliana kwao

    Sehemu wanazopendelea Kukaa majini. Ikumbukwe kuwa majini walipopigwa na kufukuzwa,hawakuzuiwa kuendelea kuishi katika mgongo wa ardhi,Laa hasha! Bali walitawanywa na kuzuiwa kuishi katika mkusanyiko, yaani jamii ya pamoja ( mfano wa binadamu tunavyoishi) ila waliendelea kuishi katika mgongo wa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje kuishi kwenye ulimwengu ambao Simu inalindwa kuliko hata sehemu za siri ?

    Kuna muda huwa nawaangalia wazee na watu ambao umri umekwenda huwa najiuliza huwa wanatuonaje vijana , siku hizi starehe nyingi na wao nadhani baadhi wanazipenda nyingine zinawashangaza . Simu ina password ya kuifungua , kila application ndani ina password yaani imewekewa kila ulinzi mpaka...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna kikao cha Wanaume kilifanyika ila nimesoma sehemu Maazimio kadhaa

    Kuanzia sasa hakuna tena hela ya kutolea unapo mtumia mwanamke hela,akitaka hela kamili afuate geto Kuna vifungu viwili vya uhaini vimeongezwa,ila nakumbuka kimoja tu,mwanao akitaka kuazima geto lako awe na demu wake,ukimnyima huo ni uhaini Demu akiwa anasema anakuja geto,halafu wewe ukaoga...
  15. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kwa vita zinazoendelea baadhi ya Nchi kufanya ndiyo sehemu ya majaribio ya silaha

    Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli . Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha . Inasikitisha lakini ndiyo ulimwengu uliko akili mkichwa .
  16. JamiiForums Tanzania Abby Chams: Sijawahi kula miguu ya kuku wala firigisi, wala sijawahi kusikia sehemu inaitwa Mburahati

    Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui. Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia. NB Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema...
  17. JamiiForums Tanzania Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

    Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya Waliopita Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/UI1dwP9caIQ?si=cdOmNaWG4V_LiCLs
  19. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

    Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote. Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu iliyo salama hapo kariakoo

    Ni kweli tupo kwenye majonzi kama Taifa hivyo yatupasa kushikamana na kuondoa tofauti zetu na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki kigumu kama Taifa. Nimesikia kauli ya mheshimiwa Rais kuwa serikali itabeba gharama zote za matibabu kwa waliojeruhiwa na kwamba baada ya zoezi la uokoaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…