Salaam jamiiforum.
Leo ni siku ya ijumaa tulivu,siku ya mwisho wa wiki Kwa wafanyakazi na hata wasio wafanyakazi.
Ndiyo siku maalumu wengi wanaenda sehemu mbalimbali za starehe iwe clubs,bar na kwenye makasino.
Lakini mara nyingi tunapoenda sehemu hizi kwaajili ya kufurahi mara nyingi furaha...