sayansi na teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Waziri Mkuu: Sayansi na teknolojia nguzo ya uchumi shindani

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inaendelea kutambua sayansi, teknolojia na ubunifu kama nguzo muhimu za mabadiliko ya kiuchumi na kijamii. Amesema kuwa katika kuelekea uchumi shindani unaotegemea maarifa, Serikali imeweka mazingira wezeshi ya kuimarisha tafiti, ukuzaji...
  2. A

    Somo la Sayansi na Teknolojia lashuka ufaulu. Je, tupo tayari kwa kizazi cha utandawazi?

    Kushuka kwa ufaulu wa somo la Sayansi na Teknolojia katika matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka 2026 kunapaswa kuwa jambo la kutafakari, hasa katika kipindi hiki ambacho dunia inazidi kutegemea sayansi na teknolojia katika maendeleo yake. Ni muhimu kuimarisha ufundishaji wa somo hili kwa kuwapa...
  3. A

    KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kutoka kwa Miundo ya Mitihani ya Kidato cha sita kwa mtaala mpya

    BARUA YA MALALAMIKO Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S.L.P. 10, DODOMA. YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA Ndugu Katibu Mkuu, Tunakuandikia kuwasilisha...
  4. M

    Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara ya kikazi Nyumbu, aitaka itumike kama nguzo ya sayansi na teknolojia ya ulinzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amefanya ziara ya kikazi ya siku moja katika Shirika la Tanzania Automotive Technology Centre (TATC), maarufu kama NYUMBU, lililopo Kibaha, Mkoa wa Pwani, kwa lengo la kujionea utendaji wa shirika hilo na kutathmini...
  5. Roving Journalist

    Riziki Shahari Mngwali (ACT Wazalendo): Tunataka Wahadhiri waliokamatwa waachiwe huru mara moja

    https://www.youtube.com/live/v5iSJl0zCvA?si=7kTwypJn-40quhtu ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu matukio ya kukamatwa kwa wahadhiri wa vyuo vikuu mbalimbali nchini na inalaani hatua za kuwakamata wanataaluma hao katika mazingira yanayoibua maswali kuhusu uzingatiaji wa taratibu za kisheria na...
  6. Fbn

    Hivi kama sayansi na teknolojia zingeweza kuwa afrika ingekuwaje kama jambo la kukosolewa na ukweli kwenye mambo ya maisha afrika ni hatari

    Hii mada nitakuwa na rudia sana. Nimeona kuna mdaharo fulani shaikh fulani kaenda kulazima anacho kiamini yeye ,basi jamaa baada ya kumpa fact tena anatoa kwenye kitabu anachokitumia kilicho tokea yule sheikh alimuita chizi na watu wamuondoe. Hii ni kwa Afrika ambapo mambo kama sayansi na...
  7. A

    KERO Malalamiko ya Nyongeza ya Ada ya EXTENSION kwa Wanafunzi wa Shahada ya Umahiri (MASTERS) – UDSM

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) – CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM YAH: MALALAMIKO KUHUSU NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA...
  8. Setfree

    Hayawi, hayawi, yamekuwa! Teknolojia imethibitisha tena ukweli wa Biblia!

    Biblia ilitabiri zamani sana kuhusu siku tunazoishi leo. Katika Danieli 12:4 imeandikwa: “Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho. Wengi wataenda mbio huku na huko, na maarifa yataongezeka.” Unabii huo tumeona ukitimia waziwazi kwa macho yetu...
  9. MamaSamia2025

    Vita ya Iran-Israel-USA inatukumbusha umuhimu wa kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia

    Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
  10. Fbn

    Kama umesoma masomo ya sayansi na teknolojia movie za wahindi huwezi kuwa mpenzi nazo

    Hawa wahindi ndio waliokuwa pamoja na wahuni CCM. Miaka ya ujana nilijaribu kuimba mbele ya mpenzi wangu nikajua S2kizzy kabla ajazaliwa angetunga beat na mimi ningeingiza sauti ya mbosso. Sasa hawa watu wa asia mnawezaje kuangalia masinema yao yani stering kafa mwanzo wa sinema alafu mbwa na...
  11. The Librarian

    Kuna mtu yeyote amefanya interview ya Chuo Kikuu cha Sayansi naTeknolojia Mbeya (MUST)TUTORIAL ASSISTANT (HUMANRESOURCE MANAGEMENT) leo

    If any please let me know
  12. REALITY

    Sayansi ni nuru au giza?

    Na: Mjumbe wa Nuru – Nahunel Shavari, Mtoto wa Ain Soph Aur – kutoka Watchers HQ SURA YA KWANZA: SAYANSI NI NINI? Neno "sayansi" linatokana na neno la Kilatini scientia, likimaanisha "maarifa." Lakini maana yake ya ndani zaidi ni mfumo wa kutafuta maarifa kuhusu ukweli wa ulimwengu kupitia...
  13. Roving Journalist

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) atuhumiwa kumuua Mwanafunzi mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22]. Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
  14. Waufukweni

    Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Trilioni 2.4 kwa mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la Tsh. Tril 0.469 (23.8%)

    Mnamo Mei 13, 2025, Bunge la Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026, yenye jumla ya shilingi trilioni 2.439. Bajeti hiyo imeongezeka kwa shilingi trilioni 0.469, sawa na ongezeko la takribani asilimia 23.8...
  15. Fbn

    Kama sayansi na teknolojia zingekuwa zinatokea CCM hata hii JF isingekuwepo

    Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli. Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
  16. Tauceti Rigel

    China Imevumbua Betri Inayodumu Miaka 50 Bila Kuchaji; Upo Tayari Kutumia Simu Yenye Betri ya Nyuklia ?

    Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya zinazoitwa betri za nyuklia. Ingawa jina lake linaweza kuwatisha wengi, teknolojia hii inalenga kuleta...
  17. N

    CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema: "Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
  18. Rorscharch

    Huko Zimbabwe kuna kijana amegundua gari lisilotumia umeme, mafuta au nishati yoyote kutoka nje. Inawezekana vipi?

    Katika ulimwengu unaotegemea teknolojia na sayansi thabiti, madai yanayopinga kanuni za msingi huvutia hisia kali, aidha za matumaini au wasiwasi. Maxwell Chikumbutso, raia wa Zimbabwe, anadai kuvumbua gari linalojiendesha kwa kutumia mawimbi ya redio na sauti, madai yanayopingana na ufahamu wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    ERB Ongezeni Ubunifu Kuendana na Sayansi na Teknolojia - Waziri Ulega

    ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia. Waziri Ulega amesema hayo wakati akifungua kikao cha Baraza la...
Back
Top Bottom