sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  2. JamiiForums Tanzania Si sawa ndugu kufanya msiba wa Careen kama fursa

    Caren alikuwa muigizaji na Kwa bahati mbaya alipata umauti alipokuwa akitibiwa huko India Tunamtakia pumziko la MILELE Imezuka kasumba mitandao, watu wanaojiita ndugu zake ku post content kwenye mitandao ya tik tok, Instagram, Facebook n.k Wakionyesha umahiri wao wa kulia na kuja kupost Hivi...
  3. 4

    JamiiForums Tanzania Lissu anatakiwa kutoka alipo mara moja na sio ombi la kibinadam bali ni amri kuu kutoka kwa Mungu

    Leo sina salam , ila natambua uwepo wenu wanaJF . Kwenye mada na husika na mada tajwa hapo juu . Mh Lissu anatakiwa kutoka alipo mara moja na sio ombi la kibinadam bali ni amri kuu toka kwake alieumba mbingu na dunia period ,asema Bwana. Haiwezekani ulale kitanda kizuri ila mwana wa Mungu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ukilinganisha na nchi tulizokuwa sawa kiuchumi wakati tunapata uhuru tunastahili kuhurumiwa.

    Najiuliza sana ni kwa nini viongozi wetu wanajiskia fahari katika mazingira ambayo walipaswa kujionea aibu. Maana tuna nchi nyingi sana ambazo miaka ya 60 na 70 nilikuwa nyuma yetu kiuchumi lakini Leo ziko mbali sana. Kukaa kutwa mnasifiana sijui ni kwa lipi!?
  5. JamiiForums Tanzania Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

    Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki ●Tanzania ●Kenya ●Uganda ●Rwanda ●Burundi ●Somalia ●D.R.C ●South Sudan Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore. Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye Ufunuo wa Yohana na kauli maarufu: “I am the Alpha and the Omega.” Kuna kitu hakipo sawa wakristo njoeni

    Hivi unajua kwamba Yesu hakuwahi kusema maneno haya hadharani alipokuwa hai? Haya maneno yanapatikana kwenye kitabu cha Ufunuo maono aliyodai kuyaona mtu mmoja aitwaye Yohana, miaka kama 60 baada ya Yesu kuondoka duniani. Na huyu Yohana? Hakujitambulisha wazi. Wasomi wa Biblia wamekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mshtakiwa asema Bado AKILI YAKE HAIPO SAWA. Inaweza FYATUKA MUDA WOWOTE kesi ISIENDELEE

    Hapa kisheria wanasheria mnadhani mwanasheria wa mshtakiwa nakusudia nini? Mpango hapa ni nini?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni Sawa Kuvaa Hereni

    Je, ni Sawa Kuvaa Hereni Maandiko yanavyosema kuhusu kuvaa hereni. Kitabu cha Hosea 2:13 Kitabu cha Hosea kinasema: “Nami nitamwadhibu kwa sababu ya siku za Mabaali, aliowafukizia uvumba; hapo alipojipamba kwa pete masikioni mwake, na kwa vito, asema BWANA”. Kitabu cha Waefeso 4:14 Tuzingatie...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Shabiby line "mguu sawa" safari za Dar-Tanga, haijawahi tokea

    Katika hali ya kutanua ukubwa wa biashara ya usafirishaji Tanzania, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line inaanzisha ruti mpya za Dar-Tanga, Tanga-Dar. Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, Mei mwaka huu (mwezi ujao), Shabiby Line rasmi yataanza safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Tanga na kurudi Dar...
  10. JamiiForums Tanzania Rafah yaendelea kuwekwa sawa baada ya amri ya wakazi wote kuondoka huko

    Majeshi ya israel yaendelea na operation zao kuisafisha Rafah hapo wakiyaangamiza Mahandaki yaliyokuwa yanatumika na magaidi wa Hamas. Rafah sasa hivi itakuwa chini ya israel.
  11. JamiiForums Tanzania Chungu ila ni dawa

    NUSU FAINALI CAF CC 🏆 . 🇹🇿 SIMBA SC 🆚 STELLENBOSCH 🇿🇦 YANGA VS STAND UNITED CRDB CONFEDERATION ROBO FAINALI KUPANGA NI KUCHAGUA 🏃🏃🏃🏃 mm yanga damu ila nahamia simba
  12. JamiiForums Tanzania Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  13. JamiiForums Tanzania Je, chaguzi zetu ziko sawa?.

    Mijadala vyuo vikuu imetoweka, vyuo vikuu vyetu sasa ni sehemu ya kuzalisha vibarua na machawa badala ya fikra. Mhitimu akipewa nafasi ya aina yoyote iwe kazi, uongozi hata ubunge yeye kwake ni kibarua kwaajili ya kulea wanawe tu basi. Hivyo kazi yake itakuwa kusifu, kusifu, kusifu na kujishusha...
  14. JamiiForums Tanzania Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri

    Washamba na Wapumbavu wa Sayansi ya Mpira tuendeleeni tu Kudanganywa na Kuaminishwa ili Tuwatajirishe J'5 Oky?
  15. JamiiForums Tanzania John Mrema ni gwiji la siasa, John Mrema mmoja ni sawa na kujumlisha Lissu na Heche kwa pamoja, halafu hawafiki hata nusu

    Nimemsikiliza John Mrema, hii kichwa ni mali sana, ana uwezo mkubwa. One vs one Lissu na Mrema, Lissu anapigwa knock out dakika ya pili. Na atakimbilia kwenye kashfa na matusi Mrema ni genius political mind
  16. JamiiForums Tanzania No Reform No Election ni sawa ila je tumeboresha taarifa zetu katika daftari la wapiga kura?

    No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako. Ni kweli tunatakata...
  17. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiniambia kuwa unawatia Moyo wana Simba SC Wajaze Uwanja Jumatano sawa, ila Kumfunga Al Masry tarehe 9 sahau sawa?

    Ni bora nichukiwe kwa kusema Ukweli na kutokuwa Mnafiki kuliko Kuwafurahisha Wapumbavu na Washamba wa Mpira.
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  19. JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  20. JamiiForums Tanzania Obama alikua na Juris Doctor (JD) sawa na PhD ila hakupenda kutumia Dr

    Tanganyika mnapambana na Udocta wa kupewa huku Obama hakutaka kabisa kuItwa Dr
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…