SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
Nimeitoa sehemu.
Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri,
Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku...
Haya ni maneno aliyoyaelezea mchambuzi gwiji wa mpira kwa sasa nchini Tanzania. Amesema hayo hapo jana akihojiwa na Mtangazaji Tunu Hassan Shenkome kuhusiana na mchezo wa ngwe ya kwanza dhidi ya 15 agosto.
https://m.youtube.com/watch?v=iJXAH1zXHqg
Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23.
Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa...
Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija
Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe.
Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa.
Baada...
Kuna madai kwamba hakuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu na Waislamu wana haki sawa katika taifa.
Kwa namna hii dini haiwi ni chombo cha kuleta ubaguzi na madaraja? Je hii ni sahihi?
Wadau wa JamiiForums, hamjambo!
Leo katika kufanya kwangu upembuzi yakinifu wa namna teknolojia ya akili mnemba (AI) na mitambo ya utafutaji (Search Engines) inavyochambua mienendo ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, nimeamua kuifanyia majaribio injini ya Google. Niliiuliza swali rahisi...
Kauli ya Waziri wa Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi, kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amevipa vyama vya siasa nafasi sawa, inafungua mjadala kuhusu maana ya usawa wa kisiasa, uhuru wa Tume ya Uchaguzi na hatua zilizochukuliwa kushughulikia malalamiko ya muda mrefu...
Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi. Hao wanasiasa wanajisahau mapema sana mkiwakubalia wawape maelekezo kesho kutwa tu watawadharau kiasi kwamba mtakuwa kama wale wasajili wa vyama hawana heshima kwa serikali wala watanzania kama zamani
..Kichwa cha habari chahusika.
..alichofanya Katunga ni utoto.
..kama kuna siku mahakama imedhalilishwa basi ni ktk final submission ya Katunga.
..ndio maana hata wenzake hawakutaka kuongeza lolote.
..haiwezekani kuwe na kesi ya uhaini halafu muendesha mashtaka awaambie majaji eti wanaweza...
Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa.
Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa.
Katika pita pita zangu huko mitandao mingine nimeona video yake kusema ukweli afya yake haiko sawa tumeombee.
Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k.
Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania.
Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
Moja ya Runinga yenye watazamaji wengi hapa Tanzania , East Africa na duniani kwa ujumla ni ITV , wazee wa super brand, ila cha kusikitisha baadhi ya vipindi vyake wanaweka watangazaji/mtangazaji asiye na uwezo hivyo kuathiri kabisa uwasilishaji wa taarifa kwa sisi walaji
Mfano ni Msomaji wa...
Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche.
Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
bank
crdb
gharama
heche
igp
jeshi
jeshi la polisi
jeshi la polisi tanzania
kufuru
kuhusu
mange
mange kimambi
meza
mkuu
mkuu wa
polisi
polisi tanzania
sawa
sio
statement
tanzania
vinywaji
wambura
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali kuhusu neno "zazwa" na neno " zuzu".
Naomba kuanza na usaidizi wa AI
neno zazwa mazwazwa na neno zuzu, mazuzu
Maneno haya yote mawili yanatumika kuelezea mtu mjinga, asiye na uzoefu, au mtu anayedanganyika kwa urahisi. Hata hivyo, yana utofauti mdogo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.