sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeambiwa niwe naosha vyombo baada ya chakula cha Usiku. Je wako sawa au wanaionea

    Nimeitoa sehemu. Binti anakaribia kuolewa hivi karibuni, kungwi wake kamwambia kuwa inabidi awe msafi sana hapo kwenye nyumba yake, moja ya kitu alichomwambia ni kuhakikisha jiko lina kuwa safi na lenye mpangilio mzuri, Ahakikishe hakuna chombo kichafu kinakuwepo jikoni muda wowote hata usiku...
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Je, ni sahihi kulipia kodi ya bango lililopo kwenye eneo lako la biashara?

    Je, ni sahihi mfanyabiashara kulipia kodi ya bango lililowekwa juu ya fremu yake ya biashara, wakati tayari analipa kodi ya pango, leseni ya biashara na kodi nyingine zinazohusika kupitia TRA? Ninaelewa kuwa bango likiwekwa kwenye eneo la umma, kama vile barabarani au kwenye eneo linalomilikiwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi MKALABOKO: Simba Sc ni sawa na Muhasibu wa kikoba ,akifika wakati wa marejesho lazima pesa mumpe yeye.

    Haya ni maneno aliyoyaelezea mchambuzi gwiji wa mpira kwa sasa nchini Tanzania. Amesema hayo hapo jana akihojiwa na Mtangazaji Tunu Hassan Shenkome kuhusiana na mchezo wa ngwe ya kwanza dhidi ya 15 agosto. https://m.youtube.com/watch?v=iJXAH1zXHqg
  4. JamiiForums Tanzania VIDEO; Hii sio sawa kabisa, mnaachaje kumsaidia mwenzenu ili tu muendelee kuswali?

  5. JamiiForums Tanzania Licha ya kwamba vijana wanaaswa kulinda migongo yao, wengi wao wanainadi migongo yao kwa bei sawa na bure.

    Hali ni mbaàaaaayaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtutsi ni mtu ambae hapendi kuongozwa na Mbantu, Pamoja na kuwa wachache atafanya lolote apate uongozi au usawa kwenye uongozi sehemu yenye wabantu

    Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23. Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Dawasco kibamba kwa ili hamtonielewa, ila mahakamani nitawasilisha nyinyi na fundi wenu kushoka,mnampaje vifaa vyangu akauze dukani kwake?(Majuzi haya

    Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe. Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa. Baada...
  8. JamiiForums Tanzania Ziara za Makonda, Kuna kitu hakipo sawa kwa Top Officials wa GVT !! Kuna Mtu anauacha Urais au Mwigulu anapigwa Chini !

    Ngoja tuone wataendelea kuficha Hadi lini!!
  9. JamiiForums Tanzania Kuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu wana haki sawa na Waislamu?

    Kuna madai kwamba hakuna nchi ya Kiislamu ambayo raia wasio Waislamu na Waislamu wana haki sawa katika taifa. Kwa namna hii dini haiwi ni chombo cha kuleta ubaguzi na madaraja? Je hii ni sahihi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mada: Utafiti wa "Google" Kuhusu 'Machawa Waandamizi' wa JamiiForums: Je, Orodha Hii Iko Sawa au Kuna Waliosahaulika?

    Wadau wa JamiiForums, hamjambo! Leo katika kufanya kwangu upembuzi yakinifu wa namna teknolojia ya akili mnemba (AI) na mitambo ya utafutaji (Search Engines) inavyochambua mienendo ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, nimeamua kuifanyia majaribio injini ya Google. Niliiuliza swali rahisi...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi, ni kweli vyama vyote vya siasa vimepewa nafasi sawa?

    Kauli ya Waziri wa Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi, kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amevipa vyama vya siasa nafasi sawa, inafungua mjadala kuhusu maana ya usawa wa kisiasa, uhuru wa Tume ya Uchaguzi na hatua zilizochukuliwa kushughulikia malalamiko ya muda mrefu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi

    Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi. Hao wanasiasa wanajisahau mapema sana mkiwakubalia wawape maelekezo kesho kutwa tu watawadharau kiasi kwamba mtakuwa kama wale wasajili wa vyama hawana heshima kwa serikali wala watanzania kama zamani
  13. JamiiForums Tanzania Huwa natumia dollar 200 sawa na 460k za kitanzania kulipia internet kwa mwezi.

  14. J

    JamiiForums Tanzania Shtaka ni uhaini, halafu inapendekezwa "adhabu" sawa na traffic offence. Katunga amelikoroga

    ..Kichwa cha habari chahusika. ..alichofanya Katunga ni utoto. ..kama kuna siku mahakama imedhalilishwa basi ni ktk final submission ya Katunga. ..ndio maana hata wenzake hawakutaka kuongeza lolote. ..haiwezekani kuwe na kesi ya uhaini halafu muendesha mashtaka awaambie majaji eti wanaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Mzee Zorro hali yake ki afya haiko sawa

    Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa. Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa. Katika pita pita zangu huko mitandao mingine nimeona video yake kusema ukweli afya yake haiko sawa tumeombee.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Usiridhike na cash au salio la Bank, Wekeza au nunua assets kulinda thamani ! miaka 30 iliyopita elfu 50 ilikuwa na thamani kuzidi milioni ya leo.

    Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k. Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
  17. JamiiForums Tanzania CCM YAJIPANGA NA KUJIWEKA MGUU SAWA KUELEKEA UCHAGUZI WAKE WA NDANI 2027, UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2029 NA UCHAGUZI MKUU 2030.

    Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania. Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
  18. M

    JamiiForums Tanzania ITV Super brand kwa hili sio sawa!

    Moja ya Runinga yenye watazamaji wengi hapa Tanzania , East Africa na duniani kwa ujumla ni ITV , wazee wa super brand, ila cha kusikitisha baadhi ya vipindi vyake wanaweka watangazaji/mtangazaji asiye na uwezo hivyo kuathiri kabisa uwasilishaji wa taarifa kwa sisi walaji Mfano ni Msomaji wa...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  20. JamiiForums Tanzania Neno Zazwa ni Sawa na Zuzu?. Kukiukwa kwa Katiba ya JMT Huku Tumenyamaza, Je Sisi Watanzania ni Mazwazwa na Mazuzu?.

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuhusu neno "zazwa" na neno " zuzu". Naomba kuanza na usaidizi wa AI neno zazwa mazwazwa na neno zuzu, mazuzu Maneno haya yote mawili yanatumika kuelezea mtu mjinga, asiye na uzoefu, au mtu anayedanganyika kwa urahisi. Hata hivyo, yana utofauti mdogo katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…