Mbwa kala mbwa, yetu macho, hawa wote ni wale wale, hapa wanalumbana kisa Yemen.
Hii ni habari njema maana mapesa yote yanayofadhili uzombi wa muarabu duniani hutoka kwa haya mataifa mawili.
------++-
DUBAI, Jan 1 (Reuters) - Flights at Yemen’s Aden international airport were halted on...
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia.
============
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akiambatana...
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Dodoma, 23 Disemba,2025
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo ( Mb) akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Profesa...
Nchi nyingi zinazonunua ndege za kivita aina ya F-35 huuziwa toleo la kawaida, lenye udhibiti mkali. ni sawa na kununua simu ya mkopo au iliyofungiwa laini ya tigo au yas,
Israel ndiyo taifa pekee (isipokuwa Marekani yenyewe) linaloruhusiwa kufanya modifications za F-35 ikiwemo kuweka avionics...
Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu...
Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini.
Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini.
Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
Jana siku ya jumatano ya tarehe 30 rabiy-l - Akhiyr 1447 (H) sawa na 22 September 2025 (AD) ufalme wa Saudi Arabia umemteua na kumtangaza Sheikh Dr Swaaleh bin Fauzaan bin Abdillaah Al fauzaan kuwa Mufti mkuu wa nchi hiyo akimrithi mufti aliyetangulia Sheikh Abdul Aziyz bin Abdillaah Aal - Al...
Baada ya kuwa qatar na turkey wanamchekea chekea hamas kwa unafiki wao wa kuwatakia mema wana gaza kumbe wanafurahia ya hamas kufanya taharuki, wenyewe uae na saudi arabia wamekataa ujinga huo.
Kumbuka UAE, chama cha kigaidi cha Muslim brotherhood kimepigwa marufuku ila Qatar ndio makazi yao.
Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
SCHOLARSHIP ZA SAUDI ARABIA 2025/2026
Serikali ya Saudi Arabia imetoa nafasi 127 za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wale wanaotamani kusoma nje ya nchi, hususani katika fani zinazohusiana na Data Science, Artificial Intelligence na...
RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali.
Ajali...
Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Kiarabu, Prince Al-Waleed aliingia kwenye koma tangu mwaka 2005 baada ya kupata jeraha la kichwa...
Jana nilicheki mechi ya Fluminense vs Al Hilal na Leo nikacheki mechi ya PSG vs Bayern Munich
Nilichokiona kwenye mechi hizo mbili kimeniambia kwa nini Ligi kama ya Saudi Arabia itaishia kuwa kama ya China tu baada ya kuwekeza mafedha mengi
Al Hilal na Bayern Munich wote wametilewa kwenye...
22.09.2019 Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Jumamosi alisema Iran inahusika na mashambulizi ya Aramco. "Tuna uhakika kwamba makombora yanayolenga Aramco yanatoka kaskazini, sio Yemen. Saudi Arabia inajaribu kutafuta mahali ambapo makombora yanarushwa," Adel al-Jubeir alisema katika mkutano...
Tuliposikia kuwa ujumbe mzito wa Saudi Arabia umekwenda Iran kuonana na akina AyatoLllah,tulifurahi na kupata tamaa kwamba sasa waislamu wameanza kuwa wamoja hasa ukijua mataifa hayo mawili kila moja lina nafasi yake kubwa katika ulimwengu wa kiislamu kidini,kisiasa na kiuchumi.
Ujumbe huo...
===
Afisa mmoja wa Saudi Arabia alikanusha Jumatatu taarifa za vyombo vya habari zilizodai kuwa ufalme huo, ambao ni mahali palipozaliwa Uislamu, ungeondoa marufuku ya miaka 73 dhidi ya pombe, ambayo imekatazwa kwa Waislamu.
Taarifa hiyo, ambayo iliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya...
1. Ushahidi wa Kiakiolojia (Archaeological Evidence)
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kiakiolojia (mabaki ya majengo, maandishi ya kale, nk) unaothibitisha kwamba mtu anayeitwa Ibrahim alifika au kuishi katika Makka au sehemu yoyote ya leo ya Saudi Arabia.
Sababu kuu:
Makka haikuwa kituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.