sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dar es salaam inachanganya sana

    Hivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!? HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama? Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama? ITV Iko Mikocheni Au Mwenge? COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay? MLIMANI CITY Iko Ubungo Au? SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni? Clouds FM Ni...
  2. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane. Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kukuChukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya ku

    Wafugaji wa kuku Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako. ✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku Mdharau asili hufa masikini
  4. JamiiForums Tanzania Tunapambana sana kutafuta pesa sema sasa MAZINGIRA na wanaotuzunguka ni kikwazo👇👇😠😠😡

    Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na kusahau kua alie zaliwa ana mawazo yake na falsafa yake MARAFIKI the way ulivyo mzoesha rafiki ndivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Meme: Jimbo la Kilwa pamoto sana

    :
  6. JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Serikali yetu kwa haya mambo makuu 3

    Benki kuu imezindua mfumo intergrated core banking system,huu ni mfumo wa kibenki ambao kwa miaka 24 iliyopita tulikuwa tunatumia mfumo kutoka nje ambao tulikuwa tunalipa kwa kuutumia,kwa sasa hatulipi kitu na mfumo umejengwa na watanzania na tumesevu bilioni 90 kwa mwaka. Leo tunazindua...
  7. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  8. JamiiForums Tanzania MLIOCHAGULIWA KUGOMBANIA UBUNGE YAAN HAPA MCHEZO UNAANZA WAJUMBE HAMJAWAJUA VIZURI SUBIRINI...MSIJISIFU SANA WL..HELA ZENU TUTAKULA VIZURI TU

    NIMEONA JANA KUNA MAENEOO YA BANANA WAJUMBE KADHAA WANAPONGEZANA MGOMBEA WAO JINA LIMERUDI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE YAANA ILE ILIOTOKEA N TRELA PICHA HALISI YA WAJUMBE SUBIRI NI KK YAAN PALE.MTAJUA HAMJUI USHAURIII HONGA TOA RUSHWA KWA KILE AMBACHO HAKITAKUUMIZA WAJUMBE WAKIKUTENGENEZA KAMA...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha yanachekesha sana

    maulid kitenge, what’s life? 🤔
  10. JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia manzi wangu anapata sana shida akiingia period

    Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari Msaaada🙏🙏🙏
  11. JamiiForums Tanzania Kuna Watu pamoja kwamba umri umeenda ila hawajui kuelewa maana ndani ya neno analozungumza mtu ona sasa yule mama diplomatic anavyotoswa !.

    Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje" It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics . Sasa kwa age yako Wasifu wako Maisha kijumla. Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki . Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kila jambo la aibu kwa mtu wa bara, ni jambo la kawaida sana kwa mtu wa pwani

    Nimeishi miaka flan pwani na waswahili , kuna tabia ambazo nilikuwa naona za ajabu sana toka kwao lakini wao hawakuwahi kuona shida . Mfano unamkuta baba wa familia kaamka asubuhi kavaa msuli kaja kwako kupiga stori chai itapikwa hapo mtakunywa wote na mwingine anakuja na watoto wake kabisa ...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa watu hapa huwezi wakuta humu JF wakitukana na kusema anaupiga mwingi. Ila ndio wanazingatiwa kwenye vyeo

    Unakakuta ka Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah na ChoiceVariable vinatoa mapovu na mishipa kuvisimama vimekondeana humu kusifu na kuabudu. Ila vinaonekana havina uwezo wa kuongoza wanaoweza ni hawa. Ambao huwezi wakuta wakicheza ngoma na kukata viuno kama walalahoi. Familia ya Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Uingereza yapanga Kutambua Taifa la Palestina Septemba Ikiwa Israel Haitasitisha Vita Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti kukomesha vita na janga la kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo imetolewa Julai 29, 2025...
  15. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba Pole sana

    Wakuu, Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!! Huyu Mzee...
  16. M

    JamiiForums Tanzania E-loan mizinguo yake HATARI SANA..!

    E-loan ukijaza pepmis zikawa approved mbona bado unaambiwa pepmis plan haijawa approved!?
  17. JamiiForums Tanzania Tuwe na Kiasi Kwenye Kuwasema na Kuwajadili, Maana Siasa Muda Wowote Mambo Yanabadilika! Hasa Kati kipindi Hiki Tanzu! Bado ni Asubuhi Sana!

    Pengine baada ya mkeka huu wa leo, utafungua mengi sana tuliyokuwa hatuyajui katika ulingo wa siasa za chama kikongwe, Tuwe na staha katika kuwasema waliokatwa, kwenye siasa chochote kinaweza kubadilika kwa muda wowote! na wakati usiotarajiwa! Tuwape muda...pengine ukarasa mpya wa mabadiliko...
  18. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni jiji ambalo watu wanarogana sana

    Dar ni kawaida sana watu kurogana kwa matakwa mbalimbali either ☆kuroga ili wapate kazi fulani ☆Kumroga mume wa mtu awe wake ili amuhudumie ☆Kumroga rafiki afukuzwe kazi ili yeye apate hio kazi. ☆ Kumroga boss ili akupende wewe upate cheo. ☆ Kumroga mshangazi akupende ili ufaidike. ☆ Kumroga...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Laana ya kumtukana kadinali Pengo inamtesa anaishi kama digidigi

    Ikumbukwe kwamba jamaa alivyomtukama mwadhama Pengo eti anavaa pampasi Pengo alikaa kimya akamwachia Mungu apambane naye. Sasa laana imeanza kushika kasi. Huwezi kutukana mpakwa mafuta wa bwana halafu ubaki salama. Ikumbukwe yeye uaskofu wake haujulikani umetoka wapi na umetokana na nini...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamka Tumbo linanisumbua sana

    Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…