sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wasabato mlituumiza sana mlipotuaminisha nyama ni mbaya ila nafaka ni nzuri

    Kwa muda mrefu wasabato wamekuwa wakifundisha kuhusu ulaji wa vyakula ambavyo wao waliviita bora huku wakinukuu mafungu ya kitabu cha Daniel ambaye alikataa chakula cha kifalme na akaomba apewe mtama. Wasabato awali wakatafsiri mtama kuwa ni chakula cha nafaka chote na walimu wao wengine hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Umbumbu ni tabu sana

  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Emmanuel Nchimbi anachemshwa sana sana!

    Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa. CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa. 2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa...
  4. JamiiForums Tanzania Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

    Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha mbalimbali za Kijana tajiri na maarufu sana barani Afrika Wicknell Chivayo

    Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
  6. JamiiForums Tanzania Hezbollah huko Lebanon-kusini wanapata taabu sana wanapigika vibaya sana!!!

    Masikini Magaidi wa Hezbollah waliokuwa wanasifiwa na kurambwa Miguu na akina KIBWENGO Ritz Adiosamigo mdogoye gTurn Sasa hivi wanapigwa na hawadhubuti hata tu kurusha jiwe huko Israel!!! Ama kweli waswahili wakisema Tembo akisifiwa mgema hulitia maji!!!!!
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndio ilikuwa original bongoflava, vijana waliumiza kichwa sana but all for nothing

    Maudhui yalikuwa bongo flava ila kila mmoja alikuja na style yake kupelekea wawe authentic na kitu walichotoa na sisi wapokeaji tulipata vitu quality ambavyo hadi hatutakaa kusahau. WIMBO UNAUKUMBUKA SANA? https://youtu.be/i-qPIcfoOwA?si=-mI_dTpLqlR3WXvA...
  8. JamiiForums Tanzania Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

    Nipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana. Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote. Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will. Wagombea wa udiwani...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mvumi takriban 40 wamepata ajali wakiwa wamepakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa mgombea Urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Kumeibuka malalamiko kuwa mamlaka zimeficha taarifa hiyo ya ajali, huku majeruhi wakidaiwa kutelekezwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ipo siku China na Urusi watazichapa sana

    Urusi ilijitanua pole pole kuelekea mashariki kufuata biashara ya manyoya ya wanyama. Ikafika hadi bahari ya pacific, ikavuka hadi kufika Alaska. Katika kujitanua huko ikafika bonde la mto Amur ulio kaskazini mashariki ya China. Majeshi ya China wakati huo wa Qing dynasty yaliwapiga vibaya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tangu hawa watatu waondoke, Rais Samia kapwaya sana

    Tatizo la kuondoa vipaji na kuweka machawa ndiyo kunaonyesha mapungufu ya Raisi. Yule Raisi wa 2021-2022 sio huyu
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake hizo ni shida zenu, sio zetu sisi wanaume

    Wanawake wengi siku hizi wametuingiza kwenye changamoto kubwa sana wanaume wa siku hizi.Tumekuwa tukihangaishwa sana maneno yao ambayo yanatopelekea kujiona wanyonge mbele yako Bro ukikutana na mwanamke anakuambia haumridhishi kitandani,bro wala usiwe mnyonge we endelea na mitikasi yako,jukumu...
  13. JamiiForums Tanzania Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan. Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi. Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha...
  14. JamiiForums Tanzania Binadamu akifariki hupendwa sana kuliko nyakati za uhai wake

    Nimefatilia binadamu wengi wabaya tena waliokuwa wakichukiwa sana huanza kupendwa na kuonekana wema pale tu wanapofariki sijui hii inatokana na nini? Kuna wakati nachukiwa na watu mpaka natamani nife ili nianze kupendwa,. Je kwanini binadamu tumekuwa tukipenda sana marehemu na kuwaona wema...
  15. JamiiForums Tanzania Wachina kwa Magwalide hawajambo sana!!!

    Gwaride la kijeshi la Beijing laanza na mizinga kurushwa kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa China dhidi ya Japan katika Vita vya Pili vya Dunia.
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Kafanya Makubwa na anaelezea kwa uzuri sana Mipango yake Mikubwa na mizuri kwa Tanzania yetu

    Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea. Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

    Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda... Kama unajipenda anza zoezi la kuacha.. SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA 1. Shambulio la moyo 2 uraibu 3.kichwa kuuma mara kwa mara. 4.Kisukari type 2 5. Uharibifu wa figo. 6.kipandauso (Migraine) 7...
  18. JamiiForums Tanzania Askari wanyamapori auawa na chui Mwanza - wengine 4 wajeruhiwa wakipambana naye - polisi waeleza

    Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao. https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
  19. JamiiForums Tanzania Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

    Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako. Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani. Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mnakurupuka sana: Cuba inapata mafuta na gas kutoka Venezuela

    Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni nchi rafiki. Hivyo kulinganisha nchi kama Cuba nchi ambayo iko kwenye vikwazo na inasaidia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…