sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Google Maps Local Guide: Uwa napenda sana kuacha review kwenye kila sehemu niliyotembelea. Wewe je?

    Wakuu. Google Maps kila mtu anaitumia. Mfano unaenda Kilosa, unataka ujue wapi utalala au utakunywa bia au ofisi flani ipo wapi bila kuuliza wenyeji, Google Maps anakusaidia. Pia kupitia Maps, unaona reviews mbalimbali katika iyo sehemu, ambazo zinatolewa na wateja au watu waliowahi...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa kiislamu wanaturudisha nyuma sana kwenye No reform No election

    Nimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu . Cha ajabu hakuna ninayemsikia akisapoti suala la No reform No election, hakuna anayepiga kelele suala zima la utekaji na muenendo wa serikali kiujumla badala yake wamekuwa ni...
  3. JamiiForums Tanzania Freedom inakaribia sana

    Mungu mwema jamani, ameanza kujibu maombi ya watanzania, juu ya kurudisha nchi yetu katika mikono salama ya wananchi. Audui yetu ameanza kusalenda
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

    Mwanaume umeshajua wewe ni mnene umejinenepea kama kiboko basi jisitiri. Kwa nini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika makalio yote mpaka juu? Kwa nini uvae T shirt au shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane kama umevaa kitop au ukiinama mfereji wa matako unabaki wazi makalio...
  6. JamiiForums Tanzania Simba bado inacheza kitoto sana

    I salute you kinsmen Kiukweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia sana na team yetu. Licha ya fadlu kutukimbia bado tunazidi kuumia na performance yetu mbovu kwa hawa matapeli wawili Morocco na mwenzie matola. Kiufupi kadri upepo unavyovuma ndio nyeti za ndege zinaonekana haina haja ya kuficha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  8. JamiiForums Tanzania Angola ni nchi ya tatu kuzalisha crude oil kwa Africa ila wana refinery moja na nyingine ndogo sana

    Africa ni bara lisiloishiwa na maajabu nchi kama Angola ni ya tatu kwa kuzalisha lakini cha ajabu wana-cude oil refinery moja na nyingine ndogo sana kwa maana hiyo crude oil inayochimbwa Angola kwa asilimia kubwa haishafishwi au kuongezewa thaman ndani ya nchi Angola wakihitaji diesel, petrol...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo) Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku lakini unakutana na changamoto ndogo ndogo ambazo hujui pa kuanzia. Na mbaya zaidi, huwezi kuuliza kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kulala na mtungi wa gesi ndani.

    Tena ile ambayo ni mikubwa mirefu inayotumia mipira ni hatari sana, bora ile midogo ya kawaida. Ikiwezekana mtungi unatakiwa ukae nnje halafu unauchimbia chini kidogo unaujengea ukuta juu unaweka kifuniko cha zege au cha bati unaweka kufuli, halafu mpira unatoboa ukuta kiufundi unaingia ndan...
  11. JamiiForums Tanzania Ni misemo gani ya watu wa kariakoo ukiisikia huwa unacheka sana?

    Mimi binafsi nikipita kariakoo kwenye yale spika zao nikisikia hii misemo minne huwa nacheka sana. 1.Boss kalewa 2.Boss kasahau bei. 3.Boss kavurugwa 4.Boss kapandwa na kichaa
  12. JamiiForums Tanzania Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% ?

    Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza. Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
  13. JamiiForums Tanzania Nyakati Hizi Mbili Mwanaume Unatakiwa Umjali Sana Mwanamke

    Kuna nyakati mbili mwanamke akipitia basi mwanaume unatakiwa uwe mpole sana na ujue kujali sana Yani hapa ile haiba ya mamlaka na ushapavu wa kiume unaupunguza kidogo ili uende sambamba na nyakati hizo Sehemu ya kwanza ni pale mwanamke anapokuwa mjamzito,huwa anapitia mabadiliko makubwa ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Misholi aliona mbali sana kuimba huu Wimbo "bora hayati Nyerere"

    Huu wimbo ulitoka kuelekea kipindi cha uchaguzi wa J.K Kikwete mwaka 2004 na hayo aliyoyaimba hayakutokea. Ni miaka takribani 22 toka wimbo utoke na leo yote yaliyoimbwa yanaelekea kuwa dhahiri shahiri. Mzee wa watu alifanya unabii bila hata kujua utakuja kutokea lini na leo tunayaona...
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Inaonekana Makonda anapenda sana kulialia

    Yalikuwa ni mapenzi na hofu ya Mungu au siasa zetu kivyetu vyetu? Ila Makonda inabidi apewe cheo cha 'Lastborn' wa Taifa analialia sana.
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Felista Njau apanda mtumbwi ili kumnadi Rais Samia

    Sema CCM wana siasa za kishamba sana. Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi. Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi? Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Kidume kaza sana ukiwa na game uvae kinga. They don't care

    Hawa viumbe ni wauaji inapokuja kwenye suala la ngono salama hawajali kabisa. Yaani manzi mnakubaliana ukaichape hata hakukumbushi ubebe ndomu. Usipojiongeza gono au waya linakulamba. Ni mara chache sana manzi kukaza utumie kinga, na hata akikaza na wewe ukimkazia uende kavu hapingi. Kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wameshtushwa sana na kuzorota kwa hali katika jimbo la al-Fasher la Sudan

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano katika jimbo la Darfur nchini Sudan baada ya shambulio baya la ndege isiyo na rubani siku ya Ijumaa kuwauwa waumini zaidi ya 70 huko El-Fasher, na kueleza hofu kubwa kuhusu hali inayozidi kuzorota. "Mapigano lazima...
  19. JamiiForums Tanzania Majina mengine ya kampuni za biashara nchini kwetu yana walakini sana

    Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi kwa hiyo biashara nyingi za Tanzania kuwa Limited ni sawa kabisa kulingana na shria za nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia machawa wengine wa kuwaongoza

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza. Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo. No reforms no ELECTION
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…