sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  2. JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

    Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi. 2. Asha...
  4. JamiiForums Tanzania Nimefurahi kukutana na Gentamycine

    Tumshukuru Mungu kwa pumzi hii na riziki anazotupatia. Mnamo tarehe 28 September niliweka Uzi hapa JF nikimuulizia na kumtafuta mwanachama maarufu Bw. GENTAMYCINE ambaye happy awali sikuwahi kumfahamu kwa lolote lakini namna alivyoongelewa na wanajukwaa ikanibidi nitie muhuri katika ulimwengu...
  5. JamiiForums Tanzania Mfumo wa NHIF kila wakati tunaambiwa uko chini, Wagonjwa wamekaa kwenye foleni

    Kila tunaambiwa mtandao uko chini tuwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi. Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari. Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu.
  6. JamiiForums Tanzania Simbachawene umetukosea sana Graduate tunaouza chai na kutembeza viungo mabarabarani, pia tunaokula chakula cha mjomba, hiyo kazi tunaitaka sana

    Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza. Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo? Mnajua kwamba kuna graduates wanaendesha bodaboda? Mnajua kuwa form six leavers wanauza matunda stendi na wengine ni vibarua wa...
  7. JamiiForums Tanzania VodaCom huu ujumbe wenu mnaotutumia kila muda, kila saa unakera sana

    "Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia. Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando." Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine? Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo. Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi? Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji...
  9. JamiiForums Tanzania Hawa ni maDj wa Kenya wanaokimbiza sana Tanzania kwa mix kali

    Kwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata. Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa. 1. Dj Prince 2. Dj Perez 3. Dj Shinsk 4. Dj Layta Huwezi kukuta mtanzania ana mix yeyote ulakosaajina ya hawa jamaa. Ni wakali sana. Kuna jamaa mmoja anajiita mc fullstop...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Tarime Mjini akiwasaidia watoto wa mtaani kubeba makopo

    Jamaa ni jembe saaaaana roho nzuri mno anapiga kazi KWERI KWERI , huyu anatakiwa apewe u waziri mkuu kabisa ,hakika wana tarime mmepata jembe embu angalia hapa anavyoonyesha upendo kwa wana jimbo wake,mbunge oyee Jamaa anajali sana , ana utu kupita kiasi
  11. JamiiForums Tanzania Ni kero kubwa sana kwangu mtu kuongea na mimi huku ananigusa au kunisukuma...

    Habari za asubuhi wana.. Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari. Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge songe!!atakupiga piga au kukuskuma huku mkipiga stori kawaida tuu.. Mwingine unaongea nae unaona kama anakurusha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Chuki zetu, Wivu wetu na Roho mbaya zetu Waswahili tutamsema sana, ila kwa sasa Tanzania hakuna Kipa bora na Mahiri kama Aishi Salum Manula

    Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo. Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri walioucheza leo na hadi kutupa Ushindi na kuna Kitu nimegundua kuwa ukitaka Taifa Stars ishinde basi...
  13. JamiiForums Tanzania Paul Makonda unatakiwa ujifunze na ujitafakari sana

    Kitu pekee ambacho ninajifunza katika hii dunia ni kwamba kila nifanyalo ni lazima lipite, itakua "ilishakuwa". Kiufupi ili uendelee kufurahia maisha katika hii dunia tendwa wema wenzako, tenda haki, jiepushe na arrogance (kibri na majivuno). Paul Makonda aliyekabidhiwa mkoa mkubwa wenye...
  14. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya barua yalikuwa matamu sana.Anayepinga huyo hana ulegend!!

  15. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

    Habari wadau..! Hii imewakuta watu ninao wafahamu. Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

    1.Jeff 2.Matt 3.calvin 4.Alvin 5.Sydney 6.cliff 7.James or Jimmy 8.Brian 9.Dan 10.Erick
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kusota sana hatimaye nuru imeonekana

    Baada ya kusota sana mtaani hatimaye nuru imeonekana. Kwa kifupi nilisoma ngazi ya degree lakini sikuweza kuhitimu kutokana na masuala ya kifedha. Misukosuko iliniandama baada ya mzazi kuumwa sana hivyo uchumi uliyumba sana hivyo nilipostpone . Baadaye nika resume masomo hivyo hivyo kibishi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

    Wakuu Alikiba hapewi sifa anazostahili. Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste. Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na kusema ni album. Alikiba only king ameitendea haki bongo fleva. Tunapata ladha ya mziki wa Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania TAWAQAL Petrol Station, Ipogolo, Iringa; huduma ya chakula mgawahani ni mbovu sana

    Kwa muda sasa nilikuwa na simama kupata msosi katika kituo hiki cha Petroli, na kupumzika kwa ingalau nusu saa kabla ya kuendelea na safari yangu ambayo huwa marathon, Dar-Mbeya. Kituo kina mandhri nzuri ingawaje sasa kimeanza kuchakaa kutokana na kukosa matunzo. Mbaya zaidi ni huduma ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mchango wa wanyonge wanaotetewa sana hapa nchini ni upi?

    Mnyonge anachangia Tsh ngapi kwenye fedha za Taifa ambayo huwa anatetewa nayo sana na wale wanaojiita wazalendo ambao mwenye fedha kwao ni fisadi? Ukiachana na misaada: Kodi imekuwa ikilipwa na wenye fedha sio wanyonge Bandari zilijengwa na wenye fedha kupitia kodi zao sio wanyonge Mbuga za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…