sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  2. JamiiForums Tanzania Ole Gunnar Solskjær afukuzwa, Manchester United watoa tamko rasmi

    Inasemekana bodi ya klabu ya Manchester United imeridhia maamuzi ya kumfukuza kazi Ole Gunnar Solskjær. Maamuzi hayo yanakuja kutokana na muenendo usioridhisha katika msimu wa mwaka 2021/22. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya klabu hiyo kupokea kichapo cha magoli 4 kwa 1 dhidi ya Watford...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kauli kuu ya Mbowe iliyosaidia sana kutunza amani nchini: Tusilipize kisasi, kisasi ni kazi ya Mungu

    Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana. Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu waliokuwa wakifanyiwa na watu wa mrengo wa CCM na serikali, Lakini Mbowe siku zote amekuwa akiwaasa...
  4. JamiiForums Tanzania Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

    ok ngojaa tukuchekie mkuu
  5. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

    Habarini ndugu, Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei. Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa kawaida kuzimudu inakua shida. Vifaa vya ujenzi ambavyo vingi tunatengeneza hapa hapa nchini navyo...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume tupambane, tusipende sana ofa

    Sifa ya mwanaume ni kulipa gharama na si kulipiwa. Kukubali kulipiwa ni kuuvua uanaume wako na kuamia upande wa jinsia ya pili. Hata kama umetolewa 'out' na rafiki yako, jitahidi angalau uchangie hata 500 ya kachumbari; hiyo itakupa heshima kubwa sana ya kuwa mwanaume halisi. Wanaume...
  7. JamiiForums Tanzania Tusipochukua uamuzi huu sasa tutaangamia sana!

    Nawasalimu kwa Jina la JMT Siku si nyingi niliandika uzi kuhusu yanayopaswa kufanyika ili kuokoa mazingira yetu na kuiepusha nchi yetu na majanga ya chakula na Umeme . Uzi huu hapa chini👇...
  8. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

    Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano. Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
  9. JamiiForums Tanzania Tunduma: Uwanja wenye wingi wa majajusi

    Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao. Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania. Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo lango kuu la Tanzania na Rwanda. Tunduma,inasemekana ndilo lango linalindwa kwa gharama kubwa kupitia...
  10. JamiiForums Tanzania Ndio, Rais anaifungua nchi lakini wapigaji (wafanyabiashara/wanasiasa) nao wanaupiga mwingi sana

    Salam wadau. Kwa kweli kama wanavyosema 'mama anaupiga mwingi' hatukatai tunaweza tukakubaliana na hoja zao lakini tangu mama ashike hatamu, wafanyabiashara/wanasiasa hawako nyuma, wanaupiga mwingi sana. Mfano mdogo tu ni gharama za ujenzi jinsi zinavyopaa mathalani saruji. Kama viwanda vya...
  11. JamiiForums Tanzania Usitumie nguvu kubwa sana mwanamke akupende. Utalia sana!

    Wasalaam, Kati ya vitu vingi mbavyo wanaume wengi huwa wanakosea ni pale wanatumia 'Nguvu' kubwa sana kuwapata hawa wanawake, hasa ikiwa ana malengo naye ya future. Kama ni mwanamke anayekusuuza roho ukimuona na wewe ukatumia nguvu kula 'msambwanda' uridhishe nafsi sawa. Ila sio kama una...
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    TANESCO wawe wawazi kuwa kuna mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kwa hivi sasa. Pengine itakuwa ni jambo jema zaidi kama ingetoa ratiba ya mgao huu ili watu waweze kujipanga zaidi kutokana na athari zinazojitokeza. Tumeshuhudia busara kubwa iliyofanyika kupitia taarifa iliyotolewa na...
  13. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nyumba kali sana na furniture zake, Iko Bunju. Inauzwa

    Nyumba inauzwa bunju A Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet Uwanja ni sqm700 Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani. Bei 150m 0762815104
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

    "Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?" CCM tujitafakri sana...
  15. JamiiForums Tanzania Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

    Wanabodi, Angalizo la uchangiaji: Kuna watu humu wana vijiba vya roho, akitokea mtu akapendeza wao wanakereka au akisifiwa wao wanakereka na kukasirika. Kama wewe ni mmoja wa kundi hili, nakuomba ushia hapa ili huko mbele usikereke. Kufuatia mimi mwana jf mwenzenu umri wangu umesonga songa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wanahitaji Mageuzi Makubwa sana - Ni lazima CCM iondoke madarakani

    Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando, Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
  17. JamiiForums Tanzania Mbosso: Huwa nateseka sana, aeleza anayoyapitia akitoa vibao na video vixens wake

    Watu mashuhuri, wasanii na kila mwanamke na mwanamume ana hisia za mwili wake, lakini wanayoyapitia wasanii ni mengi hasa wakati wanatoa video ya vibao vyao. Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Tanzania anayeshirikiana na Wasafi Records inayomilikiwa na staa wa bongo, Diamond, amejitokeza na...
  18. JamiiForums Tanzania Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

    Kaka Janu shikamoo. Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu. "Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ndanda kuna shida ya maji sana

    Habari wakuu, Unapozungumza jimbo la Ndanda, unazungumza Abbasia ya Ndanda, abbasia ya Ndanda imekuwa msaada kwa wakaazi wa jimbo hili la Ndanda, kwenye suala la maji maana wamesupply maji yao wenyewe hadi vijijini. Kutokana na wakazi kuongezeka wanaelemewa sasa, maji yamekuwa shida sana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa yafuatayo yana Ushirikiano mkubwa sana na yanategemeana mno?

    Uroho, Uchoyo, Roho Mbaya, Wivu. Uchawi, Chuki na Unafiki? Kazi kwenu katika Kunidadavulia hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…