sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TCRA Naomba fuatilieni hii kitu hawa watu wanatapeli watu sana

    Leo nimetumiwa message kutoka kwenye namba +255733326905 kuwa nimeshinda Biko ya milioni 5 waliniona mimi ni zuzu wa kuona milioni tano nitahaha. Wakanipa maelekezo nipige kwenye namba hii 0719254427 Nawaomba cyber polisi na TCRA fuatelieni nyendo za hizi namba mishowe mtamkamata huyu mtu. +
  2. JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

    Mwaka 2022 unagawanyika kwa mbili. Ni mwaka mzuri. Usikubali ukaishi maisha ya dhiki na kutofurahia maisha. Unafanya kazi ili iweje kama huwezi kutenga siku kadhaa za kufurahia maisha? Dhamiria kuufanya mwaka huu kuwa mwaka wa kujipa nafasi binafsi. Au kama uwezo unaruhusu, basi jipe nafasi na...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ngumu sana kutoboa bila shortcut, hakuna uwazi

    Tuseme ulikiwa unafanya biashara maeneo yasiyo rasmi (machinga) ukatolewa na serikali. Ukatoka na msingi wako wa 2ml kwenda mtaani kuanza biashara unaamua kuuza kiduka cha vitu vidogo vidogo labda na gas za kupikia majumbani. Kutokana na msingi kuwa mdogo na hali ya biashara mauzo yako...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kibatala na Mawakili wenzake upande wa utetezi wamesomea mambo ya mtandao? Mbona wanayajua sana? Nijuzeni

    Hawa mawakili wananipa tabu mi nilitegemea kuona wako competent kwenye mambo ya actus leus, mens lea n.k lkn cha ajabu naona wako very competent kwenye mambo ya kimtandao maana wanawabana wataalamu wa IT pale mahakamani mpaka wanaomba kwenda haja.
  5. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia iachane na Uhandisi Jamii unoendelea kwani unamharibia taswira yake kwa kiwango kikubwa

    Soko la Karume limechomwa lote na hakikusalia kitu hata kimoja na wamachinga wapo hoi bin taaban yaani "they are devastated big time". Soko la Kariakoo nalo liliunguzwa na sasa lipo kwenye matengenezo. Yapo masoko mengine ambayo yamechomwa moto yote na kutekeketea kama lile soko maarufu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke wangu wa nje kanitamkia kuwa anahitaji siku moja tufanye “Threesome” nimeogopa sana mood ya kuendelea nae imepotea kabisa

    Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike. Kama kawaida baada ya romance nikaanza kumpelekea moto “Nilidumbukiza nyama kwenye kiota chake vilivyo hadi...
  8. JamiiForums Tanzania Nisaidieni nampenda sana Giggy Money

    Sina mengi nisaidieni kumwambia, nampenda mwambieni nitatoa mahari anayotaka yeye, afu mwambieni ndoa tutafungia Saadani, mwambieni niko tayari na nipo kwa ajili ya kumpa Raha, siitaji kulelewa ila kumlea.
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu Kiranga, nimekutana na hii mitandaoni huko

    Mkuu ,Kiranga nmekutana na hii mitandaoni huko Nikaona nikupenyezee hapaa Hawa vijana wana matani sana na nyie😅
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

    Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
  11. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana! Kumbe mama mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa

    NIMESIKITISHWA SANA; KUMBE MAMA MKWE ALIWEKA CCTV CAMERA KWENYE NYUMBA ALIYOTUPA. Anaandika, Robert Heriel. Niweke wapi USO wangu! Mambo yote hadharani! Tupu zangu zipo ukweni, Wanazitazama tadhani Filamu ya ngono, Wanayatazama maungo yangu, afadhali yangekuwa maungo ya nje lakini mpaka Uchi...
  12. JamiiForums Tanzania Kama Seal za vizibo vya chupa za maji zinachafua mazingira. Je, karanga na pipi hazichafui?

    Ukubwa wa seal za vizibo vya chupa za maji hauna tofauti na ukubwa wa vifungashio vya karanga na pipi. Seal za vizibo vya chupa za maji zilikuwa ni uhakika kwa mtumiaji kuwa maji hayajachakachuliwa Unapozuia maji kuwekewa seal una maana gani? Maji fake yaingie mitaani?
  13. JamiiForums Tanzania Huwa nafurahi sana Simba na Yanga zikipata matokeo halali

    Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu. Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo akiishiwa mbinu basi atakuwa anampigia simu ZIDANE ili ampe mbinu mpya,bahati mbaya leo simu ya ZIDANE...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kitengo cha TEHAMA: Kwanini mifumo yenu mingi ya online/kimtandao inasumbua sana tatizo ni wataalam au vifaa duni?

    Mifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo? Yani unaweza kukuta vi websites binafsi tu vinawatumiaji karibu milion lakin viko haraka sana lakini...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Vijana waache kulalamika na kuchagua sana kazi

    Ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa. Naibu waziri Patrobas Katambi anatoa maneno ya nyodo kiasi hiki kwa vijana!!!?
  16. JamiiForums Tanzania Leo rasmi nawasanua watanzania. Tupo wachache sana tunaofahamu hili jambo

    Ndugu watanzania! Leo naandika hili na leo ndio mwisho wangu kuandika hapa JF, sio kwa ubaya bali kwa ridhaa yangu mwenyewe. Kuna mambo matatu makubwa: 1. Ukiona matatizo yoyote yaliyopo TANZANIA fahamu kuwa huo ni mradi wa watu wakubwa wachache. Mfano: Ukiona urasimu, ukiona maisha duni ya...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ifute Div 4 na 0. Hazina tija yoyote kwenye ulimwengu wa leo! Halafu ipunguze Div 1 kuna pointi nyingi sana Div 1.

    Zibaki Div 1, 2 na 3. Just imagined matokeo ya mitihani ina range from point 7 hadi 35 Kwa O level. Uwingi wote wa nini? A level point 3 hadi 20s huko. What the meaning of all these many numbers? Div 1 inaanza 7, 8, 9, 10, 11, unaendelea kuchanja mbuga hadi 17 dah a very long safari. Div...
  18. JamiiForums Tanzania Nashangaa wanaoshangilia watoto wao kupata Division One na Two wakati waliwapeleka shule za gharama

    Nilitegemea sisi tunaopeleka watoto Kayumba ndo tushangilie hayo matokeo coz shule na huku Kayumba ni ya kubahatisha. Sasa nyie mnapeleka watoto Feza Schools, St. Francis, Kaizirege na nyie pia mnashangilia! Kwa ada mnazolipa na mazingira wanayosomea hao watoto ni jukumu lake kufaulu so sioni...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna 'Kiongozi' Mmoja 'anahangaika' sana 'Kujiokoa' na hana 'Amani' hivyo nampa tu huu 'Ushauri' na akitaka asalimike kwa 'Maovu' yake atii niyasemayo

    1. Akiri mbele ya Watanzania kuwa Yeye ni Mpumbavu ( Popoma ) na hana Mpinzani Tanzania, Afrika na Duniani. 2. Akiri kuwa kwa muda wake mfupi tu Madarakani ameua Watu wasio na Hatia kama alivyowahi Kuua aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor. 3. Akiri kuwa Yeye ni Mnafiki na siyo Mcha Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania Kama wanajadili waziwazi namna ya kukwapua Mali ya Umma, ni dhahiri walimchukia na hawakupenda hayati Magufuli awepo. Inaonekana aliwabana sana!

    Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma. Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya rushwa na ufisadi. Sasa wanatoa michongo namna ya kupiga madili. Naona tangu amefariki wanachekelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…