sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzanzibari na Uswahili unasingiziwa sana!

    Unakuta mtu ni character yake yeye binafsi lkn Uswahili wetu wote unasingiziwa kwamba tabia yake ni kawaida kwa“Waswahili“ yote hii ni kukwepa character flaws zake. Kuna character ya mtu yeye kama yeye na haina uhusiano na Utamaduni wake, mfano kutokujua au kutokuwa na uwezo wa kujua na kuchuja...
  2. S

    JamiiForums Tanzania "Sikukuu/sherehe imefana sana". Nini kigezo chako kikubwa ktk kutoa hii kauli??

    Nini huwa ni kigezo chako kikubwa kinachopelekea wewe kusema "sikukuu/sherehe fulani imfana?" Je, ni a)- kupiga msosi mzuri? b)- kuvaa nguo mpya au kuvaa vizuri? c)- kutoka out na marafiki? d)- kupata mpenzi mpya au kufanya ngono sana? Au kitu gani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo tukubalini tu kibao kimetugeukia tulikuwa tunawacheka sana ndugu zetu upande wa pili.

    Mzuka wanajamvi! Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia. Sasa ni...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyimbo za Zamani huwa zinapendwa na kupendeza sana kwenye vilabu vya pombe za kienyeji?!!!

    eid mubarak!! Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini..... Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani..... Ddc mlimani park Sikinde Msondo ngoma n.k Hizi ni nyimbo zenye...
  5. JamiiForums Tanzania "Lile jambo letu" ni moja ya kauli ninayoichukia sana

    Habari! Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni? Tatizo nini hasa? Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi yake ili kuja na jibu kamili kuhusisha MISHAHARA ya watumishi? Je, ni woga wa kuongezeka mfumuko wa...
  6. JamiiForums Tanzania Dada wa kazi ni mchoyo sana, nifanyeje?

    Yupo dada wa kazi hapa home, Chai anaiva wote tukishatoka kwenda kwenye majukumu huko, na anaamka mapema kabisa saa 12, tukirudi jioni tunaikuta kwenye chupa Mchana hapiki kwasababu sote tunakua hatupo home (hapa sina tatizo) Shida inakuja usiku, anapika chakula kidogo sana... yaani hata...
  7. JamiiForums Tanzania Diamond ana hekima Sana. Wengi hawamuelewi. Wakati mwingine hata chawa wake ndio wanamutungia maneno

    Mada inajieleza. Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania CAF Wanaipenda sana Simba

    Katika ukurasa rasmi wa CAF klabu bingwa na shirikisho wakiwatakia kheri WAISLAMU wanaosherehekea EID EL FITR siku ya leo wameweka picha yenye wachezaji wa timu nane zilizofuzu nusu fainali ya klabu bingwa na shirikisho wakaweka na picha ya mchezaji mmoja tu kutoka katika timu ambayo haipo nusu...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Ukiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga. Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso...
  10. JamiiForums Tanzania Siku hizi wake wanawaita waume zao "baba chanja", si "mume wangu" tena kama ilivyokuwa zamani

    Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake. Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu" Tena wengi wetu tunaitwa baba chanja. Hata mimi leo nimesikia nikiitwa baba chanja alipokuwa akiongea na mwenzie...
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Tunauza mbuzi wakubwa sana na kondoo wazuri. Shamba letu lipo Bunju sema ulipo tukufikishie mzigo wapo mbuzi wa kutosha. Mawasiliano 0652746359
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini USA na EUROPE wamelitawala sana anga la ndege za abiria ulimwenguni?

    Mashirika mengi ya usafiri wa anga ulimwenguni yanatumia sana ndege zinazotengenezwa na either Boeing ya Marekani au Airbus ya Europe. Ni kwanini? Ina maana nchi nyingine kama china, Russia, south Korea wameshindwa kuunda haya madude? Hata mashirika yaliyoko china ndege zao ni either Boeing au...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania mnadanganywa na kuridhika kwa vitu vidogo sana

    Mnakomalia vyakula kama vile huwa hamli makwenu
  14. JamiiForums Tanzania Hizi protokali za kila mtu kutaja wageni eti ni protokali nu ujinga na inachosha sana.

    Kila mtu anayeingia anatambua wageni. Mgeni mmoja anatambuliwa hata na wazungumzaji watano. Huu ni ujinga
  15. JamiiForums Tanzania Watu wa Ikulu mnalala sana

    Nimeingia kwenye kitu kinaitwa tovuti rasmi ya Rais ukifungua kule unakutana na Magufuli! Maana yake hii tovuti haijamtambua samia?
  16. JamiiForums Tanzania Inashangaza sana! Rasilimali za taifa zimetoroshwa, ruby ya bil 276 imetoroshewa Dubai Mkuu wa nchi yupo kimya kama vile ni jambo dogo

    Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum. Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo. Utoroshwaji wa rasilimali za umma unarudisha maendeleo ya taifa letu. Kama mkuu wa nchi hakemei suala kama hili basi tumepotea njia.
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimtongoza anajiona tayari hiyo ni ajira, kutwa kuombaomba hadi kiberiti

    Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money But we galla Love for them most of women are shit
  18. JamiiForums Tanzania Ila Dr Dre ni hatari sana

    Kuna hii ngoma ya miaka kama 12 iliyopita ya Chris Brown ft Dr Dre, haikuwika sana ila bonge la ngoma beat yake naielewa kinoma kama nnavyoelewa I need doctor. Muziki wa sasa hata siuelewi nyimbo sinazomiburudisha ni zile za miaka ya nyuma. Huenda nashazeeka
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

  20. JamiiForums Tanzania Usipambane sana

    KILA MTU AMEUMBIWA KUFANIKIWA KWA NAMNA YAKE, KUFANIKIWA SIYO KUSHINDANA. "Success is not competition" Jamii yetu leo ni kama tumeaminishwa ili kufanikiwa sharti tushindane lakini Kanuni za uumbaji za asili hazioneshi umuhimu huo. Ni kama tumelipokea jambo ambalo tumelichukua kama imani katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…