sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma vijana na wanaotaka kuanza biashara maana, sehemu nzuri za biashara zimeshaisha

    Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
  2. JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu alichukua tahadhari haraka na mapema sana kuomba hifadhi ubelgiji.

    Ukishaona hali ya usalama haiaminiki ni kuchukua hatua za dharura, haraka na za maksudi. Usingoje wala kupuuzia. Fanyia kazi hisia zako na kuonywa na watu kama britanicca anavyotoaga alert humu siyo kupuuzia. Dereva wa Lissu alijionea kifo kwa macho na akachukuwa tahadhari. Hata boss wetu...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu Chalamila huu Mji wako mchafu sana hayo mabasi sio uchafu

    Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka. Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro Weka sheria...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Museveni na Kikwete kutomaliza mwaka huu ni mkubwa sana

    Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Oh Pacome,pole sana

    Pacome kaumizwa,zile picha zinaashiria kitu kibaya,yule mchezaji mwenyewe aliyemuumiza alificha uso wake kwa huzuni na aibu
  6. JamiiForums Tanzania Wananyukana sana

    Hapo ndani yetu macho,mmoja asipouwawa basi Hata viti wamebadilisha kuogopa kuwekeana sumu kwenye mkutano
  7. JamiiForums Tanzania Kuna ishara gani ambazo hukufanya uone wewe na Mungu mnatafutana sana?

    Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu. Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana, hawa CHADEMA watakulipa malipo waliyomlipa Dr. Kikwete, Rais Mstaafu

    Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto . Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima Lakini leo...
  9. JamiiForums Tanzania Msinielewe vibaya, uhu sio udini ILA wakatoliki tumepwaya sana, mapdri mmekuwaje?lissu alipigwa risasi tukanyamaza,kitima mpo kimnya mnasubilia wauwe?

    Uu, sio udini jamani narudia tena sio udini wakatoliki tunashambiliwa mno na tupo kimnya, Faza kitima alishambuliwa hatukuchukua HATUA na mpaka Leo hakuna TAARIFA yoyote iliyotolewa dhidi shambulio ilo sio jeshi la polisi, sio uchunguzi wa kanisa sio uchunguzi wa chombo chochote ili maana yake...
  10. JamiiForums Tanzania Bud light ni tamu sana aise nimechelewa sana kujua hili.

    Inashuka kwenye koo kwa wepesi,ni tamu ina ladha nzuri, Ina harufu poa Bud light ni bomba sana. I love u BIA 😁
  11. JamiiForums Tanzania Profile zetu hapa JF very interesting and confusing sana!

    Jana baada ya umeme kukata na ule uzi wa raarifa kufunguliwa kila mtu alikua anatoa ushuhuda eneo lake halina umeme, sijui kwimba, Tandahimba, tunduru, kibosho, changanyikeni, nyakasangwe, kaliua, mtimbira, mpitimbi huko, nk nk. Ila tukirudi kwenye profile fulani from uk, fulani from Michigan...
  12. JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

    Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi. 1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
  13. JamiiForums Tanzania Walio karibu na Heche mlindeni sana

    Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!! Britanicca
  14. JamiiForums Tanzania Walokole ndo chanzo cha migogoro Ofisi za Umma na binafsi

    Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
  15. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kibarua kigumu Sana Kwa Askari na Maafisa wa vyombo vya Ulinzi na salama

    Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani. Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama...
  17. JamiiForums Tanzania kuna wabunge wanashangaza sana ana kwambia tumalize Gen z ndio kina sababisha uvunjifu wa amani.Hivi ana elewa ilo neno maana mtoto raisi yupo

    Bungeni kuna vituko sana yani ni vilaza wa kambare matopeni. Unaposema Gen Z ni kuingamiza hata uwelewi kuna mtoto wa raisi wako na mwanao. Ulijua ni chama kipya.
  18. L

    JamiiForums Tanzania IGP Mstaafu Simoni Sirro: Tunajisahau Sana Tukiwa Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Hapa👉Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema baadhi ya Viongozi wanapokuwa Serikalini hujikuta wakijisahau na kufikia hatua ya kujiona kuwa wao ndio kila kitu. Sirro ametoa kauli hiyo leo Juni 26, 2026 wakati wa kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  19. JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa duniani;Ogopa sana mtu ambae ukimdhulumu au kumtendea ubaya anakaa kimya na kupotezea.

    Tuishi maisha ya amani na furaha bila kuwakwaza wenzetu,kuwafitini,kuwasemea uogo... nk
  20. JamiiForums Tanzania Boss wa mke wangu ana moyo wa utu sana

    Leo niliitikia wito wakwenda ofisini kwa mke wangu kuonana na boss wake kwaajili ya mazungumzo! Nimefika tumezungumza mambo mengi sana Kubwa zaidi boss wake kasema nimruhusu mke wangu ampangie nyumba karibu na kazini ili awe anapata muda wakupumzika mapema nakufanya kazi zaidi maana ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…