sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana, eti CCM na wapambe wao nao wanakufa! 🤔

    DIWANI AFARIKI DUNIA. Diwani wa Viti Maalum wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Semeni Musa Mtoka, alimefariki dunia leo Machi 31, 2026. Marehemu Mtoka amefariki Dunua wakati alipokuwa akipatiwa matibabu katika Cardinal Rugambwa Hospital. Mwenginee huyu naye kafa Nimezoea kuone CCM na...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Hisense Refrigerator lita 205, clean sana

    HISENSE REFRIGERATOR LITA 205 | CLEAN SANA ✅ BEI 550,000/= UBUNGO PLAZA Call/Whatsapp: 0749378669
  3. 4

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA ni kubwa sana, Lissu na Heche Mungu awabariki sana

    Kwema wakuu, amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa. Wakuu, Lissu na makamu wake Heche Mungu awabariki sana. Kwa sasa kama CCM hawajui ,asilimia 85 ya watanzania ni CHADEMA. Kwa nini nasema hivi Ichi chama misingi yake imejikita kwenye haki na watanzania wote...
  4. JamiiForums Tanzania Mgongo ni sehemu yenye hisia iliosahauliwa sana kwenye mapenzi

    Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax. we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike mgongoni uone, au afanye kama anakutumbua chunisi au vipele, kisha utaona relaxatio and stimulation...
  5. JamiiForums Tanzania Hapa mjini pesa ipo sana

    Cha msingi ujue namna ya kua anonymous (Don't blame anyone to be addicted for something) Uzi tayari 🧵 🍺 🍻
  6. R

    JamiiForums Tanzania Heche Msibani kwa Bwege: Lissu angekuwepo angekuja kumzika Bwege 'alimpenda sana'

    Makamu Mwenyekiti Bara John Wegesa Heche amemuelezea Marehemu Selemani Bungara(Bwege) kama mtu ambae aliyesimama imara kuwapigania wananchi kila alipopata nafasi huku akiwa hayumbishwi. Heche amezungumza hayo leo Machi 31, 2026 aliposhiriki mazishi ya Bwege Kilwa Kivinje mkoani Lindi na...
  7. JamiiForums Tanzania Miundombinu Tanzania bado sana

    Kusema kweli Tanzania tuna safari ndefu kwenye miundombinu Tanzania ukiachana na main roads, barabara nyingi bado ni za vumbi especially mitaani wanakokaa watu. Hata miji mikubwa kama Mwanza na Mbeya, barabara ni changamoto. Mji unaokua kwa kasi kama Kahama bado uko nyuma kwenye barabara. Dar...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna msanii mkali wa singeli kuzidi kaje double killer huyu 45 anatisha sana

    Ngoma zake hazijapoa huyu jamaa ndio msanii wangu Bora wa singeli mda wote sababu ngoma zake Zina ujumbe sana na ni Kali jamaa kabalikiwa kipaji kikubwa sana na ametokea kukubalika sana na raia ukisikiloza ngoma zake maisha unayaona simple sana 45 namba chafu
  9. JamiiForums Tanzania Kila mtu asome constitution of United States of America 🇱🇷 mtajifunza jambo kubwa sana

    Third amendment
  10. JamiiForums Tanzania Nyasi zinapendezesha sana neighborhoods za Marekani

    Kila nikisearch picha za suburbs za Marekani sichoki kuziangalia jinsi zilivyopendeza Kwanza kuanzia nyasi, unakuta nyumba hazina mageti bali zina nyasi tu mbele Pili miundombinu, kuanzia barabara za magari, watembea kwa miguu, yani hawakupi nafasi ya kuona mchanga Hizi nyasi zinapendezesha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ,mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library

    Natafuta kijana (anayejielewa),mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library,anicheki ili tufungue ofisi. Atatafuta location bora ambayo kazi itaenda,atanipa mchanganuo wa vifaa vinavyohitajika,then mi nitashghulika na gharama zote ZA AWALI.ITAKUA NI KAZI YA HESABU! Means kila siku atanipa...
  12. JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kwa macho yangu Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka. Nina muomba kiongozi mwenye dhamana ya USALAMA ZANZIBAR awajibike ziende fenda za polisi kukamata wale vijana WOTE wenye tattoo na wanao vuta...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana, ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi ?

    Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana. Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ? Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa...
  15. JamiiForums Tanzania Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

    Miaka ya nyuma, skyline ya Dar es Salaam ilikuwa simple sana, majengo machache marefu, mengi yakiwa ya kati tu. Lakini leo hii, mji umebadilika kwa kasi kubwa ajabu. Maeneo kama Posta, Upanga, Masaki na Kariakoo yameanza kujazwa na majengo ya kisasa (high-rise buildings), mengi yakiwa na ofisi...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wamekuwa sehemu ya hamasa ya maisha kwangu

    Habar za mda huu ndugu Kuna kitu nimekuwa nikikigundua kuhusu maisha yangu kadiri ninavyozidi kukaa na kujitafakari mimi ni mtu ambaye mara nyingi napenda kuwa busy na kujishughulisha na mambo yangu mwenyewe. Maisha yangu mengi yanajengwa na nidhamu ya kazi, kujifunza, na wakati mwingine...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini Hitler aliwachukia sana Wayahudi na kuwauwa kiasi kile?

    Mzuka wana jamvi ...? Mpaka Leo najiuliza mwanadamu inakuwaje mpaka unapata ghazabu za kutaka kuua Jamii nzima na kuwafuta mbali kabisa bila kujali mtoto , Mzee , kijana , Mwanamke nk ? Inaelekea Hilter Kuna jambo Wayahudi walimfanyia mpaka kuwa na moyo huo je , ni jambo lipi ? Na hakuona...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

    Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana, ina tu cost Watumiaji wengi

    Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda. Tunaomba mamlaka husika kutatua kero hii, sisi Wakazi na Wafanyabiashara wa Kangaye tunapata mateso makali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kanusho la Dorothy Gwajima kuhusu kuzushiwa kusema Polepole alikuwa rafiki wa kweli linaongea mengi sana

    Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…