sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania US, Russia wanakoelekea pazuri sana

    Elite US unit ready to fight in Ukraine if conflict ‘escalates’ – CBS America’s 101st Airborne Division, deployed close to the Ukrainian border, would step in if NATO were attacked, its commanders said. US Army personnel from 101st Airborne Division attend a demonstration drill at Mihail...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake acheni uchafu kwenye vyumba vyenu mnatia aibu

    Kiukweli hawa jamaa wachafu Sana. Nimeona hili Jambo niliseme, yaani ukijichanganya kuingia katika gheto la mwanamke utajuta kuzaliwa Hivi nyie wanawake kwanini hamjipendi, mnashindwa kufua hata mashuka tu? Ahaa mnaboa sana, mna usafi wa nje tu lakini ndani aibu. Kama nasema uongo waulizeni...
  3. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa nauli hazijashushwa licha ya mafuta kushuka bei

    Inasikitisha watu wanapanda usafiri kwa nauli zilizopandishwa kipindi cha mafuta kupanda lakini licha ya kushuka bei wao wananchi hawahoji wanapanda huku wamekenua mimeno nje kama malofa.
  4. JamiiForums Tanzania Barabara ya Kimara mpaka Kibaha itazamwe upya, vifo vya watu kutokana na kugongwa na magari vimekuwa vingi sana

    Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia. Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
  5. JamiiForums Tanzania Aziz Ki angefanya vizuri ikwa angesajiiwa Simba SC, Yanga wanacheza mpira wa hovyo

    Huu ndiyo ukweli, mpira wa Asec Memosa ni mpira wa kasi, siyo wa taratibu. Na wachezaji wengi wa Afrika Magharibi wanacheza mpira wa kasi. Timu pekee kwa Tanzania kwa sasa inayocheza mpira wa kitaalamu na wenye ubunifu ni Simba SC. Hivyo usahili wa Ki hapo Yanga haujaleta matokeo kulingana na...
  6. JamiiForums Tanzania Sio lazima useme kwamba ulisota sana kwenye maisha ili kutu-motivate

    Kwenye ahadi za mwanaCCM kuna ila inayosema, fitina kwangu mwiko na nitakuwa mkweli daima. Nikiwa kama mwanaCCM mwenye kadi iliyolipiwa ada nakataa kabisa mambo ya kinafiki na kudanganyana. Miaka ya hivi karibuni kumejitokeza watu wengi sana wahamasishaji wa mafanikio (Motivational Speakers)...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana hii tabia ya watu wazima kubaka watoto

    Hakuna kitu kinafikirisha sana kwa sasa kama hili la watu wazima kabisa tena wenye familia zao lakini unaambia eti kabaka mtoto mdogo. Hivi hawa watu wanakuwa na matatizo gani hasa?. Kwanini watu wamekosa utu namna hii? Nini kinasababisha mambo kama Haya kutokea katika jamii zetu sasa hivi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyotumia CCM kujiimarisha ingetumika nusu yake tu kuimarisha uchumi wa nchi tungekuwa mbali sana kiuchumi kama taifa

    Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu. Hata hivyo makusudi makubwa ya chama chochote duniani ni kwa ajili ya kushinda uchaguzi ili kuunda serikali na kushika dola. Lengo...
  9. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni ya vichekesho sana!

    Eti Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kuzuia Chama xyz kisipewe usajili - hii ni Demokrasia au ujinga? Nchi ya Kidemokrasia mtu yoyote anaweza kuanzisha Chama chochote popote na muda wowote, angalia hata Kenya watu wanaanzisha Vyama kila uchwao sijawahi kusikia chama...
  10. JamiiForums Tanzania Humu ni kali sana

    Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta na kuanza kumsakama!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    Dah, hizi fununu za kishingo zinanikera sana, huyu na Zoran walikimbia majukumu wakijua makundi ni shughuli nzito. Kishingo kafika makundi kakimbia, Zoran angekuwepo hata makundi Simba isingefika. Hata kama uamuzi wa kuleta kocha ni wa wote kwenye bodi, ila CEO ndiye atabeba lawama au pongezi...
  12. JamiiForums Tanzania Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

    Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc. Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu tu. Anakwambia naomba picha zaidi wakati picha za kutosha umeshaweka kwenye tangazo. Mwingine...
  13. JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC mapema kuhusu kujidanganya kuwafunga Club Africaine katika CAFCC 'Knockout Stage' kwa Mkapa

    1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga. 2. Dhambi ile ile mliyoifanya kwa Al Hilal FC kwa kuwadharau na kujiona ni wakubwa kuwa mngewafunga...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Wenger Alikua na Jicho sana

    Hii ni Mwaka 2013 Mzee wenger alimuona Big Benz kipindi Hicho akataka kumsajili. Jana Big Benz katwaa Mpira wa Dhahabu...Huenda labda matajiri wa Arsenal wangekubali kile alichokua anakiona mzee wenger Jana Tungeshuhudia Mchezaji wa Arsenal Akitwaa Mpira wa Dhahabu😂😂
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Wasukuma wanalipenda sana hili jina?

    No research no right to speak. Nimefanya research yangu kwa muda mrefu nimegundua kwamba Wasukuma wanalipenda sana jina la Jose. Ukienda Mwanza na Shinyanga utakutana na akina mama jose na Jose wengi saana. Katika wasukuma 10 basi wakuma 3-4 wanaitwa Jose. Hapa mtaani niliko sio usukumani...
  16. JamiiForums Tanzania Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  17. JamiiForums Tanzania Mkuu wa CDC Afrika abaguliwa na wazungu pamoja na kujifanya anawapenda sana

    Ni Dk Ogwell. Huyo mwamba huwa anajifanya mpenda demokrasia na huwahusudu sana wazungu na kuwaponda Viongozi wa ki Afrika. Sasa juzi Wajerumani wamemuonyesha yeye siyo mwenzao pamoja na kuwa na Visa na matokeo yake ameishia kujibaraguza kuisifia Afrika kwa utu wake.
  18. JamiiForums Tanzania Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

    Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo hatuna mtu wa kuongea naye. Tunapohonga timu nyingine ziikamie Simba, tunawanoa Simba zaidi na...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu mzee anamaliza kwa vitimbi sana maisha yake akiwa ikulu!

    Pascal Mayalla ... hii uliwahi kukutana nayo kweli ?
  20. JamiiForums Tanzania Vipindi vya michezo vya redio "vitanoga" sana wiki hii nzima

    100% vitakuwa ni vya kupongeza mafanikio ya Simba SC na 100% vitakuwa ni vya kuelezea uozo na kufeli kwa Yanga SC huko CAFCL.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…