Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana.
Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela.
Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85...