sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya wapenzi wangu hapa JF, nawapenda sana

    Sina maneno mengi. Mapenz yangu kwenu ni ya kutoka moyoni mwangu. Mwaka huu 2023 na ukawe faraja kwenu. Pale kwenye tumaini na Mungu aweke tumaini pale penye Nia Mungu akaihuishe iwe na itendeke.
  2. JamiiForums Tanzania Elimu kwa dada zetu: Msibweteke na pesa za Waarabu wanaonunua ngono, wapo wenye 'fetish' ya kutesa, kuharibu maumbile na kudhalilisha

    Fetish ni kitendo ambacho kinamuongezea mtu raha kwenye sex, kwa hawa wengi kwa nchi walizotokea fetish zao huwa ni mtungo wa kumchangia binti moja huku wakimuingilia zamu zamu kinyume na maumbile (0717), na hiki ndicho wanacho fanya hata kwa dada zetu. Target zao huwa ni mabinti ambao nado...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

    Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭 Tazama hiyo ni nchi ya Qatar Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220. Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli...
  4. JamiiForums Tanzania Utabiri, 2023 utakuwa mwaka mgumu sana kwa CCM

    Ndio hivyo, 2023 Itakua ngumu sana kwa wanazi wa CCM! Kuna ambao watakubali kubadilika Ili waendelee kula, Kuna kundi litaibuka kimya kimya likijiandaa kuweka mizizi, Kuna Viongozi wa CCM watapandishwa Kwa Pilato. Utakua mwaka wenye machungu sana kwa CCM na mara nyingi watajitokeza hadharani...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

    Salam. Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema . Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin. Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

    Habari zenu ndugu zangu? binafsi namshukuru huyu MUNGU kwa uzima. Ni jana tu siku ya alhamisi nikiwa natokea Dar kwenda Moshi mjini nikipanda gari ya umma (nikumbushie kidogo sio kila siku binafsi tu). Mida ya saa 4 hivi asubuhi nilifika stendi ya mabasi MAGUFULI pale mbezi nikijua kabisa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

    Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori. The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha. Kanifanyia makubwa sana hapa mjini...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo kijana wa sasa unatakiwa kuwa makini nayo sana

    1. Epuka na ujitoe kabisa kutoka katika Kundi la watu wenye mitazamo hafifu juu ya maisha yao. 2. Acha kuwa king'ang'anizi kwa wale waliokutenga katika maisha yako. 3. Kuwa mtu wa haki na upendo hata kwa watu usiowajua. 4. Kuwa mtu wa heshima na upendo kwa kila mtu. 5. Kubali kuishi na watu...
  10. JamiiForums Tanzania Mbona mama huwa anachelewa Sana kutoa salami za rambirambi?

    Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
  11. JamiiForums Tanzania Nasikitika sana kukosa hata kandinga kakuzugia mjini

    Haya maisha yasikieni tu, mwezi wa 12 huu kila kitu kimebana. Yaani ukiweza kuvunja huu mnaso, wewe hata bikira hazikusumbui. Pesa haipo kabisa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa ngumu sana Kanda ya Ziwa, familia zinajikomboa kwa kununua debe la udaga, mahindi na dagaa

    Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana. Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000. Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
  13. JamiiForums Tanzania Jamani mjitahidi sana kutunza magari yenu

    Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno. Gari yenyewe ni Porsche Cayenne na ina Kilometre hazijafika hata laki, lakini tayari ilishaua control box (DME control unit) na...
  14. JamiiForums Tanzania Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

    Tusimung'unye mung'unye maneno. Kama ulikuwa makini kipindi unasoma, lazima uligundua kuwa kwenye kundi la wale wanafunzi smart darasani lazima mhaya alikuwepo. Ukiangalia % kubwa ya maprofesa bongo ni wahaya. Zile ndizi zina nini? Nadhani zile ndizi zinaongeza maji na IQ
  15. JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

    MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele. “Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nimempa mke wa mtu zawadi ya chupi ameonesha kuikubali na kuifurahia sana

    Juzi kati nilikua nasafiri kwenda upcountry huko, kuna mpangaji mwenzangu mumewe ni mtu ana wadhfa mkubwa tu serikalini, nilivyomuaga akaniambia nimletee zawadi, basi me nikajua ni utani tu, nikaenda safari nikarudi bila zawadi akanilaumu kwa nini sijamletea zawadi aliyoniagiza. So baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Binadamu wana majaribu sana Wema umeniponza

    Kwema wadau? Ipo hivi Rafiki yangu alinipigia simu Baba yake anaumwa nikaenda kumjulia hali Baba yake nilimkuta anahali nzuri anatembea ila dhaifu kutokana na ugonjwa basi nikampatie Baba yake Laki moja kwa ajili ya kumsapoti kipindi hichi anachoumwa. Baada ya kuondoka zimepita siku tatu...
  18. JamiiForums Tanzania Gharama za Bando la internet ziko juu na linaisha mapema sana

    Nimeshuhudia mwenyewe, nimeuliza na wenzangu. Kila mtu analalamika vilevile. Kwa vile mahitaji ya internet yamekuwa basic needs, yaani mtu Bora asile mchana ila bando awe nalo. Cha kushangaza Bei ziko juu sana na linaisha Mapema sana. Nape hili hawezi lielewa maana limekaa kisayansi na yeye...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Huyu mke mbona anaipenda sana kauli, 'mwanamke ni kiumbe dhaifu'?!!!

    Kila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii humtoka bila kukawia. Yaani mijadala mitano tuliyoifanya hivi karibuni, ameitoa hiyo kauli Mara nne...
  20. JamiiForums Tanzania WCB bado wana nguvu sana kwenye muziki wa Bongo Flava

    Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc. Watu wamekuwa hawajali kuhusu hzo rank , hata WCB wenyewe wamekuwa wako kimya kabisa, mara nyingi harmonize...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…