sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aisee wanawake ni wengi sana!

    Tuache kujidanganya hawa watoto wa 2000 wapo mtaani tani kwa tani. Aisee kwa huu muda unachagua mwenyewe unywe kinywaji gani; Balimi au Safari Lager au Castlel au K Vant. Kijana kataa ndoa maana wanwake wenye miaka 30 wanataka ligi na watoto wadogo wa miaka ya 2000s it pains na inafikirisha...
  2. JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ya Mtanzania ni ngumu sana. Rais asipochukua hatua sasa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi

    Ee Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake 🙏🙏🙏🙏. Awali ya yote Samia mama naomba elewa hali za Watanzania ni mbaya sana na inatisha kweli kweli 😭😭😭. Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ukipewa maisha duniani tambua ya kuwa Mungu amekuamini

    Maisha unayoishi hauishi Kwa bahati nasibu, Mungu amekupa nafasi adhimu, wengine ni wagonjwa,wengine wamejufa lakini wewe upo hai ,una afya njema, huna cancer, huna tatizo la Figo lakini masikini ya Mungu wewe ndiyo unafanya dhambi ya hovyo hovyo, unalawiti au kulawitiwa. Fahamu ya kuwa Kuna...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao utakuwa mwepesi sana kwa CCM tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini

    Ndugu zangu watanzania, Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Makakala hongera sana kwa mabadiliko makubwa katika utoaji VISA na Pasipoti Ubalozini; wajengeeni uwezo watoa huduma wenu

    Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha maombi upo fresh na unaendana na mahitaji ya Dunia Kwa sasa. Lakini wakati mnatengeneza mfumo mzuri...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Ukweli huu shetani ni tapeli na uwezo wake ni mdogo sana

    Hapo vip!! Nimekuwa najiuliza swali dhidi ya uwezo na mapenzi ya shetani kwa wafuasi wake najikuta naona shetani ni tapeli na muongo. Najiuliza kama kweli shetani anauwezo wa kushindana na Mungu. Mbona Mungu baba Jehova(bwana wa Majeshi au bwana wa mabwana)alivyoamua kuwapiga kiberiti wale...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa kweli nawaahidi Kuwa Mtafurahi sana nyie warembo. Wanaume ndo Mkae kwa Utulivu sasa maana nitawashukia vibaya.

    Natamani nikiwa mkubwa niwe moderator wa JF. nitafurahi. Nitawachakata sana wadada wa humu. Sana. Ukinikataa basi nakutafutia ban anytime. Nikiona tu umeangalia vibaya thread ya mtu nakupiga ban mwezi au miezi kadhaa. Jichanganye umsonye mtu humu. Nakupiga ban ya mwaka. Nitakuwa tu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kushusha heshima ya Daktari hamtaweza

    Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV, maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta. Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakishajifungua shukrani hamna. Mambo...
  9. JamiiForums Tanzania Mo ni kilaza wa mpira, amefanya maamuzi ya kijinga sana kumleta mzungu

    Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W). Unajua yule Mo amefanya lobbying kubwa sana kumuondoa Mgunda na kumleta hiyo mzee Brazil. Mwaka jana mwezi wa 12, Mo alipost hii tweet kule Twitter Baada ya kuona hii tweet na kuangalia Simba ilivokuwa ina...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Raja Casablanca itatembeza sana vichapo kwenye hili kundi la wakina Sawadogo kama timu zenyewe ndio hizi

    Awa Horoya kwakweli ni famba sana aina yao ya uchezaji sijaielewa kabisa, Ni timu ambayo kiwango chake kiko chini sana labda kama wanayo aina nyingine ya uchezaji ambayo awakuitumia leo, lakini kama ndio uchezaji wao uko hivi basi watakuja kukutana na 5 nyingine kutoka kwa Raja casablanca...
  11. JamiiForums Tanzania Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

    Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!. Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume Bora". Nawahakikishieni, hayo ni Maneno yao tuu lkn Moyoni ndivo wanataka waendeshwe. 👉Ni kosa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Kama taifa tumepitia katika nyakati za ovyo Sana

  13. JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

    Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara. Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda...
  14. JamiiForums Tanzania Maisha magumu sana jamani

    Jamani huko mliko nyie wenzangu vipi? Huku naona kama kipa katoka, ngoma ngumu sana! Ile milo mitatu kwa siku imekua kwa mbinde sana, hebu fikiria yale mahitaji muhimu ya mwanadamu bado kwetu ni tatizo. Hatuli vizuri, hatuvai vizuri, na mbaya zaidi hatulali pazuri. Kuna kundi kubwa la watu...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Feisal Salum angekuwa sio mtanzania, TFF isingeweka kiza kwenye suala lake. Akijichukulia ni Mzanzibari atapatiwa haki haraka

    Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba" Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu. Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Mnaofananisha Simba na Yanga ligi za ndani na kimataifa mnakosea Sana. Hata viongozi wa hizi timu wanalijua Hilo.

    Ukilewa utaona tu kibwana shomari Ni sawa Mohamed Huseni. Au kishabiki Dickson job Ni sawa na Onyango au Yanick Bangala anacheza Kama Inonga. Au Aucho Ni Puten kabisa. Lkn tukumbushane tu. Malengo ya viongozi Yanga msimu huu yameshatimia. Kucheza makundi. Na viongozi hawazungumzii kabisa kwenda...
  17. JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka ana akili kubwa sana na ana mjua Mungu

    Hello JF Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa. Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana. Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an...
  18. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu kali sana 128GB / 6GB RAM kwa 275,000 TU OFA!

    Hii ofa sio ya kukupita karibu ujipatie Sharp Aquos Zero (Japan Brand) ni mtumba kutoka USA kwa ofa ya 275,000 Tu, hii unapta simu pamoja na USB- Type C charger. 0764081567 Free delivery in Dar es salaam
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
  20. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kuweza kusaidia, asaidie hii jamii, kobe ni wasumbufu sana

    Nimesoma mahali kuna mchina kakamatwa kwa kukutwa na kobe watano anaowatumia kama kitoweo. Wilayani butiama mkoa wa mara kuna mtu alishtakiwa kwa kukutwa na kobe. Ukweli ni kwamba wilayani humo viumbe hao wako wengi sana na wanaharibu mazao hasa majani ya maharage na kunde. Kama kuna mwekezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…