sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Dar es Salaam leo mmetisha sana

    Habarini. Leo 8 March Siku ya Wanawake Duniani jamani wanawake wa Dar es Salaam mmetisha sana. Nyie Watu wapendeza jamani, kila aina ya kitenge kilikuwa hapa leo, Wakinga wa Kariakoo hakika watakuwa wamefurahi sana. Wanawake wamevaa wenyewe vitenge vyao vya sare kwa makundi makundi hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenge Kijijini panapendelewa sana na serikali?

    Mtaa wa Mwenge umegawanyika katika mitaa miwili ndani ya kata ya Kijitonyama, wilaya ya Kinondoni . Mkoa wa Dar es Salaam. Kwenye kata ya Kijitonyama kuna mitaa miwili ya Mwenge. Mwenge Kijijini na Mwenge Nzasa. Lakini Mwenge Kijijini tangu mwaka 1974 kuna lami barabara zote, Mwenge Nzasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lawlence Mulindwa ili timu yako ifanye vizuri kimataifa sajili washambuliaji wanakuangusha sana

    Sishangai kabisa vipers kucheza mechi 4 bila kufunga goli lolote kwakweli ni shida kubwa sana liko kwenye eneo la mwisho la vipers, kuanzia beki, na viungo wako vizuri sana lakini ushambuliaji ni majanga, Mechi ya leo ilikuwa ni mechi ya vipers kutoka na point kwa namna walivyocheza. Simba...
  4. D

    JamiiForums Tanzania CCM msijifanye nunda kupuuza Jamii Forum, Chadema wanabamba sana.

    ZAMA zimebadilika sana. Siasa za majukwaani zipo lakini ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii nayo ina nafasi kubwa sana Kwa sasa. Na si kila mtandao unafaa kufikisha ujumbe. Jamii Forum ni jukwaa muhimu mno kufanya siasa kutoa hoja na kujibu hoja maana JF kuna wajinga wachache tofauti na...
  5. JamiiForums Tanzania Ezekia Dibogo Wenje anajua sana, ni mwanasiasa Smart

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingi, Hivi umejaribu kutumia hata dakika tano kumsikiliza huyu jamaa anaitwa Ezekia Wenje Mbunge Mstaafu wa CHADEMA wa jimbo moja huko Mwanza, jamaaa anajua na anajua tena. Jamaa akiwa anaongea unaona hadhira wanatulia kama wamemwagiwa maji, anajua jinsi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Unaweza kutoboa kwenye maisha bila kuroga au kusali sana?

    Dunia hii imejaa mambo mengi sana, ukiachana na watumishi ambao wanalipwa mshahara kwa mfanyabiashara yoyote unaweza kutoboa na biashara ikawa kubwa bila kuroga? Au kusali sana? Vijana wengi naona hatutoboi maana haturogi Wala hatusali spiritual tuko naked sana, nimeenda kukodi shamba huku...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kitakachofuata kwa Mdee na wenzake baada ya Rais Samia kuhudhuria mwaliko wa kongamano la BAWACHA, kitawaumiza sana CHADEMA

    Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA. Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

    Wakuu hili tatizo linatokana Na nini? Msaada please
  9. JamiiForums Tanzania Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana

    Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

    Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Mamlaka za nchi na Watanzania wote, hali ya kufunga barabara inaudhi sana

    Kuna kitu hakipo sawa Tanzania na inasababisha sisi Wananchi tuichukie nchi yetu alafu viongozi wanatusisitiza eti tuwe wazalendo. Ni zaidi ya dakika 50 sasa barabara ya moshi Arusha imefungwa magari yapo foleni isiyo na mwisho eti kisa rais anahutubia USA njiani, hivi kama unataka kuongea na...
  12. JamiiForums Tanzania Inawezekana 4G inamaliza bundle haraka sana kuliko 3G?

    Naomba kufahamu kama opt. ya 4G inapeleka bundle kwa kasi kuliko 3G.. Maana bundle halikai kabisa. Ahsante.
  13. JamiiForums Tanzania Ibada ni muhimu sana

    Karibu sana kwenye sala ya kushukhuru maana ni kwa neema. Type Amen kama umeamka salama Mshukhuru Mungu wako. Maana kuna watu washapotea kwenye USO wa Dunia ila wewe umebaki so ni jambo la kushukhuru.
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake huwa wanatupenda sana wanaume ambao tuko real

    Kwa mfano mwanaume wewe unajijua kuwa ni mlevi, wewe ukikutana na mwanamke day one just show her your reality kuwa ni mlevi haswa kama ni wa kukupenda atakupenda ulivyo tu, acha kuzuga. Ukimdanganya na siku akigundua wewe ni mlevi asee atakumaind sio poa. Huu ni uchunguzi binafsi nilioufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha ESAMI kina ada kubwa sana?

    Wakuu naomba kufahamu sababu zinazofanya chuo tajwa kuwa na ada Kubwa namna hiyo? Ada pekee kwa Masters program inatozwa 16 milioni.
  16. JamiiForums Tanzania Mama Samia Leo nimekuelewa sana

    Binafsi naweza kusema hii ni moja ya hotuba nzuri sana kutoka kwa Madam President.👏👏👏 1. Suala la Viongozi kujiamini na kufanya maamuzi ambayo wataweza kuyatetea, maana yake wakizingatia hili watafanya informed decision, zenye kuzingatia maslahi ya wengi, kuengage kabla ya kuamua na kutumia...
  17. JamiiForums Tanzania Stamina anaimba hisia za kujeruhiwa kwa mapenzi kwa hisia kali sana

    Inawezekana huyu msanii ana bahati mbaya sana katika upande huu wa mahusiano. Ni kweli au kazi tu!? Tizama wimbo huu mkali kabisa.. Bushoke nae karejea vizuri kabisa.
  18. JamiiForums Tanzania Halotel wanatuibia sana

    HABARI wana jf kupitia umoja wa frilenca dar zone ya kinondoni nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria kuhusu kampuni ya halotel viettel plc hii kampuni tunaifanyia kazi ya kusajili line zasimu na ilikuwa tunapata mshahara kupitia camishion tena kwa % ukisajili mteja unapata %60 yamatumizi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

    Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata stimu kabisa maana likes zenyewe siyo sincere. Basi kwa shingo upande ikanilazimu kuwaignore...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini sana katika kuchagua vyuo hasa vya NACTE kuwapeleka watoto wenu

    Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. . Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…