sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu itakuadhibu vibaya sana

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu. Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu! Wewe watazame matajiri, wanaiheshimu pesa na huwezi kuwakuta wanaiita hela.
  2. JamiiForums Tanzania Ngoma ya kinyama sana mtaani zipo chache mno! Showroom za bongo huikuti

    Hii hapa
  3. J

    JamiiForums Tanzania AIRTEL Mnatukosea sana Mbeya, poor Quality of service by TCRA Q3 Report

    Airtel mna call drops kubwa sana , ndio maana hata ukipiga simu Mbeya kwa watumiaji wa Airtel hatusikiani . Hii Report ipo kwenye site za TCRA na iko wazi msiseme tunawasagia kunguni. Mmezidiwa hadi na TTCL kweli...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi zilizoelimika sana Afrika; Tanzania tuko wapi?

    Nimeangalia video hii kuhusu nchi zilzoelimika sana Afrika na kugundua kwa nini Tanzania inapata mikataba mobovu miaka nenda rudi na kuishia kukamatwa ndege zake kama swala wanavyokamatwa na chui. Hata kama video imeskewa data, ukweli ni kuwa elimu ya Tanzania sasa hivi ni dhaifu sana. Wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Putin alia sana kwa daraja kupigwa, asema ni ukatili huo

    Huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe, kwamba yeye apige lakini asipigwe, akiguswa anasema wanamfanyia ukatili.... July 17 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Monday his defence ministry was preparing proposals for a response to an overnight attack that damaged the road...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga SC mkithubutu tu Kumuacha huyu Mchezaji wenu 'Mchochea Migomo' Klabuni, Simba SC wanamsaini haraka sana

    Na ndiyo Mchezaji ambaye Kisiri kabisa anawindwa na Simba SC Kusajiliwa baada ya Taarifa za ndani ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa kutokana na kuwa ni Kinara wa Kuongoza Migomo (na Nduguye anayeondoka) kwa Wachezaji Wenzake Posho na Mishahara ikichelewa na kwamba Yanga SC hawamtaki tena...
  7. JamiiForums Tanzania Ikiwa umekasirishwa sana huwa unafanya nini kupunguza hasira yako?

    Wakuu kwema, Kama mada inavyojieleza, huwa unafanya nini kupunguza hasira yako ikitokea umekasirishwa sana ili usilete madhara kwako na kwa uliyemkasirikia? Maana waliosema hasira hasara hawakukosea, mtu akiwa hasira anaweza kufanya chochote na kujuta baadae kwa kitendo alichofanya. Mimi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini BRICS inavutia sana nchi za Afrika?

    Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika Johannesburg, Afrika Kusini kuanzia tarehe 22 hadi 24 mwezi ujao. Ukiwa chini ya kaulimbiu ya "BRICS na Afrika: Ushirikiano wa Wenzi wa Ukuaji wa Kasi ya Pamoja, Maendeleo Endelevu na Utaratibu Shirikishi wa Pande Nyingi", mkutano huo utaangalia...
  9. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

    Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyabishara Paulo Mashauri, anajua sana aisee

    Habari zenu.Naanza mwaka 2018 ndiyo ulikuwa ni mwaka wangu wa kwanza kumjua mfanyabiashara au mjasiriamali ambaye anaitwa Paulo Mashauri. Ilikuwa katika kituo cha redio cha Times FM kipindi kilikuwa kinaitwa "Mambo ya fedha" ambacho kilikuwa kinarushwa kila jumapili kuanzia saa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

    USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu 1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3. 2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika. 3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
  12. JamiiForums Tanzania Loren Japhet anahujumiwa sana, hii ni mara ya tatu sasa

    Hapa bongo ninadiriki kusema hakuna bondia wa kizazi hiki anayehujumiwa wazi wazi kama Loren Japhet. Kwa haraka haraka ninaweza nikakutajia fights tatu alizohujumiwa wazi wazi mpaka mashabiki tukabaki mdomo wazi. Fight ya kwanza aliyohujumiwa bila aibu ni ile fight dhidi ya Muhsin Alkasus...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza hawa watu kila mtu ana hoja ya msingi sana, shida huwa hatukubali kukubaliana katika kutofautiana

    Binadamu anapozaliwa huwa kakusudiwa aishi miaka mingi hata buku lakini harakati zake za maisha ndiyo huanza kuipunguza hiyo miaka taratibu au kwa mpigo! Anyway! Tuachane na hilo turudi kwenye hoja ya hawa watu! 1. Wanandoa: Ukiwasikiliza wanandoa kwa makini vile wanazungumza umhimu wa ndoa...
  14. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Serikali ya Sweden kumpa kibali muislamu kuchoma Biblia na Torah nje ya Ubalozi wa Israel ni kitendo cha kijasiri sana

    Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana. Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana...
  15. JamiiForums Tanzania "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

    Wanabodi, Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa takriban zaidi ya miaka 30, hivyo jicho langu limeona mengi, linaona mengi, na litaendelea kuona mengi...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wetu wa IT huko vyuoni wanafanya nini? Mbona kimya sana?

    Kibongo bongo kozi za kompyuta tushazoea kuziita kozi za IT ikiwemo computer science, computer engineering, IT, n.k. Maisha ya sasa teknolojia ipo mbali sana na tunatembea, smartphones, internet, apps, n.k. zimekuwa sehemu ya maisha yetu. Hapa bongo pametulia mno utadhani hatuna wanafunzi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana kujifunza kuhusu siasa ni muhimu sana

    Wazo hili nimelipata baada ya kupata maoni tofauti tofauti kutoka kwa baadhi ya vijana wa kitanzania tena wasomi kuhusu mchango wao katika siasa na hali halisi iliyoko kwa sasa. Inasikitisha kuona kwamba hata wenye elimu na mwanga hawana muda wala uelewa wowote, wenye chachu na hamasa ya...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Watu wabaya ni wengi kuliko watu wema?

    Mnamo 2005 Kevin Berthia alienda kwenye daraja la Golden Gate kukatisha maisha yake. Aliishia kuzungumzia maisha yake na afisa Kevin Briggs kwa dakika 92 akiwa pembezoni mwa daraja. Baada ya Miako 10 Berthia na Briggs wanakutana kwenye daraja hilo wakiwa na hali ya tofauti na mara ya kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Nitawashangaa sana Yanga kama watamlipa Mayele milioni 50

    Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club bingwa Afrika? Yanga acheni utoto, chukueni hiyo bilioni moja na nusu ya hao mafala waachieni mtu wao...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba tulieni, mnakurupuka sana

    Habari wakuu! Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro! Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya kuona Yanga wamezindua Jezi zao Ikulu. Hakuna haja ya kufanya kitu kama hicho kuonyesha mnazindua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…