sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine ni bora hata kutojua maamuzi ya ovyo yanayofanywa na watanzania wenzetu wenye dhamana ya kutuongoza. Inauma sana

    Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya ufisadi mkubwa uliowahi kufanywa na unaofanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wenye dhamana ya...
  2. JamiiForums Tanzania Naihurumia sana Simba kwa msimu mbaya itakaoupata

    wakuu Hii team naionea huruma sana kwa yanayoenda kuipata msimu huu. Usajiri wao ni mbovu asilimia mia walipopatia angalau ni kwa yule winga kramo . Kituko zaidi ni huyu kipa muuza matango kule kwao Brazil, hivi mpo serious kweli viongozi kutuletea huyu mtu? Mbona musonda atakuwa anaondoka...
  3. JamiiForums Tanzania DP World na kelele zinazoendelea, napata tabu sana kuamini iwapo Rais yupo ama laa! Na kama yupo mbona hatoi mwelekeo? Ona na huu udini!!

    Sauti ya Rais ni faraja, Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari! Kila upande...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Crispin Ngushi ni hatari Sana

    Huyu dogo anajua sana. I didn't know his game. he needs to improve his craft kidogo kwenye finishing . I believe a few caf games. yanga ikiweza kuingia makundi. His life football story might change forever. ANA KITU ATAFIKA MBALI. he deserves more support nategemea kumuona kikosi cha taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Migogoro ya Ndoa/Wapenzi kuongezeka sana siku za hivi karibuni?

    Takwimu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu zinaonyesha migogoro 28,773 ya wanandoa imepokewa kati ya Julai, 2022 na Aprili mwaka huu. Kati ya migogoro hiyo, 22,844 ilisuluhishwa, huku 5,929 ikikosa usuluhishi licha ya kukatiwa rufaa ngazi ya Mahakama. Kutokana...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini asilimia kubwa sana ya Waalimu hawamkubali Hayati Magufuli?

    Habari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa. Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM Wanasheria na wanasiasa wanafuata Cha kushangaza wafanyabishara ambao ndio walibanwa sana ni wachache sana kuona...
  7. JamiiForums Tanzania Mapokeo ya jezi mpya ya Simba tayari ni makubwa sana kuzidi yale ya jezi ya Yanga

    Mpaka sasa ndani ya masaa 3 tu toka picha ya kwanza kupostiwa Instagram ya jezi za Simba, imepata likes 111,077 na comments 10,401. Video ya jezi ya Yanga wakiwa Ikulu ya Malawi iliyopostiwa toka July 5, zaidi ya wiki mbili zilizopita mpaka dakika hii imepata likes 60,085 na comments 1,918 tu...
  8. JamiiForums Tanzania Hii inakuwa imekaaje?

    Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata! Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Simba mnaona kinachoendelea Yanga? Sasa mumuogope sana Aziz Ki, zile combination zake za ASEC zipo Avic town

    Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga? Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga. Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka. Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini? Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso...
  10. JamiiForums Tanzania Subaru Forester (2008-2023) unyama sana

    Hizi ndinga zimekaa vizuri kuanzia umbo la nje, speed 240kph (max), AWD, ground clearance nzuri. Vijana hizi ndo gari za kuendesha Kwa sasa si MURANO
  11. JamiiForums Tanzania Siku hizi watu wanavurugwa sana mtu hata hakujui anakufokea njiani

    Leo mida ya mchana nimetoka naelekea kwenye safari zangu nikakutana na mama flani ivi mfupi mwenye sura ya ugomvi sehemu kama ya kilima ivi kuna ka mteremko alivyoniona kutoka mbali kaanza kubwata kwa sauti kubwa wewe unaenda wapi nakuuliza unaenda wapi😂😂 si nakuuliza yaani nikikufikia...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye abadilishwe Wizara haraka sana

    Waziri Nape Nnauye anaongoza kampeni za kuua Mamlaka ya serikali Mtandaoni (E-GA). Syndicate inayoongozwa na Nape Nnauye imepanga kuitoa taasisi hii (E-GA) , toka utumishi iliyo chini ya ofisi ya Rais , na kuipeleka Wizara ya TEHAMA. Lengo lililonyuma ya uamuzi huu ni katili sana, Nape...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nyanya Zinapatikana Kwa Wingi Sana Sokoni Ilala

    Kwa mara ya kwanza Soko la Ilala lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limevunja rekodi kwa magari kushusha matenga 4,000 ya nyanya kwa mara moja hali inayoonesha biashara ni nzuri. Kwa kawaida magari yanayoingia kwenye soko hilo hushusha matenga 1,000 hadi 2,000 kwa siku. Akizungumza...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ana uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo, anaongoza kwa ubishi

    Hopefully wote mtakuwa salama. Nisiwachoshe na mimi msinichoshe. Leo asubuhi bwana nilikuwa bored sana na idle as of tangu nime retire, i just decided kupumzika nyumbani na familia. Basi bwana nikajikuta nipo YouTube naangalia video mbalimbali, kuangalia hivi kidogo nakuta clouds wako live na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yampa ajira Mwanamke anayekumbatia Watoto njiti hospitali ya Amana

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa ajira ya mkataba kwa Mariam Mwakabungu, mwanamke anayejitolea kukumbatia watoto niti waliotelekezwa katika Hosptali ya rufaa ya mkoa Amana jijini Dares Salaam. Ajira hiyo imekuja siku moja tangu Rais Samia Suluhu Hassan kutuma salamu za pongezi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kusoma imekuwa nongwa sana sijui tufanyeje

    Elimu Tanzania imegeuka kichekesho maana hakuna anae jali sana kuhusu umuhimu wa elimu. Watu hawataki tena kujifunza na kutatua changomoto za jamii ila wanatafuta vitu ili kujitoa kwenye midomo ya wacheshi. Ajabu hii wasomi wanadharauliana wao kwa wao kila mmoja anamuona mwenzie kilaza...
  17. JamiiForums Tanzania Naona BASATA wanajisahau sana, mziki wa Amapiano unaharibu vijana

    Kiukweli kwenye huu mziki kuna wasanii wanaleta usodoma na gomola kwenye taifa letu. Wanaimba maneno yasioeleweka kwenye kamusi yoyote, alafu vijana wetu wanakalili hayo. Unakuta mtu hadi anakwenda kulala, kabla ya kusinzia ana refresh na ushetani kwanza.. wa Chino wana man. hivi unaelewa...
  18. JamiiForums Tanzania Nape hastahili kusimama kukemea tabia za kutukana watu

    Nimewaza sana maneno ya Nape leo ya kumshambulia Lissu kuwa amemtukana Rais Samia. Yes , ni kweli ametumia maneno mabaya sana kwa Rais , lakini of all people Nape huwezi kusimama kukemea tabia za kutukana watu. Wewe ulimtukana Edward Lowassa kuwa ni Oil Chafu, mara mgonjwa, wewe huyu huyu...
  19. JamiiForums Tanzania Watu wa aina hii mnakera sana

    Hey Hakuna watu wanakera kama hawa mtu anapoomba hela anasumbua sana simu azikauki lakini akishapa iyo hela umemtumia hajibu sms kama amepata yaani ulie tuma umpigie umuulize umepata kumpigia simu ni kama unaomba asante ase mimi nakwazika sana
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu itakuadhibu vibaya sana

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu. Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu! Wewe watazame matajiri, wanaiheshimu pesa na huwezi kuwakuta wanaiita hela.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…