sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Kuna watafuta majina na wale wanaomanisha, ngoma ya bandari bado mbichi sana

    Ndugu zangu Bwana wa Mbiguni akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua. Nijikite kwenye mada moja kwa moja na kama kichwa cha habari kinavyohusika. Nakumbuka kipindindi cha Mwendazake alijitokeza mwanaharakati mmoja alieitwa Kigogo, huyu bwana aliteka sana mtandao wa Tweeter, ila siku...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Biashara kufanyika karibu kabisa na Barabara, Mbezi Mwisho karibu na Kituo cha Daladala ni hatari kwa usalama

    Hapa Mbezi Luis Stendi barabara ya kwenda Kinyerezi ilivyojaa msongamano wa machinga na bidhaa zao ambazo ziko kando ya barabara na kusababisha barabara kuzidi kuwa finyu licha ya wembamba wake tangu kutengenezwa, siku dereva yoyote akishindwa kulimudu gari likaenda pembeni litaua watu wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Husda za kazini mbaya sana

    He'll Kazini husada nyingi watu mtatua bure kisa wivu ni Mungu tu ndio anatupigania wengine hatujui kuroga kama ninyi ila Mungu tu ndio katuonea huruma Kwanini nimesema hivi nnapo fanya kazi kuna vitengo vingi lakini kwenye iki kitengo mara nyingi ikitokea safari ya mkoan yaani kutoka nje ya...
  4. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo zuri sana airport Karakata lipo barabarani linauzwa bei chee changamkia nicheki nikupeleke

    Eneo Lina nyumba mbili ya mbele ina fremu 5 na vyumba 6 vya wapangaji. Na nyumba ya nyuma ni yakuishi ina vyumba 2 sebure, dinning na valanda. N.B Unaweza ivunja na kujenga shell, hotel, dispensary n.k, au vyovyote utakavyo Eneo ni kubwa Zaidi ya sq meters 430+. Mahali: Airport Dar es salaam...
  5. JamiiForums Tanzania Boda boda wanajua kuaibisha sana

    Hivi kwanini boda boda akimchukua mtu kumpeleka mahali lazima amshushe mlangoni kabisa kila mtu ajue mhusika kaenda nayo halafu sauti inakua kuubwa mziki kila mtu anasikia. Mtu anaenda kempiski unamshushia pale reception nomaa sana. Mjiongeze jamani.
  6. JamiiForums Tanzania Kwenu TanRoads Mkoa wa Singida : Nitawashangaa sana Kama Mtashindwa Kujenga kwa kiwango cha Lami barabara ya Manyoni - Itigi - Rungwa

    Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi. Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi. Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu. Nitawashangaa Tanroads mkoss as...
  7. JamiiForums Tanzania Star TV mnakwama wapi? Habari zenu zinaboa sana na hazina mvuto (sio habari za kichunguzi)

    Naleta masikitiko yangu kama mtanzania juu ya kituo Cha habari Cha Star Tv vhenye makao yake Mwanza Tanzania. Hawajui kusoma alama za nyakati. Uandaaji wa habari zao ni wa kiwango Cha chini sana ukilinganisha na vituo vingine vya television nchini. Ukiangalia habari ya Azam ni habari nzuri...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, kuna mgao wa umeme? Mbona kama umeanza mapema sana mwaka huu?

    Mwezi wa saba ni mapema sana kuanza kugawa umeme. Mwezi wa kumi sijui itakuwaje.
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi Trafiki wa Arusha mnakera sana kuwasimamisha watembeza watalii bila sababu, mkikosa kosa mnaomba rushwa

    Habari. Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha. Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni na kukagua gari wanachukua hadi dakika 10 wamekusimamisha bila kujali umetoka wapi na unaratiba gani...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mabinti wanachuo walozaliwa 1996-2003 wanafanya sana ngono for leisure?

    Wasalaam JF, Tafadhari wadau swali hilo hapo juu. kwanini hawa mabinti hawana noma kunyanduana, na haoni shida kukuchunia kama akiomba lake usimpomjibu na haijalishi una shoo shoo kali wala nini ukizingua anakupotezea. Hawana noma kukupa shoo za minyanduano bila michongo ya uchumba wala ndoa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanayanga SC Wenzangu hili halikubaliki, upesi sana tuwagomee CAF au tujitoe tu CAFCL kabisa

    Haiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za awali kabisa (za Wachovu na Wasiojua) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili. GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka (Members wana Yanga SC wote...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru sana

    Nawashukuru sana Wana jf kwa ushauri Mlio nipatia. Asubuhi nilipost chapisho hapa kwa upendo wenu mkuu mmenipa ushauri mimi kijana mdogo na maskini. Japo Kuna baadhi walini kejeli lakn hiyo ni nature ya mwanadamu. Mungu awabariki sana wakuu zangu.
  13. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Hallo Wakuu, Baridaaa! Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake? Binafsi; 1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani. 2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
  14. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  15. JamiiForums Tanzania Maisha yanahitaji uwe karibu na watu na kujuana. Tabia za kuogopa kuchangamana na kujitenga tenga zinachangia sana umasikini

    Na si mara ya kwanza unaskia mtu anasema mimi sitaki mazoea na watu. Mimi sitaki marafiki. Mtoto wangu ni geti kali, sitaki hata marafiki zake waje. Niseme tu ya kwamba tabia hizi huwa zinachangia sana umasikini, Ni nani asiejua kwamba binadamu hawaaminiki ? lakini jibu ni kuwakwepa ? NO...
  16. JamiiForums Tanzania Maharagwe mazuri Sana "Karianzee"

    Habari za uzima Ndugu zangu , Nina Maharagwe mazuri Sana yanayolimwa Sana Kilimanjaro , yanaitwa "Karianzee" ni Quality Sana kuyashinda hata Maharagwe ya Njano ila kutokana na kutojulikana watu wengi wamekuwa hawayanunui. Sina Imani kuwa ni wote hawayajui ila Kuna watu watakuwa wanayajua na...
  17. JamiiForums Tanzania Mamlaka haziwaoni mateja kituo cha daladala Kawe? ni aibu kubwa sana

    Inatisha sana ukipita asubuhi eneo la Kawe Stand na kukuta makundi ya vijana wakivuta bangi na kujidunga sindano za dawa za kulevya huku wakisindikiza na pombe na energy. Inashangaza sana kwasababu kituo cha Polisi Kawe hakipo mbali na eneo lile, ni kama mita 250 hivi lakini vijana wale...
  18. JamiiForums Tanzania Penzi la Wema na Whozu nalitilia mashaka sana

    Jamani niseme ukweli kila nikichunguza penzi la Wema na Whozu naonaga kama limekaa upande mmoja hivi. Wema anampenda sana Whozu ila kwa Whozu naonaga kama anamtumia tu Wema kufanikisha mambo yake . Halafu za chini chini inasemekana Wema anatoa pakubwa sana kuliko Whozu . Wema siku zote...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa enjoy ungekuwa ni collabo kati ya Jux na msanii wa kawaida ingetisha sana

    Kuna muda unafika kwa Msanii mkubwa kutokuwa na jipya katika jamii hata utoe ngoma kali kiasi gani. Ndivyo ilivyo sasa kwa Diamond, hana jipya la kuwavutia mashabiki na wapenzi wa music, labda aimbe nyimbo zake za zamani. Watu wanataka ladha mpya kuanzia personality, sauti nk. Ni kama...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanawapenda sana Wanaume 'Masela' kuliko wale 'Wakishua' Kingono?

    Nasikia Masela Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ile ya Bundesliga ( Ka:zi Kazi tupu ) na Wanaume wale Wakishua ( Mabrazameni ) Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ya Primera la Ligi ( ya Kitaratibu na Kiuhuruma ) mno. Haya Wabanduaji na Wabanduliwaji kuna Ukweli hapa? GENTAMYCINE sichezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…