sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

    Habarini nyote, Nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine. Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo. Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo? Ni hayo tu 🙏🙏🙏
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kinyamwezi akikupenda ni mtamu sana kwenye mahaba nihabue

    Habari zenu, Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana. Woyo woyo woyo chezea mnyamwezi ni noma. Ni hayo tu wanyamwezi 🙏🙏🙏💯💯💯👍👍👍
  3. JamiiForums Tanzania India imekaribia kufika mwezini

    Chandrayaan-3's inatarajiwa kutua kabisa mwezini hapo Agosti 23, hilo likifanikia nchi hiyo itakuwa ni ya mwanzo kutua maeneo ya ncha ya kusini ya mwezi. === India's space agency has released the first images of the Moon taken by the Chandrayaan-3 spacecraft, which entered lunar orbit on...
  4. JamiiForums Tanzania Vita zina mambo mengi sana. Niger wamefunga anga lao. Mali nao wakifunga wanigeria watapata tabu sana kusafiri

    Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger. Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege...
  5. JamiiForums Tanzania Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

    Hi 👋 Soda ya Coca-Cola kwakweli ni mbaya sana sijui kwangu yaani soda ukitoa kwenye friji bas soda hainaa radha ila Pepsi iko vizuri sana Coca-Cola jitafakarini
  6. JamiiForums Tanzania Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

    MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023. Wakulima hao wamesema...
  7. JamiiForums Tanzania Shughuli ikiandaliwa na wanawake inafana Sana.

    Hakika shughuli yao imejaa Sana kutokana na wingi wao hata takwimu za sensa zinathibitisha hilo kuwa wapo wengi kutuzidi. Pia bei ya vijora ni nafuu kuliko bei ya suti😅 Alisikika mwana Yanga mmoja kwenye kibanda umiza.. NB: sote ni wanawake Mungu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Gharama ya mafuta ni kubwa sana

    Mimi per day na tumia kama 8- 10 litres nakaa mbali kidogo. Kwa siku 8-10 x3199 =26k - 32k. Kwa mwezi ni 770k - 960k. Kwa mwaka ni 9.4 milloni-11.6 million. In short kwa mwaka naweza nunua gari lingine, hapo bado services, fine, insurance, accidents, emergency and etc. Na default this week...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

    Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa wana simba. Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja. Kuanzia Saa 2...
  10. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ujinga kimeongezeka sana Afrika, chanzo ni mitandao ya kijamii

    Ujio wa social media vijana wa Africa wanautumia in negative way tofaut na vijana wa mataifa mengine ili kupiga hatua za kimaendeleo. Yanayoendelea kwenye media hayana uhai kwa kesho ya Africa. Watu mengi ni uharibifu na uchafu tu wa akili kujaza saver ya akili uchafu tu ambao haujengi fikra...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao. Ipo hivi; Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake. Akakataa akasema anataka aanze na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania World Muslim Link yatoa msaada wa kilo 3 za Maharage kwa yatima kutoka Serikali ya Saudia, Mstahiki Mayor wa Temeke awashukuru

    Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida. Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto WA morogoro watabaki kusumbua Sana MF chinno wana Man na mandoga Kwa sasa

    Morogoro ni mji WA vipaji na vituko kila siku toka enzi Za afande sele , o. Ten, stamina , Jack simela r. I. P no wengineo taja wasanii wengine WA morogoro tuwape shout out apa Kwa uwepo wao
  14. JamiiForums Tanzania Lamama uliependwa na Mwamba, ukam dang dang Kwa machalii wengine, umemwuumiza Sana kijana wetu kimapenzi...

    Jamaan WiFi yangu kokote ulipo unaeitwa Lamama naomba uje Kijana wangu amekupenda kimapenzi lakini umemwacha solemba anaumia kimapenzi Lamama kokote ulipo ntakuita njoo. NYUZI ZINGINE BY ME 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi 2. Haijalishi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

    Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli? Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapitiliza kunywa chai. Chai...
  16. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana bei ya mafuta ya taa ikiwa chini sana kuliko bei ya petroli na dizeli

    Nilikuwa nafuatilia kwa karibu bei za mafuta ya petroli, dizeli, na mafuta ya taa zilizotangazwa na EWURA mwezi huu. Baada ya kuchunguza kwa kina, nimegundua bei ya mafuta ya taa imekuwa chini sana ikilinganishwa na ile ya mafuta ya petroli na dizeli. Hali hii inanitia wasiwasi sana, kwani...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha wanaozilazimisha bodaboda ziwe pikipiki za michezo wanapukutika sana na kupata vilema vya kudumu kwa kujitakia wenyewe

    Wanatumia pikipiki ya kichina zisizo za michezo kufanya michezo, hawana helmet, gloves ngumu, guard ya viwiko, guard ya magoti, safe jacket, suruali ngumu, buti, begi lenye sponji, n.k. mwendo wa Ngiri mkia juu, kasi ya kuwapumzisha wadudu inazidi kuwa kubwa, vifo vingne nikujitakia sio Mungu...
  18. JamiiForums Tanzania Kituo cha ITV wamekuwa waoga sana kuripoti habari za kisiasa

    Wote tunakumbuka miaka ya 2008-2010 jinsi chombo kilivyo kuwa imara katika utoaji wa habari bila upendeleo wa chama chochote cha siasa mengi yaliibuliwa na viongozi wa upinzani TBC nayo ilikuwa kwenye ubora wake kiasi chake chini ya mkurugenzi wake Tido mhando Chombo hichi cha habari naona...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

    Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake. Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

    Swalama Wananzengo. Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho. Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…