sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

    Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

    Hapa nilipo nimepoteza hela wakati natoa simu, kawaidi ukishapoteza hela huna haja ya kurudi kutafuta tena.
  3. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kiulinzi wa Urusi, S-400 walipuliwa kizembe sana

    Ukraine wanaendelea kuitesa Urusi walipua mfumo wa S-300 na kuua wanajeshi wote waliokua wameuzingira, Crimea. Explosions in occupied Crimea took place on the morning of 23 August near the village of Olenivka on Cape Tarkhankut, destroying a Russian long- and medium-range S-400 Triumf...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anapuuzwa sana

  5. JamiiForums Tanzania Hii nchi naiogopa sana

    Naona vipepeo mnakubali kuingia katika njama ya kidini, protoko za kidini na maazimio ya kusema hadi kieleweke. Idara zikiongozwa kidini yetu macho Nawahakikishia mkiruhusu hili swala liende kidini kama mlivyoanza hamtafika popote na mtalaumiwa. Sasa shindaneni atakayeshindwa atalia tuu sisi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

    Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement. Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi"...
  7. JamiiForums Tanzania Hadithi: Dada Jesca

    Ni ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa tano, watumishi wa umma na sisi wa sekta binafsi sote tumejidamka zetu makazini kama kawa, si unajua tena… Mambo ya kuwajibika. Mambo yote yamekwenda sawa, ila tu kwa kutimiza wajibu wangu mwingine usio rasmi, nachelea kuwadokolea kidogo yaliyojiri. Ni stori...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, hizi status za Ajira Portal zipoje?

    Habari za leo ndugu zangu. Naomba msaada je hizi status za ajira portal zipoje. Mfano kwenye portal imeandika SELECTED FOR Oral Interview. Selected for Ina maneno ya kijani lakini kwenye website SELECTED tu no Ina kijani mengine ni meusi. Naomba kujua nini kinajiri
  9. JamiiForums Tanzania Angalieni juu muda huu mwezi una rangi nyekundu alafu haraka sana

    Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii. Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi. Mikoa ya nyanda za juu jalibuni kuuangalia muda huu. Update Story iko hivi,. Nimetoka rod kuja...
  10. JamiiForums Tanzania ONYO: Hata maisha yakubane kivipi, usije jaribu kwenda kutafuta utajiri wa mashetani, pesa za mashetani hata waganga hawazitaki

    Ndio maana kuna waganga wengine wana hali za kawaida kiuchumi ila watu wanajiuliza kama huyu mganga anaweza kutajirisha watu kwanini yeye hatajiriki, kuna siri kubwa sana! Ipo hivi, hata hao waganga wenyewe wenye huu utaalam, wao wanachoweza ni kukuzikutanisha pande mbili tu na kuwa mkalimani...
  11. JamiiForums Tanzania Tangu sakata la Bandari liamuke Mods wa Jf wanashuguli pevu sana.

    Hawa jamaa ngoje nitumie fursa hii kuwapa pole. Maana wana wakati mgumu sana kuchuja habari. Watu tunaandika kwa mihemko. Kongole kwenu na pole kwa kupitia mefu ya nyuzi bila kucboka... I
  12. JamiiForums Tanzania Diaspora wanatamani sana kuwekeza Tanzania tatizo watanzania wengi sio waaminifu

    Leo naandika kwa masikitiko makubwa kuhusu hali ya watanzania wengi kutokuwa waaminifu kwenye mambo ya msingi hasa yanayohusu pesa, kuna taarifa nimezipokea kutoka kwa rafiki wa rafiki yangu kwamba kuna rafikiye alipata connection ya kuingia partnership ya kibiashara na mtanzania mmoja aishie...
  13. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo nitawaita Maaskofu wasomi au Askofu msomi, wao wanaichezea sana dokta sikuizi tuna dokta Msukuma

    Wasomi kweli kweli seminary zimetoa watu makini sina shaka hizi shule zilikua zinatoa division one form four na form six kama mvua discipline ya hatari disciples, mkikutana nao kwenye football wanawagonga darasani wanawacharaza, uthibitisho wa usomi wao. 1.Vyombo vya habari vimebanwa haswa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

    Habari, Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au Malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari. Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi gani. Maana imekuwa kawaida sana kukuta wamalawi wakiwa wengi sehemu hiyo pamoja na Mbezi Beach wakiwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waliofanikiwa kukwepa ufisadi wanaishi miaka mingi sana; angalia mifano ya akina Sarakakikya

    Wazee wengi waadilifu wana afya njema hata baada ya kustaafu; mfano wao 1. Mzee Mwinyi akujilimbikizia mali, nchi iliibiwa just kwasababu hakutaka kuchukua hatua kwa wezi 2. Mzee Warioba 3. Mzee Butiku 4. Mzee Mwandosya 5. General Sarakikya 6. Obama- anaishi maisha yakumpendeza hata asiyewahi...
  16. JamiiForums Tanzania Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

    Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa. Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwaheshimu sana wanawake walioamua kutuzalia na kutulia kwenye ndoa

    Imagine huna hela huna lolote la maana ila kuna mwanamke kaamua uwe mume wake na kakuzalia watoto na hakuchit kamwe katulia kwenye ndoa na akitongozwa anawasemelezea kwako waliomtongoza. Mwanamke kama huyu muheshimu sana akimlilia mungu wake KWA maboko unayomfanyia mungu atamjibu. Imagine una...
  18. JamiiForums Tanzania Ni mvivu wa kwenda kanisani ila kesho 20/08/2023 lazima niende ni muhimu sana

    Kesho ni siku kubwa sana kwa sisi waamini..kwa kweli hata sisi wavivu wa kusali tumehamsika. Kupalizwa mbinguni bikira maria siyo jambo dogo huku pembeni kuna waraka wa DPW. Ebana eee kesho mapemaaaa misa ya kwanza kabisa afu seat ya mbele karibu na baba paroko.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
  20. JamiiForums Tanzania Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo! Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…