sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanigeria na Wahindi wamefanikiwa sana kutambulisha utaifa wao kupitia mavazi

    Indian Prime Minister Narendra Modi shakes hands with Nigeria President Bola Ahmed Tinubu upon his arrival Sisi tunakwama wapi? Wahindi wanaona fahari sana kutumia mavazi kama njia ya kutambulisha utaifa wao, hali kadhalika wa-nigeria. Waarabu pia wako vizuri katika hili. Hivi imeshindikana...
  2. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Wanawake kuibiwa hela imeshamiri sana!

    Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto! Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota...
  3. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi nakukubali sana, ila taniana na Wote lakini usitake Kuwazoea vibaya JWTZ na Usijidanganye ukaja Kujuta

    Waache wafanye Kazi yao na kwa Taarifa yako tu isingekuwa Ushujaa wait na Kulipambania Taifa hili kwa Uweledi Wao Uliotukuka ya Amboni Tanga na MKIRU Pwani yangeleta madhara na maafa makubwa nchini kiasi kwamba hata hizo Bia unazopenda Kunywa na hizo Nyama Choma zinazokunenepesha Mashavu yako...
  4. JamiiForums Tanzania Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya

    Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake. Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX. Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu" Kwahiyo sasa....usitegemee eti mwanaume...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Namkubali sana Luhaga Mpina kwa hoja anazotoa Bungeni. Apinga sheria ya kununua vitu used

    Mhe. Mpina binafsi nakuvulia kofia kwa hoja zenye mashiko unazozitoa pale Bungeni. Jana wakati wa kupitisha Sheria ya manunuzi Mhe. Mpina alikuwa kinara wa kuishauri Serikali katika vipengele anavyoviona kuwa vinahitaji marekebisho. Jana alimtoa jasho Waziri wa Fedha kila mara kutoa ufafanuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kuiuza Palestina kwa thamani rahisi sana

    Wakati uchaguzi wa Marekani unakaribia kumekuwepo na habari nyingi kuhusiana na mazungumzo ya kurudisha uhusiano baina ya Saudi Arabia na taifa la Israel. Uhusiano huo umeshindikana kwa miaka yote hiyo tangu kuundwa kwa taifa la Israel mnamo mwaka 1948.Hii imetokana na tawala zote za Saudi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Roho inauma sana

    Wakuu kesho Ilikuwa nianze safari ya kwenda German kwenye tour ya kimasomo, baada ya kukidhi vigezo vyote jamaa wakasema tutupeme bio data of password, bahati mbaya mimi hata passport Sina aisee wenzangu wakatuma kesho wanaanza safari. Tour hii ipo sponsored na chuo chetu apa jijini dar na chuo...
  8. JamiiForums Tanzania Mpira wetu vituko sana, sasa tunashindana nani kajaza mabasi mangapi?

    Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.🤣 Hivi ni nani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimemcheka sana rafiki yangu kutoka Ghana kwenye kilimo cha Almond nikamkumbuka mzee wa Madungu jeshi kwenye kilimo cha Canola

    Mzuka Wanajamvi, Huyu Mghana tulikuwa tunabeba naye boksi pamoja. Akaomba mkopo benki akapewa kama/equivalent dollar za marekani elfu 40. Hela ilivyoingia benki yani ilikuwa fujo. Kesho yake hakwenda kazini na kuacha kazi hata bila kutoa taarifa. Akaniita tupige pombe. Nakunitambia hela na...
  10. JamiiForums Tanzania Mtaalam Ujenzi: Nyumba ya Bakhresa sio bilioni 30, ikienda sana ni bilioni 5

    Nyumba ya Bakhresa Nyumba ya 50 cent Mtaalam ya real estate kutoka kampuni ya Knight Frank Frolian Rweikiza amewatoa hofu vijana wanaotaka kuwekeza katika sekta ya ujenzi kuacha kupagawa na bei wanaziona mitandaoni na badala yake wawaone wahusika wa ujenzi kwa kupata makadirio sahihi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alitukosea Sana

    Mwalimu Nyerere ndiye aliyesimika lugha ya kiswahili kuwa ya Taifa. Wengi watasema English ni lugha ya mkoloni lakini kiukweli ni lugha ya Maendeleo ya teknolajia na ustaarabu dunia. Mataifa Yote ya Afrika yanayotumia English Kama lugha ya Taifa, Yana Maendeleo makubwa ukilinganisha na...
  12. JamiiForums Tanzania Ni dhairi waarabu wanatudharau sana, sana zaidi ya nya

    Peace, Hebu imagine Ngorongoro tumewapa, bandari tumewapa tena kwa adabu na unyenyekevu lakini wao wanajivunia, wanaringa na kutamba na mafuta yao ni bei juu kila kukicha hawajawahi kutugawia hata kijiko. Na bei yao hua iko juu na hawapunguzi kuna kipindi tulishindanwa nao tukamua kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

    UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina. Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga ndoa iliyotajwa kama ‘ndoa ya karne’ na kujaaliwa watoto watatu Thiago, Mateo na Ciro. Raccuzzo...
  14. JamiiForums Tanzania Siku hizi mwanaume akikwambia anakupenda unaona kama utapeli, tutaolewa kweli?

    Hivi sijui ni mimi tu au kwa wanawake wote? Kwa karne ya sasa tutaolewa kweli au tutaishia kuwa Mababy mama tu? Siku hizi mambo yamekuwa mengi sana kiasi kwamba mtu akikwambia anakupenda unaona kama scam fulani hivi na hii ni kutokana na matukio tunayopigwa wanawake jamani? Au ni huu mji wa Dar...
  15. JamiiForums Tanzania Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

    Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
  16. JamiiForums Tanzania Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

    Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma. Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Namkubali sana Mbunge wa Nkasi, Aida Khenani

    Niseme kutoka moyoni, mimi ninamkubali sana Mhe. Mbunge wa Nkasi kwa hoja zake Bungeni. Japo ni Mbunge mmoja ambaye yuko pale kihalali upande wa CHADEMA lakini hoja zake zina mashiko. Ameeleza sana kwa ufasaha suala la Bandari lakini Wabunge wa CCM kila mara wakimkatisha tamaa. Suala la...
  18. JamiiForums Tanzania Upesi sana Yanga SC hasa idara yake ya mawasiliano chini ya Msemaji Kamwe ituombe Radhi wadau kwa kutudanganya kusikovumilika

    Tokea Alhamisi iliyopita (ila najua baada ya Kuumbuka kwa leo wamefanya Editing) Kurasa halisi (Official Page) ya Yanga SC na zile za Mashabiki wake Wapuuzi Wapuuzi walitutangazia kuwa Mchezaji wa Yanga SC Beki Gift Fred ameitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) Taarifa...
  19. JamiiForums Tanzania Nawaza sana Uzee wangu utakuwa wa namna gani

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,sasa hivi utaula wa chuya! Nawaza sana endapo Mungu akinipa Umri mkubwa wa Kuishi,sijui uzee wangu utakuwa wa namna gani!😩 Je, nitadharaulika kama baadhi ya wazee leo wanavyodhaurika? Je, nitakosa thamani kama wazee wengine wanavyokosa thamani miongoni...
  20. JamiiForums Tanzania Gari yangu inakimbia sana!

    Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee. Gari yenyewe ujue ni gari gani basi? Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…