sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa au kuanzisha familia jitahidi sana uyafanye haya

    Kwa ambao bado HAWAJAOA au Kuwa na FAMILIA (MAJUKUMU) ------------------------------ Ndugu yangu kabla ya kuoa Jitahidi sana kuyaandaa mambo haya utakuja nikumbuka baadae. Rafiki maisha ya sasa ni magumu sana hivyo unapaswa kujiandaa ipasavyo kabla ya kuyaendea majukumu ya kifamilia...
  2. JamiiForums Tanzania Tiptop bar manzese Ina vibe sana

    Tiptop bar wameikalabati sasa imekua nzuri inapendeza Sana ,Jana nilikua tiptop mine enyoy Sana usiku wa malaika band kila jumanne Wadau mnaionaje tiptop sasa baada ya kuikalabati
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  4. JamiiForums Tanzania Wewe Mchezaji Mzawa wa Simba SC uliyeiba 'Soksi' ya Mchezaji Aubin Kramo ili 'Ukamroge' mrudishie haraka sana

    Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa upande wa Mungu utashambuliwa sana, CHADEMA jipeni moyo mtashinda

    Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi. Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma bora, ufisadi, wizi ,uonezi, njaa, afya, haki na amani anaitwa Mchochezi na mahala pake ni jela. Huku...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  7. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye suala la sadaka natoa hongera kwa Waislam. Wametuacha mbali sana

    Hi! Mimi ni mkristo, tena ni kiongozi kanisani kwetu. Hili suala la sadaka liko wazi kabisa kimaandiko. Maandiko yameweka wazi tutoe vipi, tutoe wapi na muda gani. Ila baada ya Taasisi nyingi kuzaliwa kwa mgongo wa ukristo sasa misingi ya sadaka kibiblia imeharibiwa na mwanadamu anayetaka...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo Najuta sitarudia tena!
  10. JamiiForums Tanzania Jitahidi sana mwanao asiwe na tabia hizi?

    Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi 1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni, 2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi, 3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake, 4. Mchana ukimwambia alale...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana timu yangu ya Yanga ipangiwe Mamelod au Al Ahly

    Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca. Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
  12. JamiiForums Tanzania Kauli za Rais Samia Suluhu na watangulizi wake ni kama hazina tofauti.

    Huyu mama alianza kazi akiwa na lugha flani hivi tamu mpaka wakati mwingine akawa anamponda aliyekua boss wake (Magufuli ila sasa hivi kaacha) kwa vijembe.baadhi ya watu wakiongozwa na chadema wakampenda na kumpa sifa zote. Sasa leo anatoa kauli ya kejeli kama hii,anatofauti gani na yule...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nipeni njia nzuri sana

    Habarin wadau Mm ni mwanandoa mwanaume, Nina watoto wawili, na kwa Sasa mkewangu ana ujauzito. Niko pekeyangu mkewangu yuko mbali nami kutokana na kuachana nae kwa sababu zisizojulikana kutokana na yeye kuficha sababu maalum na kutokutaka kukaa kikao chochote na wazaz wangu wala wa ukweni...
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  15. JamiiForums Tanzania Gender ni mbaya sana imetengeneza ubaguzi

    Ki ukweli ukweli tuseme gender imetengeneza ubaguzi mkubwa sana kuna vitu unatamani kuvifanya ila gender inakubana inakukataza Gender human creates. ==== Maoni zaidi kuhusu mada hii
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  17. JamiiForums Tanzania Matumizi ya neno "UCHOCHEZI" ni namna dhaifu sana ya kuikataa demokrasia na uhuru wa kukosoa

    Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika. Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
  18. JamiiForums Tanzania Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

    Unamuuliza hakujibu, Shida nini hakujibu Umekosea wapi!? Hakujibu Yani yupo kama yupo tu!? Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu. Unamaliza , yupo tuu.. Yani yupo tu. Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki. Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
  19. JamiiForums Tanzania Hii picha ya Kramo imenihuzunisha sana

    Yoyote anayemtesa huyu jamaa kwa misumari basi ajue anatukosea sana wapenda kabumbu. Halafu kwanini wachezaji wazawa wanawabagua wachezaji wageni hapo lunyasi? Hata picha inajieleza tu
  20. JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Libya: Nini chanzo chake, na kwanini hali ni mbaya sana?

    Mafuriko makubwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika mji wa Derna, mashariki mwa Libya, na kusomba baharini vitongoji na wakazi wengi huku maelfu ya watu wakiwa hawajulikani walipo. Chanzo cha mafuriko Baada ya kuzipiga nchi nyingine za Mediterania, Dhoruba kali inayofahamika kwa jina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…