sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii naona kama umasikini ni mkubwa sana kwetu

    Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu. Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

    WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana natamani mtu anipe muongozo wa maisha kwa kifupi ili nifanikiwe..ntamshukuru sana.

    Iwe kazi Biashara Ajira Mahusiano na ndoa Yani naomba ushauri wowote ili niweze kufanikiwa Ahsante
  4. JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini harrier anaconda used hapa bongo zinauzwa sana

    Habari za weekend Team, Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Unaanzaje kuita nyumba ya mwenzio kibanda na haina wadhifa wa nyumba eti kisa ni ndogo sana, kwani nini maana ya nyumba? Analea familia na sio gesti.

    Toa miguu hio uliyoweka kwenye kochi la shemeji yako ukisubiria tamthilia ya kobis. Weka hio simu pembeni ambayo una like picha za sponsor wako huku ukiwa umekaa geto wenzako wako ground wanahangaika. Alafu, Uoneshe definition inayotambulika duniani ya nyumba inavyotakiwa kuwa. Yani mwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Kama kidume unapojenga nyumba kabla haujavuka miaka 35 unajiona mwamba, ni feeling ya kibabe sana kushinda ile ya kuhimili round moja kwa dakika 10

    Mapambano mema hustlers!
  8. JamiiForums Tanzania INACHEKESHA SANA

    Na Dr. Zack✍️. Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu. Swali lake kubwa ilikuwa ni je,hiki TUKIO LA KUTEKWA LA BWANA YULE sio...
  9. JamiiForums Tanzania Ifahamu kwa undani Bawasiri na namna ya kujiepusha nayo

    BAWASIRI NI NINI? Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba au kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama au uvimbe ambao ndio huitwa bawasiri. Sababu kubwa ya mtu kupata bawasiri ni mgandamizo sehemu ya haja kubwa, ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka...
  10. JamiiForums Tanzania Peter Madeleka ulifanya kosa kubwa sana kugombea ubunge kupitia Act wazalendo huku ukijua ni chama kisichofaa

    Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi. Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo. Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
  11. JamiiForums Tanzania Makonda anautaka sana Uwaziri wa Mali Asili na Utalii. Mabdailiko yajayo huenda ikawa hivyo

    Ma consultance wa Makonda hawalali yaani wana kesha usiku kucha kumpa Makonda mbinu. Makonda kaambiwa Mali asili na utalii ndiko hasa panamfaa ndiko kwenye mafuta, na ili aingie huko aanze kufanya harakati mbazo mnaziona kwa sasa hivi. Hao wastafu wa Soka anao waleta sio kwa lengo la michezo...
  12. JamiiForums Tanzania BODABODA mna moyo wa ujasiri sana

    Naomba niwapongeze bodaboda wote walifatilia watekaji kama wasingekuwa wao Djumbe tusingemuona tena bodaboda mmefanya jambo la ujasiri sana kuhatarisha maisha yenu Mungu atawalipeni watekaji walifyatua risasi lakini mlinusurika wote Djumbe kapata upenyo ameoka nafsi yake kutoka kwa watekaji...
  13. JamiiForums Tanzania Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

    Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!. Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba niliyohamia wanawake wanaomba omba sana

    Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru inachelewesha sana kutoa mikopo ya 10% kwa vijana

    Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za kuupata mkopo huo. Tumetumia gharama na Muda wetu mwingi Sana ,kila wakati wakiwa Wanatuita kwenye vikao...
  16. JamiiForums Tanzania Kazi ya udaktari ni ngumu sana, hawa watu tuwatie moyo sana.

    Katika watu ambao inabidi walindwe kwa gharama zozote basi ni madaktari. Asilimia kubwa ya madaktari wanafanya kazi kwa uwito na sio maslahi zaidi . Ukitaka kuamini hivyo utakuta daktari ana miradi yake mikubwa tu na asilimia kubwa inahitaji uwepo wake lakini yeye yupo busy hospitali kutibu...
  17. JamiiForums Tanzania Julio: Makocha Wazawa tuliipeleka Timu AFCON tukatolewa kiuhuni, lilikuwa jambo baya sana lile

    Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo 'Julio': “Sometimes napenda Kujilipua, singoji mpaka nife mje mnisifie, kazi aliyofanya Hemed Morocco, Juma Mgunda na mimi kuipeleka timu AFCON afu tukatolewa kiuhuni ni jambo baya sana.
  18. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jihadhari Sana na Kitu kinaitwa Vodabima. Unaweza Kupoteza Pesa Yako. Ni Mfumo wa Kubahatisha

    Sijui ni wangapi wamewahi kukumbana na na matatizo ya vodabima. Kwa uzoefu wangu, mara tatu imetokea unalipa bima ya gari kupittia vodabima. Unapata ujumbe kuonesha pesa imetoka kulipia bima ya gari fulani kuanzia kipindi fulani mpaka kipindi fulani, hakuna ujumbe mwingine. Kwenye mfumo wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa watu walionipa msaada katika wakati sahihi, nawapenda sana

    Kuna watu thamani katika maisha yetu hapa duniani wapo na wanaweza wakawa ni wa muhimu katika negative way au positive way. Ukiachana na ndugu wa faida na wazazi bado kuna watu baki wanaweza kuibika katika nyakati flani ambazo uliwahitaji kwa udi na uvumba. Binafsi mimi kuna hawa watu wawili...
  20. JamiiForums Tanzania Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

    Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…