sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nawalaumu sana Hamas, Serikali ya Israeli pamoja na wale wanaowaunga mkono

    Moja kwa moja.. 1. Kwa nini nawalaumu Hamas ? Sikatai ukweli kwamba Raia wa Palestine wameishi kwa mateso miaka mingi chini ya utawala wa Wazayuni,wakiuwawa kunyimwa haki za msingi nk na nakubali kwamba wanayo haki ya kupambana katika kujikomboa na madhila wanayopitia. Ninapowapinga ni njia...
  2. JamiiForums Tanzania TANESCO bado shida ni kubwa sana, wiki 3 transformer imeungua haijabadilishwa

    TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi...
  3. JamiiForums Tanzania Madaktari mnatuchanganya kuhusu muda gani wa kufanya mapenzi na mke baada ya kujifungua

    Yaani ukikutana na Daktari wa Mwananyamala na Kumuuliza Mkeo akijifungua ni lini uanze Kufanya naye mapenzi utajibiwa baada ya Siku 40 au 60. Ukiwauliza Madaktari wa Amana na Temeke watakuambia baada ya Miezi Mitatu hadi Sita. Yaani kila Daktari anashauri anavyojisikia na Alichokikariri Chuo...
  4. JamiiForums Tanzania Matokeo darasa la nne yamechelewa sana

    Wanabodi salaam Watoto wa darasa la nne wamefanya mitihani yao hapo Oktoba na sasa wazazi na walezi wanajiandaa kwa ngwe ya darasa la tano. Lakini wanawezaje kufanya maandalizi bila kufahamu matokeo ya vijana wao? Serikali izingatie kutoa matokeo kwa wakati tafadhali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimekua disappointed sana na Mtu ambaye nilikua namuona wa thamani sana....ni week sasa Tangu nikutane na hio disappointment

    Wakuu, nimekua disappointed na mtu ambaye tuko very close; nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu. I was very fond of him yan katika circle yangu ya watu wachache, nilionichagulia, na yeye nilikua namconsider. Dah, gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe mimi ndo nlikua...
  6. JamiiForums Tanzania Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

    Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wengi wa Kiume wa Redio nchini Ukiwasikiliza haraka sana utawagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao?

    Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu. Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania ni wazuri sana! Elezea kwa mifano

    Ni wakamilifu? Sijasema hivyo. Isitoshe, hakuna taasisi ya kibinadamu iliyo kamilifu! Pamoja na madhaifu yao, wana mengi sana mazuri. Shrikisha🙏 Usiandike madhaifu, bali mema tu. Elezea matukio yaliyowahi kufanywa na Polisi wa Tanzania, iwe ulishuhudia au umesimuliwa na mtu mwingine, ambayo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Cris Mauki anapenda sana kwa Wanawake

    Jamaa anapenda sana SIFA kwa wanawake. Jamaa hakuna post yake au video clip itakayoeleza mema ya mwanaume. Yeye clip zake zote ni kumponda mwanaume dhidi ya Mwanamke. Yaani utafikiri hiyo taaluma yake ya Saikolojia ni kwaajili ya Mapungufu ya Wanaume dhidi ya wanawake. Kumbe hajui pia saikojia...
  10. JamiiForums Tanzania Kocha Gamondi "Kombe la Shirikisho ni la kitoto, huku Klabu Bingwa ni kugumu sana, sidhani kama tutafuzu"

    Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza kumuelewa, angekuwa na wakati mgumu sana. Gamondi alianza kwa kuomba msamaha kwa wale ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Leo nitawapa jibu la kwa nini wanawake wanaojiuza ni wazuri au wanavutia sana na walioolewa ni wanawake wa kawaida tu

    Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe. Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu...
  12. JamiiForums Tanzania Nawaombeni sana wana JF na mods muwapuuze vijana wanaokuja na nyuzi za kujinyonga

    Hakuna salamu, nimekasirika sana Yaan watu tunapambana kuishi bado tunaumwa maugonjwa ya ajabu yasio na tiba, tuna michepuko 3 na ndoa 2, january (njaanuaru) inakuja watoto lazima waende shule, kabla ya njanuary hizi sherehe wategemezi wote wanakuangalia ww. Halafu unapambana nayo yote unakuja...
  13. JamiiForums Tanzania Nimefikia conclusiion kwamba wanawake wengi ni wepesi sana kudanganywa kwenye imani, 90% ya waumini wa makanisa ya mazingaombwe ni wanawake.

    Makanisa ya mazingaombwe kipaumbele huwa ni kufanya mazingaombwe ambayo watu wengi wenye imani nyepesi huona ni miujiza, neno lina nafasi ndogo sana. Wachungaji wa hayo makanisa wamegeuza imani nyepesi za waumini kujikusanyia utajiri wa kutisha, Mafuta ya kuitwa ya upako yanatengenezwa hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

    Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi Panya Njiwa Ndege Kware Panzi Mchwa Vibaruti Beetle Serikali Majongoo Konokono Halmashauri Mafuriko...
  15. JamiiForums Tanzania Bodaboda wanatuchunguza na kutujadili sana. Be warned

    Habari za weekend wanabodi. Moja kwa moja kwenye mada. Ni asubuhi nawahi kazini, nikiwa mmoja wa viongozi idara ya mauzo, pickup niliyopewa na ofisi inasumbua iko juu ya mawe. Natoka nje jirani na ninapoishi kuna vijana wa bodaboda. Wanaponiona wananichangamkia na napanda mojawapo. Safari...
  16. JamiiForums Tanzania Bongo tutasubiri sana, kujikomboa bado sana, labda miaka 500 ijayo!

    Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige. Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss! Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana. Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe...
  17. JamiiForums Tanzania Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

    Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM, Tuambizane ukweli, ni nani miongoni mwenu ambaye anaweza kuwa Rais wa nchi, wananchi wake wakalemewa na ukali wa maisha namna hii akaendelea kuwaonea huruma...
  18. JamiiForums Tanzania Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

    Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo, Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA). Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali. Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo. Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada...
  19. JamiiForums Tanzania Messi alimdhalilisha sana Ronaldo, ona hii Clip mpaka huruma 😄

    458KB Messi kawadhalilisha sana wachezaji 😄😄
  20. JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

    Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee! Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…