sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna nyumba ya mtu inayoelea, amka kafanye kazi!

    Mimi ni muwakilishi tu, usinipige mawe sikiliza mwenyewe.
  2. JamiiForums Tanzania Wakristo wengi kwa kukosa maarifa wanajiangamiza sana na kujikuta hawajielewi

    Nimeamua kuandika huu uzi baada ya kusoma nyuzi kadhaa na maoni ya watu mbalimbali. Hizi Dini kuu mbilii za Ukristo na Uislamu ni Mkusanyiko wa Tamaduni za Makabila makuu mawili. 1. Kiyahudi 2. Kiarabu. 1. Ukristo chimbuko lake ni Uyahudi ambapo Yesu Kristo pia alikuja kuregeza baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Matusi, kebehi na fedheha mtandaoni zinaweza kusababisha mtu kujiua

    Unyanyasaji mtandaoni ni matumizi ya teknolojia kumdhulumu, kumtishia, kumfedhehesha, au kumnyanyasa mtu mwingine. Vitisho mtandaoni na ujumbe wa kejeli, wa kibabe, au wa kudhalilisha kwenye maandishi, twiti, machapisho, au ujumbe wote huathiri. Pia kuchapisha maelezo ya kibinafsi, picha, au...
  4. JamiiForums Tanzania Alex Ngereza: Simba ilikuwa kwenye kundi dhaifu sana

    AKILI ZIMEANZA KUWARUDI " Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi ya kwao mpaka michuano ya #CAF. Huku akiwa pia na timu ya Asec Mimos timu yenye program ya kukuza...
  5. JamiiForums Tanzania Kamala Harris aumizwa na mateso ya Wapalestina. Mwanamfalme wa Saudia na Jordan wapo kimya kabisa

    Makamo wa raisi wa Marekani Kamala Harris ameibuka kutoa kauli kauli kuilani Israel kwa jinsi inavyoua na kutesa watu wa Gaza bila sababu za msingi. Katika karipio lake ametumia neno kusitisha vita moja kwa moja badala ya maneno mengine ya mzinguka kutaka matekan na vitu vyengine vidogo vidogo...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kufanya biashara ya Familia kwa wakristo, biashara za Familia tuwaachie waislam?

    Biashara huwa zinarithishwa kwa watoto hasa wa kiume wanaoendeleza kizazi lakini kwa wakristo hali ni tofauti, Baba akifa nusu ya mali zinaenda kwa mke ambae anaweza akawa hajui chochote kuhusu biashara, hapo ataona heri auze biashara ili apate pesa za kuendeleza huko kwao na akatoe sadaka kwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

    Wakuu habari za jioni. Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla. Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa Kasi. Ukitoka Mji Mwemba mpaka Pemba mnazi Kuna sehemu lami inaishia, Kimbiji ya miaka 10 iliopita...
  9. JamiiForums Tanzania Mapenzi: Muogope sana mwanamke mweupe na mwenye makalio makubwa

    Habari za Jumapili wakuu; Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu. Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti. mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Pacome na Chasambi ni vita kali sana

    Hawa wataingia kwenye msuguano mkubwa sana. Huyu dogo Chasambi wa Mkia na Pacome wa Yanga. Hawa ni level moja kabisa, tuone tu Chasambi atakuwa na matches ngapi kuja lingana na Pacome.
  11. JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

    Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha. Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya kiuchumi ya Zanzibar yalisaidia sana Watanzania kutamania Alhaj Ali Hassan Mwinyi aongoze Tanzania

    kiukweli Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliongoza vizuri sana Zanzibar na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kilichochangia Watanzania wawe na imani naye sana ni mageuzi ya kiuchumi na kijamii aliyoyafanya Zanzibar kwa kipindi kifupi wakati wa awamu yake na hivyo wananchi wengi hususani...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Inatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu. Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
  14. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ngazi ya vilabu inakuwa kwa kasi sana, hongereni wawekezaji

    Tanzania ndio association pekee iliyopeleka timu mbili robo fainali klabu bingwa na hii inaonesha kukuwa kwa vilabu vyetu. La pili naona utawala wa timu za kiarabu zinaanza kutokomea kwenye michuano ya CAF, tuliona kwenye AFCON jambo hilo na huku champions league naona imejirudia. Ni timu mbili...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

    Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
  16. K

    JamiiForums Tanzania Waalimu tunadharauliwa sana hivi kwanini?

    Tanzania Wilaya ya Uyui Waalimu tunanyasika sana sijui tatizo nini? Tulikuwa kwenye semina ya mtaala mpya daaa h full vitisho maneno ya kukatishana tammaaaa. Posho hazieleweki za semina yenyewe mnaishia kupewa maji makubwa. Hii wilaya ina shida serikaki iangalie kwa jicho la pekeee ni wilaya...
  17. JamiiForums Tanzania Kiungo gani cha mwili kinakupa sana pesa?

    Kiungo gani cha mwili kinakupa sana pesa?
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna Wasanii hawadimu kwenye game na ni wakali sana.!?

    Je ! Ni Management zao.. Ni Fedha.. Ni kutotoa hongo ktk Media Industry!? Mawazo yako mengi sana. Najua nawe una mawazo yako.. Kwa Mfano. Benson ni nini kilimfanya asiendelee kuwa msaniii mkali kabisa!? . Au huyu LodyMusic.. kwanini wanakuja na kuondoka.. pure talents. Embu tuwasikilize hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nani? Mbona amekuwa akitrend sana kwenye mitandao ya kijamii?

    Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya? Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

    Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa) Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…