sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  2. JamiiForums Tanzania Hii safisha-safisha inayoendelea ndani ya Simba inapendeza sana

    Kabla ya kuisha mwa msimu wa 2022-2023 nilikuja na mkeka ulioelezea jinsi Simba inavyotakiwa kubadilisha kikosi chake kwa mtiririko fulani wa kuacha wachezaji ili ndani ya misimu 3 ijayo iwe na kikosi kipya kabisa. Lilipokuja dirisha kubwa la usajili, mkeka wangu ulionekana kufuatwa kwa 95%...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

    Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

    https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi? Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
  5. JamiiForums Tanzania Ligi ya Egypt ni ligi ya ovyo na ya kihuni sana pamoja na CAF

    Wakuu Ligi ya Egypt inasifika kuwa namba moja Africa lakini kwa upuuzi wao na uhuni kila mwaka wanaofanya, Kwanini isiitwe ya kihuni na kisela? Si afadhali hata ya huku Bongo wajameni? Hebu tuone Zamalek waligoma kucheza Derby yao na ahly ahly mpaka pale ahly ahly watakapomaliza viporo vyao...
  6. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  7. JamiiForums Tanzania Aisee kuna member anakuwaga makini sana kufuatilia thread,haruki thread wala comment

    Member mwenyewe ndio huyu hapa sijui ni nani huyu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana serikali kushidwa kusafisha maji!

    Yaani inasikitusha mpaka leo hatuwezi kupata maji safi na salama. Lakini serikali kila siku kujigamba!. Leo maji ya bomba ni kama tope!
  9. JamiiForums Tanzania Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  10. JamiiForums Tanzania Mnavimba sana humu mitandaoni ila wazazi wenu wanatumia simu za ajabu sana

    •itel kiswaswadu •Tecno kiswaswadu •bontel kiswaswadu •O king kiswaswadu Na misimu yote ya kichina isiyofahamika ndio wazazi wetu wanatumia tena huku tukijinadi ooh mimi mzazi wangu yupo fresh kumbe dakika mbili tu simu yake chaji imeisha na hapatikani hewani
  11. JamiiForums Tanzania Kijijini watu ni wakatili chunga sana wake za watu

    Usije ukaenda kijijini ukapata mwanamke kumbe ni mke wa mtu. Watu wa kijijini sio wastaarabu ndugu zangu watakuangalia wanakusomea nyendo zako usije kushangaa unatenganishwa kichwa kama kumbikumbi. Chunga sana unapoenda vijijini usijione wa mjini ukadhani wanawake watakaokushobokea ni kutaka...
  12. JamiiForums Tanzania Bado Una Swali: Kwa Nini Bei za Magari Kutoka Ulaya Ziko Juu Sana Tanzania?

    Katika makala hii, tutachunguza sababu kuu zinazosababisha ongezeko kubwa la bei za magari yanayoagizwa kutoka Ulaya hadi Tanzania. Tutajadili kodi, ushuru, gharama za usafirishaji, na athari zake kwa wateja, huku tukitoa mifano halisi na mapendekezo ya jinsi ya kupunguza mzigo huu wa kifedha...
  13. JamiiForums Tanzania HONGERA SANA AFISA MTENDAJI WA MTAA WA NYERERE HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    Sasa unaingia mkoa wa Mara!Utakutana na maandishi yakiwa kwenye hiki kibao mara tu unapoiacha Simiyu na kuingia mkoa wa Mara.Jina la mkoa halijulikani sana ukilinganisha na jina la makao makuu ya mkoa,Musoma.Ndio maana wengi wanajua jina la mkoa ni Musoma!Huu ni mkoa ambao mfumo dume ni mahali...
  14. JamiiForums Tanzania India na dawa nzuri sana za mitishamba

    India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti tofauti. Kwa Dawa za Himalaya welness kama kuna dawa ya asili ya ugonjwa wowote unaitafuta kwa nuda...
  15. JamiiForums Tanzania KMC wanapaswa kupongezwa sana kwa kujenga KIWANJA kizuri Cha mpira

    Ukiangalia uwanja wa kmc unaona kabisa ni KIWANJA kizuri na chenye standard nzuri ukuta na hata majukwaa na vyumba Hii Inanipa sababu kabisa ya kuwaomba bodi ya ligi na tff mwakani kuwa team za ligi kuu zitumie 1.Uwanja wa Mkapa. 2.uwanja wa uhuru. 3.uwanja wa Azam 4.uwanja wa Mkwakwani(maana...
  16. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  17. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums hawa Wachezaji hawatufai hivyo tuuombe Uongozi uachane nao upesi kwani ni Wabovu sana

    1. Khalid Aucho 2. Dickson Job 3. Ibrahim Baka 4. Djigui Diarra 5. Yao Kwasi 6. Aziz K 7. Pacome Zouzou Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Giza lenye Mwanga

    Nashiba nikionja ni Kila natapika!! Namshukuru aliye asili yangu Kwa pumzi na uweza wangu wa kupata na Kutoa taarifa Kwa jamii ya watanzania. Nyumba yangu imejengwa msingi tu,Haina Kuta,haija pauliwa ,natafuta mafundi,nawapata wananiambia wao hufanya kazi kwenye Giza.Je! mnaonaje!! Wananiambia...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa sasa mwanasiasa mwenye nguvu hapa Tanzania ni Job Yustin Ndugai ukimya wake unakishindo kikubwa sana tusubiri!

    Huyu ni mtu kweli kweli ! Ameamua kufunika kombe ,haongei chochote na hachangii chochote ,amefumba kinywa ! Fisi wanajua wamemkomoa na Kuna wengine wanaona kama amekuwa failed! Huyu mtu hata wabunge wanamwita baba ! Kokote alipo asikubali 2025 kukaa kimya tutampeleka ikulu saa 2 asubuhi
  20. JamiiForums Tanzania Yanga tuachane na wachezaji wa Ghana kwa sasa ligi yetu imekua sana ...

    Wakuu. Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi . Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa ligi yetu imekua sana ushindani na ubora kuliko ligi nyingi sana hasa za West Africa. ⛏️⛏️...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…