sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Namfuatilia sana Chid Benz na hasa Interviews zake mbalimbali na nilichoguandua Jamaa ni Genius sema dunia ya Walimwengu imemuwahi tu

    Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini. Kama akitokea...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mnataka au mna hamu sana ya Kuvunja Ndoa zenu nzuri ili mje kuungana nasi 'TEAM NO KUOA DAIMA' chukua hii mbinu utakuja Kunishukuru

    HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by just doing them for a Month, no matter how strong the marriage is, it will be destroyed if you do...
  3. JamiiForums Tanzania Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo 15 ya msingi sana kuyajua ili uishi na wenzio vizuri

    MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI Thread 🧵 👏 1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo). 2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya ulipwa kwa ubaya...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
  6. JamiiForums Tanzania Najishangaa sana

    Wakuu, sometimes nahisi najikosea Haiwezekani kipindi sina pesa nawaza Mambo ya kuanzisha miradi mbalimbali na kujiwekea mikakati ya kutosha. Sasa kizungumkuti nizipate napeleka chap kumalizia Nyumba yangu,mfano juzi kati nilibamba mil 3.5 ,chap nikaweka tiles kwenye Nyumba yangu,wakati...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnanitenga sana wakuu

    Acheni kunitenga
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upinzani wanaweza sana kulalamika lakini hawana mipango mbadala kabisa

    Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana...
  9. JamiiForums Tanzania Masikini wana chuki na roho mbaya sana

    Masikini wana roho mbaya Na Paul R.K Mashauri Watu wengi wanafikiri matajiri wengi "wealthy people" wana roho mbaya na makatili. Nazungumzia waliotafuta pesa kihalali sio "walioiba na kudhulumu" Waliochuma kwa jasho. Hao matajiri wengi wana roho nzuri sana na ni wanyenyekevu sana "very humble...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mtaje memba ambaye bila kificho unaona leo anafurahia sana tukio lililotokea huko Iran na hukumtegemea

    Naanza na LOTH HEMA
  11. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi mchina alivyopiga pesa nyingi Sana Kwa biashara ya Nyani

    Hapo Zaman za kale kulikuwa na mchina katika kijijin kimoja kilichojulikana Kwa jina la Ngwa' mchina huyo aliamua kuwekeza kwa Kununua nyani mmoja Kwa shilingi 200, alitembelea Maeneo mengi kijijini na Wananchi walimuuzia nyani Kwa shilingi Mia 200, na hadi nyani waliandimika na yeye alivyoona...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Stergomena Tax: Hali ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji haitabiriki

    DODOMA - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Stergomena Tax ameliambia bunge kuwa haIi ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji wenye urefu wa kiIomita 922.76, haitabiriki kutokana na mashambuIizi yanayofanywa na kundi Ia kigaidi Ia Ansar Al Sunna Wal Jamaah (AASWJ). Chanzo...
  13. JamiiForums Tanzania Usione nakubembeleza sana ukahisi sina kazi za kufanya, ni mapenzi tu kuna siku nitachoka kuyakumbatia madhaifu yako

    Hii ndio kauli niliyoambiwa na wife wangu kipindi hiko nipo moto balaa michepuko kama yote sieliwi nawaza misabwanda tu. Hii kauli ilibadili maisha yangu sana. Nikawa mpolee na familia.. Wewe uliambiwa kauli gani na mwenza wako ukabadili maisha yako ya mahusiana?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ricardo Momo ana kipindi kizuri sema mvivu sana. Mtangazaji mwingine akopi kazi zake

    Ricardo Momo I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions. Sadly, he could simply operate his sessions via phone calls hata akiwa nje ya inchi. There's alot of money in ads, wasafi isn't...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄 Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na...
  16. JamiiForums Tanzania Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

    Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria. Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi...
  17. JamiiForums Tanzania Leo nimepigwa na mke wangu wa ndoa, imenisikitisha sana

    Ndugu zangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde. Sasa mke wangu huwa hapendi japo nilisha muingizaga siku za nyuma kama mara 3 akawa ametaka nimtoe nikamwambia wewe lala mimi nikimaliza movie...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Leo nimepima afya Kwa kuitumia BMI calculator na kupata matokeo mazuri sana

    Wadau hamjamboni nyote? Nimefurahi sana lna pia namshukuri Mungu na hii ni baada ya kupima afya kwa kuoanisha uzito na urefu wangu na kupata matokeo mazuri kiafya Nimeweka matokeo kwa rejea yenu Tujitahidi kupima afya zetu Jumapili njema.
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA ikifanikiwa kukamata vijana wa 1995-2012 mwaka 2030 Uraisi ni wao.

    Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko. CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu, shangazi zetu Babu zetu na Bibi zetu hii yote ni kwa sababu CCM wanabebwa na Historia. Asilimia kubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua kinachofanyika 'behind the Scene' hasa kwa Bendi za Dansi Afrika acheni tu Bia na Viroba vitengenezwe na Bangi ilimwe sana tu

    Nilikuwa najiuliza sana inawezekana vipi Watu wanaimba na kucheza zaidi ya Saa 8 na hata hawachoki ila jibu nimelijua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…