sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taka zimemwagwa Mtaani Msimbazi B, hii ni hatari sana kwa Watumiaji wa Soko la Kariakoo

    Hali halisi ya Mtaani wa Msimbazi B Kariakoo Kwa hali hii watu tutaacha kupata magonjwa ya tumbo, kuhara au hata kipindupindu? Uongozi wa Soko hauoni hii hali na kushughulikia?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lissu amejifunza nini kujitokeza kwa watu wachache sana kumchangia pesa za kununua gari la kifahari?

    Ndugu zangu Watanzania, Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi. Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa bodi zote sensitive nchini ni wazee, wana maarifa lakini wanakosa utandawazi; nini kifanyike wasiendelee kuwa watia sahihi?

    Kila siku ukisikia wajumbe wa bodi wameteuliwa utasikia huyu kustaafu kule na yule kustaafu huku. Wanaosimamia mipango ya nchi wanapoteuliwa wote unabaini walishastaafu. Lakini unapokwenda kwenye mashirika binafsi yanayoganya vizuri katika private sector Duniani utabaini wenye mamlaka kamili...
  4. JamiiForums Tanzania Huduma za Airtel Mobey ni mbovu sana

    Hii kampuni inatia hasara sana watu. Unatuma pesa inajibu UNFINISHED kwa maana ya jwamba haijakamilika kumbe pesa zimekwenda hivyo unajikuta unatuma mara ya pili. Unatuma pesa kwa mteja ujumbe hapati mpaka aanze kuangalia salio. Ni usumbufu mkubwa hasa kwa mawakala inabidi kampuni ifanyie kazi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inatakiwa kujiuliza ni wapi inakosea

    Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Fainali 6 ubingwa mara 5 uefa, Carlo Ancelloti anachukuliwa poa sana + underrated, hapati heshima anayostahili

    DON CARLO ANCELOTTI
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mkataba wa EPC+F ni Technical sana

    Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa. Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima Mdee kuzuia shilingi ya mashara wa wàziri wa ujenzi kuhusu kushindwa kutekelezwa kwa mkataba huo wa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tatiana ananichanganya sana, hivi yuko wapi? Jukwaani haonekani

    Wakuu, Hivi huyu member wakuitwa Tatiana yuko wapi? Niwahi kua napenda michango yake na alikua decent kupita maelezo. Hapatikani na najaribu kuangalia ni kama hayuko active. Wanaomfahamu wampelekee taarifa zangu kua namtafuta sana. Nahitaji kuongea naye na kumtakia heri kwenye harakati zake.
  10. JamiiForums Tanzania Tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono ina madhara makubwa sana katika ulimwengu wa roho

    SALAM ZA KUSHIKANA MIKONO. Usipende Sana kusalimiana kwa kushikana mikono kwa sababu kupitia kushikana mikono huko utaibiwa nyota Yako watu wanauchawi huo ikitokea tu umeshikana mikono na mtu mwenye huo uchawi basi nyota Yako atakuwa ameibeba mtu huyo. Kuanzia hapo mambo Yako utayaona yameanza...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa sasa jukumu la kusomesha watoto apewe mwanamke pekee, wanaume tunadharaulika sana watoto wakifikia kilele cha mafanikio

    Nimeona tabia hii imeshika Kasi sana ,akina mama au wazazi wenzetu wanatutambua kama wazazi pindi watoto wanapohitaji karo za shule na mahitaji yote! Wake zetu huwaambia watoto kupeleka mahitaji yao kwa baba ' iwe karo, mavazi, chakula, matibabu na kila kitu mhusika mkuu ni baba!! Lakini baadae...
  12. X

    JamiiForums Tanzania CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  13. JamiiForums Tanzania Napenda sana wanawake wa kikatoliki

    Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl. Nmemaliza.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wanaogopa sana kifo kuliko vijana?

    Habari wana JF, Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana. Sisi vijana tunatake risk nyingi sana za kuogopesha na kuweka rehani maisha yetu, wala hatuna woga uliopitiliza wa kifo. Lakini wazee wetu wengi ni...
  15. JamiiForums Tanzania Wanyaturu ni kabila pekee lisilo na athari ya lugha kimatamshi; Wanawake wapo pia ni wakali sana

    Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi. Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !! Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nauza (Tshirt printing machine), inamfaa sana kijana aliyopo chuo. ni Biashara nzuri ya kufanywa na kijana chuoni.

    habari vijana. nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta. bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS. ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika. kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
  17. JamiiForums Tanzania Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

    Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
  18. JamiiForums Tanzania Nawashukuru sana wananchi wote kwa kuiunga mkono serikali ya awamu ya 6 kwa hamasa sana

    Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya kiongozi makini na madhubuti sana comrade dr.Samia suluhu hassan. Kipitia bunge letu tukufu hapa makao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi uniskize

    Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo kwa kweli. Niko wako Hivyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee ′tapendana kiroho Nakusihi Tuliza moyo Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea...
  20. JamiiForums Tanzania Nimewamiss watu wangu wa nguvu

    Mko salama wapendwa? imekuwa kitambo sana jamani leo nikasema nimepata kaupenyo kidogo wacha niwajulie hali😉😉 Nimewakumbuka sana marafiki wangu wa JF😍 Nikipata tena upenyo nitakuja kuleta uzi wa kutafuta mume💃💃💃 Kisses and hugs from this side to yours, wakuu🥰
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…