sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sasa hivi kupita mkesha/sikukuu bila ngumi imekuwa kawaida sana kitu ambacho miaka hiyo ilikuwa ni Nadra mno

    Sijui ni kwamba watu wameokoka sana hata sielewi kabisa.Miaka ya nyuma mkienda kwenye mkesha ama sikukuu ilikuwa ni lazima ushuhudie ngumi za wanaume zikipigwa katikati ya senta . Haikuwa sio ajabu kuona wala kusikia kuwa akina J n p jana walizipiga kwenye mkesha.Ni miaka sasa imepita bila...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nimefika state ya furaha yangu haitaji mtu yeyote Yule . Nashindwa kuona . Na party sana

    I will be short Any way very late 20s . Sina mtoto sina Mchumba , Ila na pisi Kama 3000 hivi . Any way nilijikubali kuwa furaha yangu is my own kitambo sana . Yani hata Dunia nzima mpotee mda huu Mimi fresh tu . Issue living with these women . Mimi nimeshindwa maana Sina unhappy...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bia ipi nzuri?

    Mi niko Mbeya town nauliza kwa wadau wanaojua bia gani tamu na inalewesha inapatikana wapi na shingapi kwa moja na kwa katoni..?
  4. JamiiForums Tanzania Uongo wa kiimani: Majanga ya moto yametokea nchi nyingi sana

    https://www.google.com/amp/s/www.aljazeera.com/amp/news/2021/8/19/mapping-wildfires-around-the-world-interactive Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu amewaadhibu sababu ya Gaza. Hizi akili za watu ambao hawana elimu na ufahamu. Hizi nchi zimewahi pata...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa yanayotokea uwanjani MC Alger na TP Mazembe. Afrika tuna safari ndefu sana ya football

    Mwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
  7. JamiiForums Tanzania Kujengea kwenye simu: Inatia uchungu sana

    https://www.youtube.com/watch?v=lLChdeK88RY
  8. JamiiForums Tanzania HATARI SANA: Mashirika Yatangaza Kufirisika! - Soma.

    Kampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika. Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi. Moto huo kuharibu na kuchoma ekari zaidi 2,921 za mandhari nzuri ya Pasifiki ya Palisades imepotea.
  9. JamiiForums Tanzania Wazee wetu hawakuwa wajinga kututafutia wake wa kuoa! Wasukuma tulibezwa sana kuhusu hili yamkini waliona mbali.

    Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko) Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei mfano ni babu yangu kuwatafutia baba zangu wote wanawake wa kuoa na akalifanikisha wote akiwamo na baba...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana au Sina bahati

    Natazama majina ya walio itwa kwenye usaili wa uhamiaji jina langu halipo na Sifa zote nilikuwa Nazo au Kwasababu maskini.
  11. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuamini kuwa wanawake wana roho mbaya na ubinafsi mkubwa sana

    kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake . Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

    Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi Fanya hivi Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji. Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna ofisi ukizitembelea unakuta 'staff' wake wanatia huruma sana kwa kweli

    Leo bana nilikua nataka bidhaa flani ila kwa bei ya jumla,so jamaa angu flani akaniunganisha na hao sijui ni wahindi au wachina wale nikaenda kwenye hiyo office kupata hiyo bidhaa. Kwanza getini ile unaingia tu mlinzi anakuomba buku la maji. Ukiingia ndani unakuta staff muda wa lunch wamelala...
  14. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

    Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu. Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
  15. JamiiForums Tanzania Watu mashuhuri mnaopenda show off za magari mamlaka zinawatamani sana.

    Unapopenda show off kuonyesha ndinga kali mitandaoni hakikisha kwenye mfumo wa mamlaka ndinga Yako haina vipengele yaani physical na rekodi Zinafanana other wise unawapa watu kazi za kufanya na wanachukia mnavyojificha kwenye kivuli cha chawa wa mama. More Focus ni kwa wale mnaofanya import...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nina Aquos r6 mnyoofu sana

    AQUOUS r6 Storage 128gb Bei 335,000 Clean Haina kipengele labda kipengele uje nayo tajiri😀 Ubungo darajani 0️⃣6️⃣9️⃣3️⃣1️⃣7️⃣6️⃣1️⃣9️⃣7️⃣
  17. JamiiForums Tanzania Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini?

    Katika viumbe vyote kiumbe kinachoteseka sana ni ' BINADAMU' je umejiuliza kwanini? Sababu kubwa ni kuwa binadamu ndo kiumbe ambacho hakina akili . Ebu fikiria MTU anaumia ,anateseka , anakuwa mwizi , ili tu apate vitu ambavyo kavitengeneza binadamu mwenzake .
  18. JamiiForums Tanzania Upole, utulivu, usiri na utiifu uliniwezesha kuwa na mabinti wengi katika mahusiano ya kimapenzi

    Ni kabla sijaenda sumbawanga na baada ya kurudi kabla sijaenda kusoma elimu ya juu. Nilikiwa mpole sana,mtulivu kupita kiasi,msiri na mtiifu sana Kaka yangu alikuwa na mchepuko wake mmoja,ambae alimpenda sana,sasa mie ndiye nilikuwa natumwa kila kitu na kaka kwa huyo demu,na pesa nilikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tabia za mtu ambaye utotoni mwake amedekezwa sana

    Mwanaume ambaye utotoni amedekezwa sana -Anakuwa na misimamo mikali sana (rigid), mwengine anakuwa legelege sana kiasi kwamba kila kitu anamtegea mama yake na dada zake -Hawezi kudumu na Mwanamke,kwa maana anakuwa anapenda sana ulevi kupindukia, uvutaji bangi,kutumia fedha nyingi sana bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…