sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

    Hello Hii kitu ni ya ukweli kabisa sio kutunga nimeshuhudia kulikuwa na usahili hivi juzi huyu kijana unasemekana kwao ana chezewa na ndugu zake kapatwa na matatizo ya kutosikia kabisa mpaka uwe jirani yake ndio umshute aelewe kinacho ongeleka ila nje ya hapo hasikii Wakaita jina lake...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni manukato (perfume) gani yanafaa zaidi kwa hali ya hewa ya joto sana?

    Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
  3. JamiiForums Tanzania Bei ya kilo ya Prickly pears tunda ni sh 31,000/ wale wa kule kwetu haya ni mengi sana karibuni.

    Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu haya ni mengi sana. Hii ni Jana nilikutana nayo Shoppers. Prickly pears ingawa pia kuna highbrid yake...
  4. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kukasirika kwa vitu vidogo vidogo sana naombeni msaada.

    Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea. Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind. 1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
  5. JamiiForums Tanzania Duh, Lissu amenichekesha sana, nimecheka mno! Ebu Tazama video hii

    Lucas Mwashambwa una la kusema mkuu?😁😁😁😁
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike anapswa kusomeshwa sana kumuepushia mazingia hatarishi yanayopunguza furaha na kupunguza siku zake za kuishi

    Mtoto wa kike yuko katika mazingira hatarishi ukilinganisha na mtoto wa kiume!!mtoto wa kike asipopata mahitaji muhimu atatafuta njia nyengine za kujipatia kipato ambazo ni hatarishi kwake .njia hizo mmojawapo ni kujiuza.hakuna kitu kinachoniuma sana ninapopita maeneo kama mbeya pazuri na pale...
  7. P

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

    Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi tunaingia gharama kubwa kufanya matengenezo ya magari yetu. Mpaka leo hii hakuna matumaini ya...
  8. W

    JamiiForums Tanzania usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  9. JamiiForums Tanzania Hizi gharama za parking kwenye stations za SGR mbona kubwa sana?

    Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

    Hello JF, Hi shule ya government, wamefanya vizuri sana na huwa wanafanya vizuri Sana Imagine mwanao amepangiwa shule hii
  11. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

    === Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila, Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Ufaulu wa elimu ya Tanzania unanipa mashaka sana kila kukicha

    Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu. Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Shule hizi kwa Dar zina hali mbaya sana, kama una mtoto au ndugu anza mipango ya kumuhamisha, heri aende mkoani

    '
  14. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa alikuwa ni nani? Alikuwa akifurahisha sana

    Habari zenu wakuu poleni kwa majukumu Kipindi nipo young ikifika mda mshaoga mnakalishwa chini TV inawashwa, CD inatupiwa ndani ya deck tena zile ZEC og, shwaah inaimeza. Hamjakaa sawa haha mara paah anatokea huyu mwamba Unaskia "Saidia kukuza ubora wa filamu Tanzania saidia kuinua wasanii...
  16. U

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January kutopokea watoto ambao hawajalipa ada yote. Hapa ndio wametukera wazazi, hivi kweli mzazi unalipa...
  17. JamiiForums Tanzania CCM ya Samia. Wasira, Nchimbi, Makala imepoa kuliko CCM zote

    Kama hawa ndio mboni ya CCM hadi August 2025 watabaki walamba bendela kwenye CHAMA. Kama chama kinataka kuendelea kuongoza kifanye u-turn mapema sana. Kilete watu wenye mchakamchaka na wanao jua kubadili hari ya hewa. Sasa hivi CCM imepoa sana. Hata wana CCM wenyewe wakongwe hawaelewi...
  18. JamiiForums Tanzania Mahusiano: ni maajabu sana, Kuna jinsia ya tatu ( ukiacha KE/me )

    Sijui kama huu Uzi utabaki hapa, ila lengo kuu mjifunze kitu Mnaweza msinielewe kabisa, na kujua lengo la thread hii ni Nini ok?? Hii Dunia imekwishwa wakuu, mpaka naandika hichi kitu natokwa na machozi kuanzia moyoni mpaka machoni. Imebidi niaze na neno mahusiano, ili huu Uzi uwe hapa ili...
  19. JamiiForums Tanzania Mbeya raha sana wakuu

    Niko uyole hapa napiga vyombo Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/= Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/= Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/= Boda bei ni buku tu. Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Marioo alitulia sana katika uandishi wa hii nyimbo ya Salio.Vijana tafuteni Salio ili msililie mapenzi

    Ukiisikiliza hii nyimbo ya Salio utagundua kuwa Marioo yuko vizuri sana katika uandishi wa nyimbo zake. Salio ni nyimbo yenye mafunzo kwa mabarobaro waache kukimbizana na mikongo wakati mifuko imechanika. Mwanamke atavumilia mengi ila sio neno " SINA HELA aka Salio. Tafuteni pesa vijana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…