sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania WaTanzania ni watu waoga na waporojo sana

    …naona wote mpo busy na msiba wa Papa, lakini hamjui kinachoendelea Tunisia 🇹🇳… Tunisia 🇹🇳 kuna Rais mwendawazimu anayeitwa Kaïs Saïd, Dikteta zaidi ya Kambare… Huyu jamaa anamiliki serikali, Bunge na Mahakama zote nchini humo… Juzi, kawahukumu viongozi wa upinzani, mawakili wao...
  2. JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  3. JamiiForums Tanzania Ama hakika, azamtv wamebadilika sana

    Yani kwasasa wanakupa kitu kinachouza zaidi bila kujali itikadi ya Dini, Miaka ya nyuma wakati wanaanza hawakua hivi! Safi Sana Hongera sana Sheikh, maalimu Mzee bakhresa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vatican ni nchi ya ajabu sana duniani. Inatakiwa iingizwe E Guinness World Records

    Hii Vatican ni nchi? Mfumo wake wa upigaji kura uko vipi? Yaani raia wake wanapiga kura kumchagua Rais Kwa mfano Iran kuna Rais ambae ni kiongozi anaechaguliwa na raia wa Iran. Kuna Ayatollah Ali Khamenei, hachaguliwi kwa kura za wananchi moja kwa moja, bali huchaguliwa na chombo kinachoitwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wapambanaji mlio mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii.

    Naomba tusikate tamaa, kwa hali ilivyo sasa, inaonekana wamepanga kumsimika madarakani si kwa kuchaguliwa bali kwa nguvu, yaani iwe kwa kuumiza watu au kwa namna yoyote ile. Kwa hali hii, nadhani sasa kuna haja ya kupanga mikakati na njia mpya kabisa za kutafuta HAKI katika Taifa hili. Kama...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wenye kumwulizia "Mwamba Bado yupo yupo sana." Aluta continua!

    Huyu ndiyo yule gwiji tuliyekuwa naye kwenye mapambano: Mwenzetu, ndugu yetu, Freeman Aikael Mbowe. Aka Mwamba. Aluta continua!
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hawa Mix by Yas wajitathimini wanakwama sana

    Mlio karibu nao muwape taarifa wanafeli sana . Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao . Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Ubunge ni kizuri sana Tanzania

    Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu? Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge. Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuteuliwa papa mwenye sura binafsi (personal face) kwasababu za siri

    Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia! Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki, Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma) Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia. Pamoja...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Nguvu Kubwa sana inayo/ itakayotumika Kumtetea Paul Makonda. Yeyote anayejaribu kuonyesha mapungufu yake, anashambuliwa Kila Kona!

    Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!. Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika. Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kufuatilia sana Nimegundua Mungu yupo ,ila hakuna dini wala dhehebu lililo bora kuliko lingine .Mungu ni mmoja tu

    https://youtube.com/shorts/WWmBwoKcRi4?si=MXTAzBwxQMUNtmyg Kwanza kabisa Mungu atusamehe kwa yale yote mabaya tunayoyafanya . Lakini ifahamike mitume na manabii wanajaribu tu kumuelezea tu huyu Mungu mkuu ambae hakuna anaemjua wala kuwahi muona . Kwa kifupi hata dini zetu za asili zilikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukimuona mtu katika taifa hili amekua maarufu na mashuhuri kwa kufanya mambo ya maana basi muheshimu sana.

    Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS" Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno. Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mtibeli Robert Heriel yawezekana akawa ndo mwana JF mwenye mwanamke mrembo sana JF nzima

  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu CRDB bank tawi la LAPF Dodoma

    Bank ya CRDB tawi la LAPF Dodoma wahudumu wako taratibu sana, majibu yasiyo rafiki Kwenye foleni inakaa masaa bila huduma, yapo madirisha manne ya huduma ila kwa muda mrefu ni dirisha Moja tu ndio linamuhudumu ambaye naye muda mwingi ingia Toka ingia Toka haeleweki anafanya nini Vijana hizi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kichwa kinauma sana nimeshindwa kwa maana nimefail

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF heri ya Pasaka kwenu , Natumaini mnamalizia pasaka vema, kwa wenye changamoto poleni sana, Ndugu zangu wakati mkiwa mnasherekea na kumalizia sikukuu kesho pia ni kazini na vibaruani pia kwa Watoto wanaenda shule, Nimeanzisha Uzi muda umekosa wachangiaji...
  16. JamiiForums Tanzania Utasikia "Hybrid zinatumia mafuta vizuri mjini, ila ukienda highway zinatumia vibaya sana!"

    Usilahumu gari, mlalamikie dereva. Na ilikua 36 km/L sema kuna sehemu barabara ikawa inatengenezwa tukawa mwendo wa kobe ndio ikashuka hadi 32 km/L.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

    Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
  18. JamiiForums Tanzania Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

    Wanaukumbi. Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki. Mama Samia ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

    Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo. Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…