sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Appartments design 2bedrooms ,lounge kitchen 2verandah . Plot of 600sqm 4units call us for design and construction services

    SISI TUNAHUSIKA NA DESIGN + UJENZI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  2. JamiiForums Tanzania Video: Kuna Jambo Halipo Sawa Hapa, Either Tumekosa Uelekeo Au Uelekeo Umetukosa Sisi. Hii Ni Dharau Kubwa Sana

    Kama Nipo Sahihi Hapo Mbele Ni Gari Ya Polisi... Je Polisi Wanafanya Biashara Ya Kukodisha Hizo Gari Za Ving'ora? Au Kuna Vigezo Gani Vimetumika Kumpa Huyo Dogo Msafara Wa Polisi? Kabla Hatujalaumu Tunaomba Jeshi litoe ufafanuzi, ili tujue ni money talks kama anavyosema au lah... Maana siku...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana humu member anayeitwa tajiri wa kusini ana pesa na roho mzuri wakuu

    Wakuu kusema ukweli nimetokea sana kumpenda Tajiri wa kusini jamoni wewe huyu mkaka nampenda sana jamani ana hela sana yaani kumsalimia tu na kumpa hi tu najikuta natumiwa pesa taslimu 2.5M wakati sijamuomba jamoni huyu ndiyo husband material kabisa Huyu jamaa sijui anafanya mishe gani sijui...
  4. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

    Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana. Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  6. JamiiForums Tanzania Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

    Wakuu habari ya weekend,,. Vipi mmeshatoka jumuiya??,,Na bahasha za pasaka vipi mlisharudisha wote au kunaa wengine bado mnazo ndani?😃,. Leo buana mama aliniomba tusaidizane kupanga vitu chumbani kwake,. Nimeshangaa kuona eti bado anatunza madaftari yangu ya chekechea😃😆😆,. Kwanza nlivyoona...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA wana hoja za msingi sana kwa Watanzania, wasikilizwe

    https://youtu.be/3H_uTS1rIj8?si=8Q5NYm9rN6lyonQL Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ni chama cha siasa chenye nguvu kuliko hata CCM. Hii imedhihirika baada ya Serikali ya CCM kuonekana inahangaika sana kutaka kuiua na kuizika CHADEMA. Ukisikiliza hoja za Viongozi wa CHADEMA kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Ila Utopolo mna shida Sana

    Mmelishupalia suala la Simba kucheza mechi ya fainali kwenye uwanja wa Amani utafikiri nyie ndio Berkane. Hangaikieni mambo yenu. Mnafanya hivi kwa kufahamu nguvu ya Mnyama akiwa kwa Mkapa. Oneni aibu
  9. JamiiForums Tanzania Kukosa au kucheleweshwa huduma kila mara katika taasisi za serikali kwa sababu mtandao hakuna au uko chini ni jambo la hovyo sana

    Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

    Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
  11. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Yanga na Berkane tunaongoza. Tumepambana sana. Simba atashinda njaa tu. Kombe habebi

    Toka Jumatatu team ya watu 13 wamepambana sana kutembea sehemu mbalimbali kusimamisha hii game. Tumeenda Morogoro, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Tabora. Matokeo ambayo tumepewa ni ya kuridhisha. Mkia anachapwa first leg na 2nd pia hafanikiwi. Kombe linaondoka. Wazee wamepambana sana. Simba...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ya Makonda tumuachie Gambo au ya Gambo tumuachie Makonda au ndiyo ile inayosemekana kuwa Mkakati wa kuendelea kuharibu mambo sana ili Samia afeli?

    ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais. Matarajio ya Rais Samia kwa Makonda ni kumsaidia kazi na kutunza misingi ya uongozi wake ndani ya jiji...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mfalme Zumaridi anasumbuliwa sana na dola? Uhuru wa kidini uko wapi!?

    Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana. Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele? Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu? Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha...
  14. JamiiForums Tanzania Tuwaheshimu sana watu wanaokesha nje kulinda usalama wetu na mali zetu.

    Niko njombe kwenye mishe zangu. Baridi ikiyoko hapa sio ya kitoto. Nimepita muda si mrefu hapo karibu na soko kuu nimewaona walinzi hapo sokoni wako lindo, wamewasha moto wanaota.police nao wako doria kama kawaida Nimetafakari sana ,kwa jinsi hii Baridi inavyopiga hapa halafu hawa watu wao wako...
  15. JamiiForums Tanzania Angalia maajabu tuliyofanya katika hii mansion ya mteja wetu. Tuli-design, then tukaingia site tukatoa kitu matata sana

    MANSION DESIGN AND BUILD SERVICES CALL/WHATSAP US +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  16. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wanaihofia sana kampuni ya HUAWEI?

    Tangu 2012 Marekani imekuwa ikifanya juu chini kuiangusha HUAWEI bila mafanikio. Hivi karibuni HUAWEI ilizindua A.I chip ya hali ya juu iitwayo Ascend 910C ambayo imekuja kuichallenge ile ya NVIDIA. Kuna wasiwasi unaoongezeka kwa Marekani kwamba hivi karibuni China itakuwa ikiuza AI processors...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha ni tight sana watu wangu! Kama una fursa inayokupendelea angalau kwa kidogo ishikilie kwa nguvu zote na kwa unyenyekevu

    Sio kwamba ni wavivu, wajinga au sio wajanja, ni basi tu fursa kama yako haijawafikia.
  18. JamiiForums Tanzania Siku kama hizi zipo tu kwenye maisha ila inauma sana sio siri

    Nasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa, Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada ya missed abortion. Ni taarifa mbaya kiukweli nadhani niishie hapa tu.
  19. JamiiForums Tanzania Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…